Posts

Showing posts from November, 2022

KINGA YA KUFICHA KIVULI FAIDA NA MATESO YAKE

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALUWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO NA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU NIMEULIZWA  na watu kadhaa kuhusiana na kuficha au kukinga kivuli faida yake ipoje na madhara yake yapoje na je nafichwaje. Hapa nitaeleza faida na hasara zake na namna ya kuficha kivuli. Makala haya yatakuwa na mambo ya kutisha kidogo endelea kufuatilia nondo kutoka kwa mtabibu asili tz ikiwa maelezo haya hayatakuwa na furaha kwako kuna watu wanafaida nayo kuna wataalam wanaongeza ujuzi na elimu hapa hivyo utakachokisoma kinaweza kisiwe ma faida kwako ila kwa wengine ni lulu. Kuna utofaut wa kukinga kivuli na kuficha kivuli. Ukificha kivuli maanae si wanga tu watasumbuka kukuroga hata uoatikanaji wa ridhki zako zitakuwa za shida ukificha maanae yuwahisabiwa ni mfu ni sawa na pikipiki au chombo cha moto kisiwe na injini. Hivyo si vyema kuficha kivuli utaishi kwa dhiki sana na mateso na manyanyaso hata wanga wakikuf