KINGA YA KUFICHA KIVULI FAIDA NA MATESO YAKE



MAKALA HAYA YAMEANDALUWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO NA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

NIMEULIZWA  na watu kadhaa kuhusiana na kuficha au kukinga kivuli faida yake ipoje na madhara yake yapoje na je nafichwaje. Hapa nitaeleza faida na hasara zake na namna ya kuficha kivuli. Makala haya yatakuwa na mambo ya kutisha kidogo endelea kufuatilia nondo kutoka kwa mtabibu asili tz ikiwa maelezo haya hayatakuwa na furaha kwako kuna watu wanafaida nayo kuna wataalam wanaongeza ujuzi na elimu hapa hivyo utakachokisoma kinaweza kisiwe ma faida kwako ila kwa wengine ni lulu.


Kuna utofaut wa kukinga kivuli na kuficha kivuli. Ukificha kivuli maanae si wanga tu watasumbuka kukuroga hata uoatikanaji wa ridhki zako zitakuwa za shida ukificha maanae yuwahisabiwa ni mfu ni sawa na pikipiki au chombo cha moto kisiwe na injini. Hivyo si vyema kuficha kivuli utaishi kwa dhiki sana na mateso na manyanyaso hata wanga wakikufunga kivuli maanae wanakuwa wanakuondolea zile ridhki zako unakiwa unaishi tu. 

Jambo jema ni kukinga kivuli sasa wataalam wengi wanachanganya kati ya kuficha kivuli na kukinga kivuli. Ukimfunga mtu kivuli umefunga ridhki mipango maendeleo na mipango yake ya baadae. Wakati mwingi ni elimu ndogo au uelewe huwa hafifu ila unachotakiwa ni kukikinga kivuli kisichukuliwe na si kukificha ni kukikinga japo maana ya maneno ni moja ila vitendo ni tofauti.

Elewa sasa unachotakiwa kukifanya ni kukingwa kivuli chako na si kukificha. Faida yake utakuwa uteswi na wachwi lakini pia ridhki zako utazipata na manufaa yataonekana. Ukificha unakiwa umejikomoa mwenyewe na wachawi hapa waliowahi kufichwa hivyo vivuli watatoa ushuhuda maisha wanayopitia hata kama usipoweka hapa ila moyon mwako ukweli unaujua.

      NAMNA YA KUKINGA KIVULI CHAKO

Zipo njia nyingi za kitaalam ambazo zingine zinajinasibisha na kufunga kabisa na si kukinga kivuli. Hapa nitaeleza baadhi ya hizo njia ila hakikisha ni lazima upate usimanizi wa kitaalam huweza kukinga kivuli kama unapika ugali fika kwa wataalam ila hakikisha unakingwa kivuli hufungwi kivuli.

Njia ya kwanza ambayo ni rahisi hutumiwa na wacha Mungu. Kila ukapo asubuh soma muadhateni  ikhlas*3,falaq*3,nnas*3 mswalie mtume 'allahuma swali alaa muhammad ya rabi swali alayhi wasalam mara 41  kisha jipulizi kwenye mikono jipake mwili mzima. Hii ni kinga bora sana kwa wale wenye imani thabiti swala tano sunna zote nguzo za dini umezisimamisha ipasavyo.

      KISOMO CHA AHLUL BADRI KINGA

Kuna aina kadhaa za visomo vya albadiri nilieza kuwa kuna albadiri ya kinga.  lile somo la albadr nilizungumzia kinga pia inapatikana ndani yake kwamba unaweza kukingwa. Kwahyo unaweza kukinga kivuli chako pale kuna zile surra nilizotaja kama surrat raad zitazidishwa idadi na mnyama atakiwa awe kondoo na sio mbuzi awe mweusi aliyekomaa tena dume vile vitu utaanza kuvipaka ama kupangusa mwilin kwa kunuia pia kabla ya kisomo uchote kivuli cha mwili wako wakati jua linachomoza.

Kichww cha mnyama kitazikwa kaburi kongwe kikiwa kimefungwa kitambaa cheusi. Mnyama wapewe sadaka watu wasiohusiana na familia yake asiwe na usaba nao.

Maelezo maref niliyaweka kwenye ile makala ya albadiri hapa nmeelza tu kwamba unaweza kufanyiwa kinga ya kivuli na ukaweka na mtego kwamba yoyote anayekugusa ajiguse mweyewe ni hatari sana unaweza kuumiza hata ndugu wa karibu wenye hasad na wewe. Muhimu albadiri huwez jisomea tafuta wataalam kuna watu kila kitu kwao kiwe chepes cha kujifanyia.

        KUZIKWA KABURINI UKIWA HAI

Hapa kuna njia nyingi unaweza kutengenezewa kaburi spesho au kwenda kwenye kaburi ambalo limefukuliwa hajaziwa mtu mkawahi mapema au kwenda kwwnye kaburi lilozikwa siku hiyo hiyo vitendo vyake si vyema kuviweka bayana elewa utafungwa sanda utawwkwa kama anavyozikwa mtu utasomewa tarakin au mapambio kisha utatolewa kazi inayofuata kuna dawa itapaswa uchanjwe usiku wa maneno swhem yenye kiza na anakuchanja mtu wa jinsia nyingine.

Kisenya kuni gamba la konokono ngozi ya kinyonga na baadhi ya miti ndiyo hutumika kutengeneza dawa ya kuchanjwa. Utapewa madawa ya kuoga kwa muda siku saba pahala wasipoishi watu na kwwnyw kichaka.

Zipo njia nyingi lakini kuwa makini na kimutoa kucha nywele na vitu vya mwilini mwako hapo unajifunga kivuli hukingi kivuli madhata yake ni hayo niloeleza juu. Na hili wala halohitaji uchawi mkubwa kata nywele za sehem zako zote na kucha sehem zako zote na mshawi wako uliotumia au punje za ubuyu uchote unyayo wako na kivuli chako tafuta vyungu viliwi viwe sawa weke vitu vyako humo weka na mzizi wa mti uliokatiza barabara upata unga wa mpingo mti ulikojufa wwnyewe pembezoni mwa mto na faljal na haLjal hakikisha vtu vyote vinaungua naal kuwa unga mweusi nenda kazike kaburi kongwe 

Wewe utakuwa husemeshwi wala hurogwi ila madhara ndiyo hayo. Hii hata watu wanapigiwa kutiwa nuksi isiyoisha ukiweka na mmavi mavi ndiyo hata ndugu wanakukimbia.

         MAELEZO MUHIMU YA KUZINGATIA

KUNA VITU NMEFICHA SIJATAJA HADHARAN KUHOFIA WATU KUJARIBU PIA WATU KUIGA HALI YAKUWA SI WATAALAM. HIVYO KUNA TOFAUT KATI YA KUKINGA NA KUFUNGA KIVULI ALIYEFUNGWA HATA AUMWE AKITIBIWA HAPONI NA INAHITAJIKA ELIMU YA JUU KUJUA KAMA AMEFUNGWA.

ALIYEFUNGA KIVULI KAMA MWANAMKE HATA KUTONGOZWA HATONGOZWI. HATA WANAWAKE WENZIE WANAWEZA KUMTENGA. MWANAUME HATA UKIMSIMAMISHA MTU AMBAYE MTAA MZIMA WANAJUA HAKATAI LAKINI WEWE UTAKALIWA MAISHA YATAKUWA MAGUMU MAZONGE DHARAU NK. UNAWEZA USIWE UMEJIFUNGA ILA IKAWA WACHAWI WAMEKUFUNGA KIVULI YAAN HAKIPO KABISA MAANA KUNA KIWEPO ILA KIMEKINGWA NA KUNA KUTOKUWEPO KABISA HUKO NDIPO KUJIFUNGA AU KUFUNGWA HIVYO UMAKINI UNAHITAJIKA MSIPE WATAALAM LAWAMA KUWA HAWAWEZ KAZ WAKATI MWENYEWE ULIJIFUNGA.

ALIYEFUNGWA KIVULI HATA UZAZI NGUVU ZA KIUME ZINAWEZA ZIKAWA SHIDA KWAKE. KITU AMBACHO UKIJUI UISIKIJARIBU MPAKA UJIRIDHISHE FAIDA NA MADHARA YAKE. USHAUR WANGU KINGENI VIVULI VYENU ILA USIFUNGE UTAPATA TABU UTAMTAFUTA MCHAWI NANI KUMBE UMEJITAFUTIA MWENYEWE MATATIZO.

WALE WENYE SHIDA BADO NAWASIKILZA ANDIKA MAELEZO YA SHIDA YAKO UTAPATIWA USHAUR NA NAMNA YA KULIMALIZA TATIZO LAKO NA USHAUR NI BURE KABISA. WALE WANAOTAKA UTAJIRI NASISITIZA MIMI BINAFSI SITOI UTAJIRI WALA SIMILIKISHI MAJINI YA UTAJIRI

NMETOA MAKALA KADHAA ZA WEWE KUFANIKIWA BILA KUTAKA MALI ZA MAJINI HIVYO JISOMEE ONGEZA MARIFA YAKO.

uma shida ya kinyota biashara kazi mapenzi kukuza dhakar nguvu za kiume uzazi kesi kuibiwa nk fanya mawasiliank

+255621442936

Mnaotuma ujumbe jitahidi kuweka maelezo yanayoeleweka jina pahala ulpo na shida husika jumbe fupi sitazijibu.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI