Posts

Showing posts from February, 2023

ASILI YA MAJINI FAHAMU KUHUSU SUBIANI VITIMBI NA DALILI ZAKE NA NAMNA YA KUKABILIANA NAE

Image
UCHAMBUZI HUU UMEANDALIWANA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA AS]LI NA YIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU SUBIAANI ni aina ya majini korofi wenye asili ya kike, hupenda kujibadilisha kukingana na mazingira husika. Jini huyu ana tabia mbili za wema na ubaya hivyo wapo wanaotumika kwenye uchawi bimaana kuroga na kuwapa watu mateso na wapo wema ambao hukaa kichwani kwa mwanadamu. Asilimia kubwa majini hawa hutumika kwenye shighuli za kuangamiza watu kuwapa watu mateso na dhiki. Kwa mru asiye mtaalam anaweza mfananisha jini huyu na jini mahaba maana daliki zao zinashabiina inahitajika utaalam wa hali ya juu kujua tofauti zao. Jini huyu anamuongia mtu yeyote na kumtesa mpaka watoto wadogo.        ASILI NA TABIA ZA MAJINI HAWA kama nilivyoeleza hapo juu wapo wa aiana mbili lakini wenye nguvu zaidi ni hawa wabaya hivyo hata mgonjwa akipanda akisema ana subian anataka kutibia jua kuna jini mwingine ndani yakr huyu ana tabia kuiba tabia z