ASILI YA MAJINI FAHAMU KUHUSU SUBIANI VITIMBI NA DALILI ZAKE NA NAMNA YA KUKABILIANA NAE
UCHAMBUZI HUU UMEANDALIWANA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA AS]LI NA YIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU
SUBIAANI ni aina ya majini korofi wenye asili ya kike, hupenda kujibadilisha kukingana na mazingira husika. Jini huyu ana tabia mbili za wema na ubaya hivyo wapo wanaotumika kwenye uchawi bimaana kuroga na kuwapa watu mateso na wapo wema ambao hukaa kichwani kwa mwanadamu.
Asilimia kubwa majini hawa hutumika kwenye shighuli za kuangamiza watu kuwapa watu mateso na dhiki. Kwa mru asiye mtaalam anaweza mfananisha jini huyu na jini mahaba maana daliki zao zinashabiina inahitajika utaalam wa hali ya juu kujua tofauti zao. Jini huyu anamuongia mtu yeyote na kumtesa mpaka watoto wadogo.
ASILI NA TABIA ZA MAJINI HAWA
kama nilivyoeleza hapo juu wapo wa aiana mbili lakini wenye nguvu zaidi ni hawa wabaya hivyo hata mgonjwa akipanda akisema ana subian anataka kutibia jua kuna jini mwingine ndani yakr huyu ana tabia kuiba tabia za jini aloyemkuta.
Ikiwa utampata wa kweli katika tiba huyu tiba zake zinahusu sana damu hivyo huagui pasina kuwa na mnyama. Wapo Subiani Badui wapo Subiani Makata na uajaji wake au upandaji wake anakuwa na kishindo.
Jini huyu akikutawala utajuwa na tabia mbaya za kuingilia watu kinyume au wewr kupenda kuingiliwa kinyume hivyo sio kiumbe kizuri hasa pale unapokosea mashart yake mlioagana.
Chakula chake ni damu za wanyama na vitu vitamu hivyo chano chake kinahusisha damu na vyakula hivyo mnyama ni lazima
NdoTo ZA MTU MWENYE JINI HUYU
Kuwa na ndoto za kuandamwa na watu waliojifunika nyuso zao na mwili wao kwa mavazi meusi. Kuota ndoto za manyoka makubwa. Kuota ndoto za ng'ombe weusi, kuota ndoto za kupaa kuota unaona mashimo kuingia na kuruka mashimo. Kuandamwa na ndoto za kutisha viumbe vya ajabukukimbizwa na wanyama nk.
DALILI ZA WAZI KIMWILI
Mwili kuchoka na kufaa ganzi na huwa haisikii dawa yaan imekuwa ni mazoea kwako kuwa na ganzi. Kuhisi hasira kuandamwa na ugomvi sana kila wakati ninmtu wa kukasirika. Kuwa na tabia za kuharibu mimba hapa mimba unapata ila haikai. Kupenda kukaa peke yako sana hupend kujichanganya na watu. Mwili Sehem ya kushoto Kuwa ya moto hasa mabegani na mbavu. Unaweza kuandamwa kuchukiwa na jamaa ndugu hata wako wa karb pasina sababu ya msingi.
Kwa watoto huandamwa na degege, mtoto kuwa na homa ya kuvimba tumbo kuhafisha mara kwa mara macho kuwa ya njano. Na mara nyingi ukimpeleka hospitali hakuna ugonjwa unaoonekana.
KUHUSU MALI NA UTAJIRI
Ni miongoni mwa majini wenye mashart magumu mwishoni. Huwenda ukapewa shart dogo lakini kadri siku zinakwenda utajiri unavyoongezeka unaweza kuoewa zoez la kuingiliwa kinyume kuua watoto na ndugu zako hivyo kuhusi mali anatoa ila mashary mazito ambayo mwisho atachukua roho yako kuongeza nguvu zake
MADHARA MATATIZO YA JINI HUYU
Kwanza kwenye tiba hupenda damu hivyo hiwenda siku ukakosa mnyama akaondoka na mtu miongoni mwenu mnaohusika na hicho kilinge anapenda michezo ya nyumba na michafu kuingilia watu kimapenz hivyo hata watu wanaotupiwa jini huyu hawatulii kwenye mahusiano wanap3nda kuingiliwa nhuma zaidi.
NAMNA YA KUMTOA NA KUMSHUGHULIKIA
HUYU ANA NGUVU ZAIDI HIVYO KATIKA KUMTOA YATAKIWA UPATE MTAALAMA MWENYE ELIMU YA KUTOSHA YA MAJINI VINGINEVYO ANAWEZA KUKAA PEMBENI MKAMALIZA KAZI AKARUDI TENA MWILINI KWA KASI YA JUU ZAIDI. UTOAJI WAKE LAXIMA WANYAMA WAHUSIKE
una swali shida yoyote kuhusu majini nyota mapenz biahsra kazi [zazi nguvu za kiume nk
+255621442936
Kwa wanaotuma majina weka maelezo yanayoeleweka jina paha"a ulipo na shida husika.
Comments
Post a Comment