Posts

Showing posts from June, 2023

FAHAMU KUHUSU MTURA 'TURATURA' NDULELE MAAJABU NA TIBA YA MARADHI MBALIMBALI

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA YIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU HUU ni muendelezo wa makalq za miti nikizowahi kuzizungumzia zaidi ya miaka saba iliyopita. Hivyo tutakuwa tukirejea baadhi ya miti kwa kuiwekea maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina. Mturatura ni miongoni mwa miti midogo yenye matumizi mengi katika ulimwangu wa tiba asili. Huu haupo lwenye madawa ya kisuna ni mti wenye majabu mengi sana katika toba aaili hivyo soma makala mpaka mwisho kama nilivyoeleza hapo juu.        MAJANI YA MTI WA MTURATURA mwenye kisukari chukuwa majani yake ponda ponda upate unga wake utatumia kwenye maji ya vuguvugu kutwa mara tatu Kwa siku 14 neenda kapime Leta mrejesho. Aliyekumbwa na kitu kibaya akawa hajielew atafute mti wa mturatura majani mnukauvundo majani mvumbasi majani kisha achemshe nyungu ajifushe na aoge. Kwa mtu anayesumbuliwa na tumbo la hedhi upate unga wa majani tumia kwenye maji moto n