Posts

Showing posts from January, 2026

UTABIRI WA MWAKA MZIMA WATU WA NYOTA YA PUNDA ARIES

Image
PUNDA KONDOO ARIES 🐴 ♈  MACH21 - APRLI20  Mwaka utakuwa na mafanikio makubwa kwako kila changamoto utakayokutana nayo itakuwa na mlango wakutokea wenye faida. Utauanza mwaka kwa neema kuna fwdha kiasi zitakuwa hazikupigi chenga ila katikati ya mwaka utakumbana na changamoto kurudiha nyuma. Ikiwa utaweza kuvuka salama na kushinda mitihani mafanikio utayapata. Milango ya safari ipo wazi ila inataka ridhaa za wazazi. Wafanyabishara wanatakiwa kutoa sadaqa na kutoa kafara robo ya mwanzo wa mwaka.  Mwaka huu umesimama kwenywe mawasiliano, ikiwa una mpenz kama usipofanya mawasikiano mara kwa mara unaweza kumkosa kiwepesi. Mliopo ndoani mawasiliano yananasibishwa na mazungumzo ya wazi. Muwe na muda wa vikao kuongea hali halisi mliyonayo mipango mnayotaka kuifanya ili kufanikiwa. Kuna ishara ya vifungo kupitia kwenye mapenzi kuna mtu wa zamani anakutafuta muda mrefu iwapo utafanikiwa kuingia mikononi mwake mwaka utaona mchungu. Furaha ya siku moja inaweza kukuhangais...