Posts

Showing posts from February, 2018

CHAI YA MPERA KATIKA KUPUNGUZA MWILI

Image
UNA UZITO ULIOPITILIZA ANZA KUTUMIA CHAI HII YA KIJANI YA MPERA makala zilizopita za kupunguza unene tulizungumzia kuhusiana na chai ya kijani katika kupunguza mwili. Baadhi ya chai hizo ni pamoja na chai ya mpera. Katika nchi ya China Mara nyingi watu walioendelea na wanaojali afya zao hutumia chai ya kijani Jinsi gani unaweza kuandaa chai Hii ya mpera andaa majani machanga yasiwe mengi sana weka kwenye maji lita moja kisha chemsha kwa dakika 15 mpaka 20 Ukimaliza ipua iache ipoe kidogo ichuje upate chai Yale majani gator Matumizi Asubuhi kunywa vkombe vya kahawa vtatu mchana vwili jioni kimoja Dumu kwa majuma kadhaa ukifanya hv utapata matokeo mazuri Chai nyengine za kijani Mchachai Ndimu Mstafeli Nk Waliopo kwenye group la tiba asili wanajua hlo Una swali maoni 0621442936 Kwa dawa za kupunguza mwili fanya mawasiliano

MAFUTA YA MRONGE KWA AFYA NA UREMBO WA BINAADAM

Image
FAHAMU FAIDA ZINAZOPATIKANA KWA KUTUMIA MAFUTA YA MRONGE KIAFYA NA UREMBO MARA kadhaa nimekuwa nikiandika makala zinazohusiana na faida za mti wa mronge. Nimeshawahi kuandika juu ya faida za unga, mbegu pamoja na mizizi ya mlonge katika mwIili wa mwanaadamu. Kama ilikupita tembelea wall yangu au ingia group la afya ya uzazi kwa njia za asili hapa facebook utayaona masomo yaliyopita. Kama ni mfuatiliaji wa makala zangu utaona umuhimu wa kufuatilia kila post inayotoka maana inakubadilisha kifikra. MAFUTA YA MRONGE NI NINI Mafuta mronge ni mafuta yaliyotokana na mti wa mronge ambayo yameandaliwa kitaalamu kwa ajili ya matumizi ya kibinaadamu. Mafuya haya unaweza ukayatumia kwa kupikia kama unavyotumia maguta ya korie samli alizeti au mafuta mengine yeyote. Tofuati yake ipo kwenye gharama mafuta haya yana gharama kubwa ukilinganisha na mafuta mengine, ukiweza kumiliki lita moja kwa ajili ya kupikia ujifunge mkanda kweli. FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE kama nilivyozungumza kwenye kichwa ch

Tiba ya mafua na kifua sugu

Image
FAHAMU DAWA ZA UGONJWA WA MAFUA NA KIFUA MSIMU huu wa kipindi cha mvua kinaambatana na mafua na kifua kwa pamoja. FAHAMU DAWA RAHISI ZA KUPAMBANA NA KIFUA NA MAFUA LIMAO Chukua vjko vwl vya limao na kimoja cha asali pasha moto anywe mgonjwa afanye hvyo mara mbl kwa ck au unaweza ukaiyengeneza nyingi ukachanganya na tangawizi ukawa unaiweka juani ni nzuri na inasaidia TANGAWIZI saga tangawizi yako yakutosha kisha weka maji kiasi pima glass tatu kisha iweke jikoni ichemke mpaka ibak glass mbl kunywa mara tatu kwa siku kumbuka kuchuja MANJANO weka vjko vtatu kwenye kikombe cha maji vuguvugu kisha weka pilipili matama kjko kmoja weka na asali kijiko kimoja chemsha kwa dakika mbili tumia kwa kunywa mara tatu kwa ck

NJIA TATU RAHISI ZA KUMALIZA UVIMBE KWENYE KIZAZI

Image
Uhali gani mpenzi wa makala zetu kupitia mitandao ya kijamii. Tumefanya vzur kwenye makala ya kupunguza unene wa mwili na sehemu zake, kuongeza nguvu za kiume na mambo mengine kama umepitwa unaweza kutembelea kwenye wall yetu utajifunza mengi. Kwa wale wafuatiliaji wa makala za njia ya uzazi wa mpango za asili utazipata kwa utuo kwenye group la afya ya uzazi kwa njia za asili na ufafanuzi kuhusu matumizi ya nyonyo waweza nitafuta mwwnyeqe nikuelekeze jns ya kutumia achana na makachero wa mitandaoni. Uvimbe kwenye kizazi kitaalamu hujulikana kama 'uterine fibroid au uterine myoma'. Ni uvimbe ambao hutokea kwenye misuli laini ya mji wa uzazi. Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 hadi 50. Hii inatokana na sababu zinazosababisha ugonjwa huu ambao hukaa kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke. Kuna vimbe nyingi tumboni lakini Leo tunazungumzia uvimbe katika mfuko wa uzazi wa mwanamke. ZIFUATAZO NI SABABU ZA UVIMBE  Kutumia njia za uzazi wa mpa

TATIZO LA KUKOSA WATOTO KWA WANAWAKE NA WANAUME NA SULUHU YAKE

Image
Mara nyingi kwenye ndoa kukitokea tatizo la kutopata mtoto lawama anapewa mwanamke kuwa ndo chanzo cha tatizo hilo. imejengeka hivyo toka enzi na enzi ila hakuna ukweli wowote tatioz linaweza kuwa kwa yeyote kati ya hawa. MIMBA INATUNGWAJE ILI mimba itungwe inatakiwa yai la mama limepevuka na liwe tayari kurutubishwa na manii yaliyokomaa kutoka kwa baba. Watu hawa wanapokutana mwanaume anapomwaga manii yake hupita kwa kasi kwenye mirija ya uzazi kuelekea yalipo mayai ili kuanza urutubishaji TUKIO HILI LIKIENDA KAMA ILIVYOPANGWA MIMBA HUWEZA KUTUNGWA ILA PAKIWA NA TATIZO SEHEMU YOYOTE MIMBA HAWEZI KUTUNGWA. SABABU ZINAZOPELEKEA KUTOSHIKA UJAUZITO KWA MWANAMKE 1. kuziba kwa mirija ya uzazi 2. mayai kutopevuka kwa wakati 3. matatizo ya chango 4. majini na ibilisi 5. uzalishaji wa mayai kuwa mdogo pamoja na mambo mengine SBABU ZA MWANAUME KUKOSA UWEZO WA KURUTUBISHA YAI LA MAMA 1. kukosa nguvu za kiume 2. manii dhaifu I3. kuumwa kwa muda mrefu 4. majini na maibilis 5. upigaj

MATATIZO YA HEDHI NA SULUHU YAKE

Image
MATATIZO YA HEDHI: Matatizo ya Hedhi yanawagusa moja kwa moja hata hivyo nayo yana tiba yake inayolingana na aina ya tatizo husika. TIBA YA HEDHI ILIYOFUNGA (AMENERRHOEA): Kanuni ya kwanza: Tafuna ufuta kiasi cha kijiko kimoja kila siku mara tatu. Fanya hivyo hadi upate hedhi. Ni bora zaidi kula ufuta kabla ya zile siku ambazo hedhi hutoka na uendelee wakati inapotoka hedhi. Dawa hii ni hatari kwa mwanamke mja mzito, hivyo atahadhari nayo,na tangu hapoyeye haimuhusu. TIBA YA HEDHI ISIYOTOKA VIZURI: Chukua Jirjir (rocket) kijiko kimoja ukoroge ndani ya kikombe cha maji ya moto. Yakishapoa uchuje. Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu. TIBA YA HEDHI INAYOTOKA KWA WINGI ZAIDI YA ADA: TIBA Kanuni ya kwanza Chukua kijiko kimoja cha maua ya Babunaji (Chamomile) ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto. Yakishapoa, unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu kabla ya kula. TIBA YA MAUMIVU YA HEDHI YANAYOTOKA KIDOGOKIDOGO (DYSMENORRHOEA) : Tiba: Chukua Nanaa na utayarishe

FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA SUKARI NA TIBA YAKE

Image
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA SUKARI NA TIBA YAKE BY MTABIBU ASILI UHALI gani mpenzi wa msomaji wa makala zangu ambazo zinalengo la kuimarisha afya ya binaadamu pamoja na urembo. Nimezungumza sana juu ya kupunguza Unene kwenye makala zilizopita lakini pia nlizungumzia kuhusiana na masuala ya afya uke ikiwa kuwa na maji, mkavu, hauna joto sambamba na vtu vingine. Kama ulipitwa na masomo yaliyopita unaweza kutembelea ukurasa wangu au kuingia kwenye group la Afya ya Uzazi kwa njia asili. Baada ya utangulizi huo mfupi sasa tuingie kwenye somo letu la leo linalohusiana na suala zima la ugonjwa wa sukari na tiba yake. Sukari imekuwa ikiwatesa watu wengi hasa wenye umri zaidi ya miaka aeobaini japo kwa sasa imekuwa tofauti hats watoto wadogo wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa huu. Kwa kawaida binaadamu anatakiwa kuwa na sukari normal ikizidi inakuwa sukari ya kupanda ikipungua inakuwa sukari ya kushuka. Leo nakupa njia za kutibu sukari kwa ujumla iwe ya kupanda au kushuka. Kwa kufuata tarat