Posts

Showing posts from December, 2018

UGONJWA WA PID CHANZO DALILI , MADHARA NA SUKUHU YAKE

Image
UFAHAMU UGONJWA WA PID KWA WANAWAKE DALILI MADHARA NA SULUHU. BAADA yakupokea maswali mengi kutokana kwa kina mama kuhusiana na maradhi haya ya PID leo nimeamua kutolea ufafanuzi. Nimepokea simu nyingi na jumbe kupitia whatsap baada ya kuandika ile makala inayohusiana na madhara ya njia za uzazi wa kisasa. PID ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke kama vile, mfuko wa uzazi, mirija ya mayai, vifuko vya mayai, shingo ya kizazi.                 VISABABISHI VYAKE Ugonjwa huu kwa kawaida husababishwa na maambukizi kwa njia ya kujamiiana, na mara nyingi hata magonjwa yanayohusiana na kujamiana huusishwa kama kama vile Pangusa ,UTI, Fangasi, Kisonono, nk. Pia utoaji mimba usiosalama, kuharibika mimba, au kujifungua kwa njia zisizo salama na kuweka vitu ndan ya uke kama vizuizi vya mimba pia huchangia maradhi haya. DALILI ZAKE Dalili za ugonjwa huu huwa kama ifuatavyo: • Maumivu katika tumbo la chini na sehemu za nyonga. • Kutokwa na uchafu mwingi wenye h

FAHAMU FAIDA ZA MUEGEA

Image
FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA MTI WA MUINGE AU MUEGEA KATIKA TIBA MTI huu una majina mengi wengine huita muegea, muinge  mlemela. Leo nitawapa faida kiafya wanaohtaj habar za kukuza nitawapa dawa. KWA AFYA KWA UJUMLA UUnatibu Tumbo Kujaa Gesi Kujisaidia Milendalenda Vidonda Vya Tumbo Kunawirisha Mwili Kwa Wale Wenye Afaya Mgogoro ukurutu na magonjwa mengine ya ngozi. Jinsi ya kutumia Kupata faida hizo kwa kutumia mizizi ya mti huo, chukua mizizi au magome yake na uyakaushe kivulini (sio juani), baada ya kukauka, saga magome hayo ili upate unga. Chota unga huo kiasi cha gramu 700 (karibu na robo tatu kilo), changanya na maji kiasi cha lita 6. Mwenye tatizo anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa kiasi cha robo lita kila siku Hifadhi kwenye fliji ili isiharibike ukhtaj kutumia waipasha moto kidogo. kukausha vidonda chukua unga huo hunyunyuziwa katika nguo au kitambaa na kisha nguo au kitambaa hicho hufungwa katika kidonda au jereha na baada ya siku kadhaa jeraha hilo hukauka. KWA MARADH