KUHUSU KUNG'ARISHA NYOTA KWA KUTOA SADAKA KWA WATOTO WADOGO
KUJIIMARISHA KINYOTA MVUTO WA CHUMO LA AMALI ZAKO KILA mmoja anazo shughuli zake za kujitafutia ridhki ili kuyaendesha maisha yake. Zipo shughuli za heri na shari ila si wote wanaofanya shari hupenda wakati mwingine ni majukuku kuwabana na hakuna njia nyengine ya kuyatatua. Si hamasihi watu kufanya shughuli mbaya nipo katika kukuelewesha namna ya kuupata unafuu katika mihangaiko yako. Nmekuwa nikiulzwa sana baadh ya maneneo ninayotumia kuna watu huwachanganya ila hiki ninachoandika ni kiswahili sanifu alhamdulillah nmekaa na wazee pia nmesoma sana kiswahl elimu ya dunia. Hapo juu neno chumo maana yake ni kipato au fedha unayoipata baada ya kufanya kazi amali ni shughuli yoyote unyoifanya ili kupata hicho kipato sasa kuna amali njema na mbaya kama nilivyoeleza hapo. Kabla ya kuendelea nataka niweke sawa ikiwa una mikwamo mambo hayaend unahs na kuona kabisa sio kawaida kwanza yatakiwa iangaliwe tatzo na chanzo chake ikiwa ni vifungo husda upepo mchafu majini nk vishughulikiwe