Posts

Showing posts from June, 2021

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO FAHAMU ASILI, TABIA NA UNDANI WAKE KATIKA MAFANIKIO

Image
UHALI gani mpenz mfuatuliaji wa darasa zangu za tiba asili miti nyota ndoto na mambo mengine kadhaa kupitia ukurasa wangu huu wa Mtabibu ASILI TZ. Niwaoe shukran kwa ushurikiano wenu popote mlipo mnatuma jumbe za shukran na wengine kuomba ufafanuzi juu masuala kadhaa wa kadhaa nawapa kutoka Kenya, Uganga, Congo, Oman na sehem nyengine mbalili ikiwemo ardhi mama ya Tanzania. Baafa ya shukran leo nitaeleza kuhusiana na mizimu nini asili yake na vipi unaweza kunufaika nayo na vipi unaweza kupata hasara soma kwa umakini sana huwenda maelezo haya usiyapate pengine popote zaidi ya hapa.  Mizimu ni mkusanyiko wa Majini ama kikundi cha majini chenye asilia tabia na tamaduni zinazofanana. Yaana kwa lugja nyepes kama unavyoona mashabiki wa Simba kuna vtu watakuwa wanafanana ambao huwatifautisha mashabiki wa Yanga. Watu wa kusini Wamakonde kuna vtu hawafanani sawa na watu wa Ukanda wa Pwani. Basi ndivyo ilivyo hata kwa majini wale wanaoendana tabia na mila ndio hukaa na kutembea pamoj

MASHARTI, SHERIA ZA SADAKA KATIKA KUIMARISHA AMA KUJIEPUSHA UPEPO MBAYA KINYOTA

Image
NMEKUWA nikizungumzia kuhusiana na utabiri wa nyota kila asubuhi kupitia ukurasa wangu huu. Katika chambuzi hizo kuna mambo muhimu huwa nayazungumza na ni muhimu kuyafuatilia kuhusiana na nyota yako. Wengi wakisoma hudharau baadae yakiwatokea mazito ndipo wanapoanza kuhangaika kutafuta fumbuzi ama suluhu la jambo fulani. Leo nitazungumzia kuhusiana na sadaka, ikiwa umesoma utabiri nikasema leo jitajd utoe sadaka basi haya ndio maelezo yake ya hyo sadaka kwnza yatakiwa utoe nn na nani afaa kupewa ndio darasa langu la leo anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ. Kuna tofaut kati ya sadaka na zaka (fungu la kumi). Hii zaka ama fungu la kumi hutolewa kwa mwaka na ina mashart yake kitaalam huitwa ni kafara. Zaka ni sehem ya kukinga mali kuongeza kipato kuvuta wateja nk nikioata wasaa nitaizungumzia. Ila kwa leo tufahamu kuhusiana na sadaka za kinyota ambazo huwa nazizungumzia mara kadhaa kwenye tabiri. Katika mzunguko wa Sayari kuna siku Nyota hukumbwa na hali mbaya sana inaweza ikapit