MASHARTI, SHERIA ZA SADAKA KATIKA KUIMARISHA AMA KUJIEPUSHA UPEPO MBAYA KINYOTA



NMEKUWA nikizungumzia kuhusiana na utabiri wa nyota kila asubuhi kupitia ukurasa wangu huu. Katika chambuzi hizo kuna mambo muhimu huwa nayazungumza na ni muhimu kuyafuatilia kuhusiana na nyota yako. Wengi wakisoma hudharau baadae yakiwatokea mazito ndipo wanapoanza kuhangaika kutafuta fumbuzi ama suluhu la jambo fulani. Leo nitazungumzia kuhusiana na sadaka, ikiwa umesoma utabiri nikasema leo jitajd utoe sadaka basi haya ndio maelezo yake ya hyo sadaka kwnza yatakiwa utoe nn na nani afaa kupewa ndio darasa langu la leo anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.

Kuna tofaut kati ya sadaka na zaka (fungu la kumi). Hii zaka ama fungu la kumi hutolewa kwa mwaka na ina mashart yake kitaalam huitwa ni kafara. Zaka ni sehem ya kukinga mali kuongeza kipato kuvuta wateja nk nikioata wasaa nitaizungumzia. Ila kwa leo tufahamu kuhusiana na sadaka za kinyota ambazo huwa nazizungumzia mara kadhaa kwenye tabiri. Katika mzunguko wa Sayari kuna siku Nyota hukumbwa na hali mbaya sana inaweza ikapita siku hujaingiza chochote na hii huwa ni athar ya mzunguko wa sayari wa siku hiyo.

Ukiona nmeandika leo jitahd kuchoma fusho kutoa sadaka ninachomaanisha pale. Ukichoma fusho la nyota yako maana yake siku ile mapito yako yanakuwa na upepo mbaya kulingana na mzunguko wa sayari hivyo kuna matendo hayatakuwa mazuri hivyo kwa kuchoma lile fusho kuna vtu unaepukana navyo ambavyo vilikusudiwa katika mzunguko wa siku hiyo. Nikisema toa sadaka basi kuna hali ngumu ya pato utakutana nayo siku hiyo ila ukitoa maana yake umekata upepo mbaya bimaana umetoa kafara pale basi kuna ulaini utaupata kwa kutoa kwako.

Napenda ufahamu kitu kimoja usije ukajichanganya kuna upepo mbaya wa siku hiyo bimaana hali mbaya itakuwa siku hyo tu siku ikipita basi mambo yatakaa sawa ama kama utafuta mashart ama ushaur uliyoweka pia siku inaweza kubadilika kuwa njema kwako. Sasa ikiwa kwako ni hali ngumu muda wote mambo hayaend ahadi zimekuwa nyingi huwenda mpaka mapenz pia hayaelewk biahsra hazisomeki hayo ni mambo binafsi mwnyewe huwenda umekuaudiwa ubaya ama umefungwa ana una shida na hapo ni mpaka upate mtaalam aangalie shida nn ishughulikiwe. Maana pia napokea jumbe nyingi mi nachoma fusho lakini sion chochote jibu ni hilo kuna utofaut kati ya upepo mbaya kwa siku husika na matatzo yako binafsi kwa kukusudiwa hivyo tenga muda kwa kujishughulikia.

  NI KIASI GANI HUTOLEWA NA NANI AFAA KUPEWA

Baada ya kufahamu kwamba sadaka ile ni kafara ya siku husika ama pia kama una jambo lako wataka kulifanya siku hiyo mfano umeenda kuomba kazi ama kupeleka posa ama kuomba mkopo ama ombi la kitu chochote. Basi ili upate kwa wepes majibu basi jitahd kutoa sadaka za kinyota na upate dua ama maombi kwa ajili ya kirahisisha hicho unachodhamiria kukipata ili kiwe rahisi na kiwe na manufaa kwako.

Kiais kinachotakiwa kutolewa itategemea na shida yako. Ikiwa huna shida ya kuomba kitu chochote ila unataka tu siku hyo kimipango yako iwe mizur na kusiwe na misukosuko maana yake utatoa kwa idadi ya namba ya nyota yako. Nyota zipo kumi na mbili nimezipangilia kwenye picha kinamba mfano wewe nyota yako ni punda ni namba moja katika moangilio wa nyota. Basi yakupasa kutoa shilingi mia moja ama elf moja au laki moja ama milion moja kulingana na uwezo wako, pia angalia kiasi ambacho kinatumika na mtu unayekusudia kumpa mwishoni nitaeleza nani na nani wanastahili kupewa hizo sadaka sasa mfano unampa kiongozi wako wa kiroho shilingi mia atanunua nn imkidhi kwa hyo angalia katika utoaji wako.

Mfano wa pili mwenye nyota ya samak huyu katika mpangilio yeye namba yake ni 12 kwa hyo kama utatoa sadaka ya siku kuondolewa na upepo mbaya unaweza kutoa elf 1200. ama 120 kama inatumika sehem ulpo ama elf 12000, ama 120000 na kuendelea kadri ulivyojaaliwa katika mali zako. Sasa wewe utaangalia nyota yako ni namba ngapi pichan kisha utacheza na fedha kama nilivyoeleza kwenye mifano hapo juu. Ikiwa yuwataka kulipa ngubu zaid jambo la siku hyo ongeza idadi ya watu katika kutoa yaani unaweza kutoa kwa kuwapa watu kuanzia saba 14 ama 21 angalia kadri ulivyojaaliwa.

orodha ya kila nyota na namba yake katika mtiririko unaofuata

NANI ANASTAHILI KUPEWA SADAKA HIZI

Wanaohitajika kupewa sadaka za kinyota ni watu wenye uhitaji maalumu, mfano walemavu watoto yatima wajane ama watu wasiojiweza dua zao zinaweza kukuongeza pato la siku hiyo paka ukashangaa ulichelewa wapi kujua jambo hilo. 

Watu wengine muhimu viongozi wa kiroho ambao wanajitolea kupeleka mbele imani yako. Hapa walimu wa madrasa walez wa makanisa maimamu, mapadri na viongozi wengien unaowaona wafaa kwako na wana mchango wakiroho kwako katika kukutoa sehemu fulani.

Kundi jenginr ambao hawa ni muhimu sana ila si lazma kama ninavyopenda kuandika ni Wataalam wa nyota ambao wewe umekuwa ykipata vitu fulan ama uelewa fulani kupitia kwao. Vile unavyota sadaka unamuongezea ufanisi lakini pia katika dua zake na wewe umo sababu kama utampa kwa lengo la kumuongezea ufanisi wake basi kuna heri na wewe unazipata unaweza kuondokewa na mazonge mbalimbali sababu hawa ndio watu wanaojua Nn kinaendelea na nn ukifanye ili kutoaka sehem fulan na ndio maana umekuwa ukifuatilia darasa ama kirasa zao kwa kuwa yuwaona umuhimu basi nawe ukitoa unaongeza thamani ya ile elim lakini pia kufanikisha kile ulichokikusudia ndio maana nikiandika unaweza kunpa hata mimi ila mbele lazma niandike sio lazma sababu binaadamu tunapishana uelewa.

Mtu ambaye hauhisik kupewa ni ndugu yako wadamu  awe mwanao kaka baba bibi dada babu ahata awe na hali nguku ukimpa ni msaada tu umetoa ila atiliwi nia ka sadaka. Pia hapa nmezungumzia sadaka sijazungumzia zaka ambalo ni fungu la kumi kama nilivyoeleza ikiwa nitapata wasaa na ushirikiano basi nitakuja klieleza nalo fungu la kumi ni nn linatolewaje mashart yake na nani wakupewa na nan hausiki kupewa. Muhimu wakat unatoa kumpa mtu ama kumtumia tia nia mpe ikiwa unatoa kwa lengo la kuombewa dua siku hyo basi ni heri ukawapa watu nilowataja kundi la pili na tatu angalia shida ya siku hyo na nan yuwamuona ni muhimu kutatua.

ufafanuzi kafara ni kitu chochote unachokitoa kama chambo ili upate kitu fulani. Sijamaanisha kafara la kutoa mtu hata kutoa sadaka ni kafara kwa kile unachokihitaji. Pia nikipata wasaaa nitazungumzia undani wa kafara kisheria na zile zenye madhara ila zipo makala za chini nmewahi kuzungumzia masuala ya utajiri wa makafara zisome utaongeza maarifa kichwani kwako. Ama jiunge na grouo la whatsp kwa darasa na ukaribu zaidi.

NLCHOZUNGUMZIA LEO NI SADAKA YA SIKU HUSIKA KULINGANA NA MAELEZO YA UTABIRI YANAVYOSEMA. IKIWA UNA JAMBO LAKO MUHIMU WATAKA KULIFANYA ILI LIPATE MAJIBU HARAKA BASI KUNA UTARATIBU WAKE WA KUKITOLEA SADAKA MFANO KAZI YA KUOMBA MKOPO WA MILION 20 AMA KUUZA KTU HALIWEZ KUWEKEWA SADAKA YA BISKUT AMA PIPI AMA FEDHA MIA MIA KWA WATOTO LAZIMA SADAKA YAKE IWE YA KIPEKEE NA ITAFAFANULIWA KULINGANA NA UZITO WAKO MWENYEWE NA KILE UNACHOKIKUSUDIA. NIMEITOA MAKALA HAYA ILI KUWAONGEZEA UFAHAM NIKIANDIKA NENO SADAKA AMA FUSHO SI MAMBO YA KUPUUZA UNAWEZA KUACHWA AMA KUKOSA KITU KIZUR SIKU HYO KWA DHARAU ZAKO. UNA SWALI RAI PONGEZI WEKA HAPO CHINI UTAJIBIWA. JITAHID KUTOA USHIRIKIANO KWA KOMENT KULIKE NA KUSHARE ILI DARASA ZIWAFIKIE WATU WENGU.

una tatzo lolote la kinyota, uzazi, biahsra, uchumba ndoa, kesi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, presha, sukar bawasiri nk kwa dawa na ushaur piga simu ikiwa unatuma ujumbe basi uwe na maelezo yanyoeleweka jina ulipo na shida jumbe fupi zitazij heshm muda wa mtu.

+255621442936
Whtsp group ni la malipo kwa wahitaji

Hujui kabisa nyota yako bonyeza hapa chini kuna makala ya uchambuzi

http://tabibuasili.blogspot.com/2020/08/ifaahamu-nyota-yako-siku-yako-ya-bahati.html

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI