NGUVU YA MIZIMU YA UKOO FAHAMU ASILI, TABIA NA UNDANI WAKE KATIKA MAFANIKIO


UHALI gani mpenz mfuatuliaji wa darasa zangu za tiba asili miti nyota ndoto na mambo mengine kadhaa kupitia ukurasa wangu huu wa Mtabibu ASILI TZ. Niwaoe shukran kwa ushurikiano wenu popote mlipo mnatuma jumbe za shukran na wengine kuomba ufafanuzi juu masuala kadhaa wa kadhaa nawapa kutoka Kenya, Uganga, Congo, Oman na sehem nyengine mbalili ikiwemo ardhi mama ya Tanzania. Baafa ya shukran leo nitaeleza kuhusiana na mizimu nini asili yake na vipi unaweza kunufaika nayo na vipi unaweza kupata hasara soma kwa umakini sana huwenda maelezo haya usiyapate pengine popote zaidi ya hapa. 

Mizimu ni mkusanyiko wa Majini ama kikundi cha majini chenye asilia tabia na tamaduni zinazofanana. Yaana kwa lugja nyepes kama unavyoona mashabiki wa Simba kuna vtu watakuwa wanafanana ambao huwatifautisha mashabiki wa Yanga. Watu wa kusini Wamakonde kuna vtu hawafanani sawa na watu wa Ukanda wa Pwani. Basi ndivyo ilivyo hata kwa majini wale wanaoendana tabia na mila ndio hukaa na kutembea pamoja. Sasa hiki kikundi cha Majini ambao kiasili hufanana mila na tamaduni zao ili kiwe kikundi cha Mizimu kuna vtu vinafanyika endelea kusoma kwa umakinin ufafanuzi.

Jamii ya watu fulan watakaa kikao kwa shida zao ama mambo yao wataomba msaada kwa majini. Na majini watakaowapata ni wale ambao mila za hao majini na mila za hao watu walioomba zitakuwa zinashabiina kwa namna moja ama nyengine. Sasa kiongozni wa Ukoo ama jamii hiyo inayotaka hyo mizimu watazubgumza shida zao baada kulipata hilo kundi la kijini na wataingia maagano kwamba sisi 'hao majini' watawaambia kwamba tutatekeleza jukumu hilo mlulolihitaji ila na sisi tunataka mfanye hivi na hivi hapo sasa wataweka maagano kulingana na aina ya majini waliyoingia nayo mkataba.

Kwenye mikataba hawa wakuu wa ukoo wataukabidhi ukoo wao wote na vizazi vitakavyozaliwa kwamba vitakuwq chini yao kimaangalizi na katika kutatua shida zao. Atachaguliwa kiongozi mmoja wa ukoo ambaue atakuwa akiwasiliana na mizimu na kutoa taarifa kwa ukoo kwamba sasa muda wa sadaka umewadia jaman twenden tukatamvikeni. Au mizimu inamtaka mtu fulani awe msimamizi. Sasa kama nlvyozubgumza hapo juu kila majini wana tamaduni zao wapo wanaoishi maporin ndio utaona watu wa kabila fulan mizimu yao ipo maporini. Wapo manini wanaoishi karbu na bahari ndo utaona kuna watu shughuli zao za mizim zinafanyika kwenye mapango kuna mzimu mingine inaish majumban mnapoishi ndo urakuta kuna nyumba uani kuna vijibadna vidogovidogo.

TABIA NA ASILI ZA MIZIMU NI ZIPI

Kama ukoo wenu una tabia ya kukitana kila baada ya muda fulan na kuna mambo ya asili hifanyika basi jua kuna mizimo hapo na hyo ni matambiko na hata kama hukuambiwa basi fungua kichwa kwamba hyo ni mizimu. Pale wanapotoa hzo sadaka aidha kupokwa vyakula pombe na kuchinjwa wanyama kuna watu wapya wa familia wanatambulishwa kwa mizimu pia kuna watu walikosea mizimu huomba radhi kipindu hicho. Pia kuna wenye shida zao wakati huo huomba. Pia wapo wanaogoa shukran siri zote anazijua mkuu wa ukoo ambaye yeye ndio mtoa taatifa huku na huku.

Ikiwa kuna matatzo yatatokea mfano wakaacha hizo mila aidha kwa wale wakuu kufafiki kabla ya kurithisha mtu aendeleze pale walipoishia sasa hapa ndip matatzo huanza kutokea. Sababu wenyewe waliingia makubaliano kwamba sisi titakuwa na nyinyi na tutawafanyia haya katika makubaliano. Ndipo waliobaki wataanza kupata matat,o ya vupato uzazi mikosi kama kuna mali iliachwa itakufa yote na mtaandamwa na mambo magumu sana watu wa ukoo huo mpaka mtakapojirudi tena kwenda kuwataka msamaha. Sasa hapo atakiwa mtani wenu wa ukoo ndio akawaombee msamaha.

Huwemda ukawa umezaliwa mjini na hujuia kama ukoo wako ulikuwq na vitu hivyo basi moja ya dalili ikiwa kama wewe ndio watakiwa kwenda kuwa kiongozi utaona yiwaota ndoto za kuvaa vilembe aidha vyekundu ama vyeusi. Utaita vinyoka vidogo vyeusi na wakati mwingine unaweza kuwaona kabisa wakipita mbele yako kisha hupotea. Kuwaota wazee wa zaman wanakuambia mambo fulani yaan kuendeleza mila wao walizokuwa wqkizifanya ikiwa ni uchwi, kuagua ama masuala ya mizimu utaona mambo ya aina hyo na hakuna utakachofanya kikamea mpaka uende ukatimize.

Katika dalili za kuonesha kuwa una matatizo ya kishetani ama mizimu ya ukoo ni kuota ng'ombe wenye asili ya rangi nyekundu. Ukiota unachunga ng'ombe wekundu ni ishara ya kuteuliwa na mashetan wa ukoo wako na wanataka utawale yaan kirithi aidha mambo ya maaguzi au uchawi yategemea na isimu ya ukoo wenu upoje. Ikiwa wanakufuata hao ng'ombe wekundu na au kukukimbiza basi unakumbushwa na kutishwa kuwa urudi kwenye mila za wazee wako kama wana mitambiko. Ndoto za kuota sana vijini kwenue ulipokulia pia zinaashiria masuala ya mizimu.

FAIDA NA HASARA ZA MIZIMU

Wale wazee waliingia makubaliano kwa ajili ya kurahisiha mambo yao. Sasa faida yake ni kwamba watu wa ukoo huo watakuwa wakifanya mambo yao hapo mfano kupata faida kwenye vilimo kupata utajiri kujinufaisha kibiahsra wakati mwingine hata matatzo ya kesi huisha. Yaani mtu wa ukoo husika ukienda na jambo lako na ukafiata hatisa zote basi kufanikiwa ni kukubwa ila tu ukubali maagano mtakayoingia.

Hasa huja pale unapokaidi maagano mfano kama ulitaka mali ukapewa kisha ukaambiwa kila baada ya muda fulani fanya jambo fulani ikawa ukakaidia basi wanachukua kile walichokupa na hata kile cha mwanzo ulichokuwa wamiliki pia utakitafuta kwa tochi. Kuna jambo jengine wengi wanajichangaya kama sio mizimu yako na ukaenda kuomba mfano mganga ana mizimu yake pale kwake lakini wewe sio ukoo wa huyo mganga hapa kuna mawili unaweza kufanikiwa ama usifanikiwe soma kwa makini mpaka mwisho.

KWANINI UKIENDA WEWE HUFANIKIWI

Kama nilivyoeleza hapo juu kwamba kila ukoo una mizimu yake na kila mizimu ina tamaduni zake katika kuombwa kunaliza shida fulani. Sasa mnapokosea unakuta wewe ni mtu wa bara unaenda kwwnye mizimu ya Pwani wakati hala hamna mahusiano hapo kufeli ni kukubwa kuliko kufanikiwa. Maanae mnaweza mkaenda watu wawili mmoja ana husika na hyo mizimu halaf wewe hausiki na inaweza shida ikawa moja basi mwenzio atafanikiwa wewe utadunda sasa kuna kazi unatakiwa uanze kuifanya kabla ya kuomba kuna njia ama hafua yafakiwa zifuate nitaeleza somo lijalo kama mtatoa ushirikiano kwa kutaka darasa liendee kwenye coment

Nmeitoa makala haya ili kupunguza maswali wengi wanasema wanaenda mizimuni ila wanaliwa tu fedha na hao watu wa mizimu. Hiwenda ikawa si mzimu wako pia na hiyo aliyekupelekra hana utaalam wa huo mzimu kwa hyo ni kazi bure. Pili kuna wengine wamekuwa wakisumbuliwa na mzizimu ya kwao na hawajui wapi waanzae ni vyema ukapata wataalam wajuzi wa hao mambo mfano kuna ndoto na ishara nmeztoa hapo juu kama unazo ni moja ya dallili sasa maanayake unaweza ukaona mambo yako hayawi ndoa hupati ama mitihan ndoan ama hupati kizazi unazunguka tu kumbe shida ni mzizimu ya kwenu na mababu zako ndio waliolitafuta hili.

KWA SHIDA YOYOTE JITAHD KUPIGA SIMU IWE SHIDA YA KINYOTA, BIASHARA, MAPENZ, UZAZI, NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKARI, MAJINI MAHABA NK 

+255621442936

IKIWA YUWATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YAKUTOSHA JINA ULPO NA SHIDA JUMBE KAMA MAMBO NIAJE VIPI HI HELLO SITAZIJIB HESHIMU MUDA WA MTU
Umelipenda somo ruksa kushea

Comments

  1. LILILOKATALIWA NA MIZIMU MGANGA HULITATUA?NAOMBA UFAFANUZI TAF

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI