Posts

Showing posts from August, 2021

MARADHI YA MASIKIO, KUWASHWA, USAWA USIKIVU HAFUFU

Image
LEO KATIIA MAKALA HAYA NITAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MARADHI YA MASIKIO IKIWEMO NA KUTOSIKIA, KUWASHWA MASIKIO NA KUTOKA UCHAFU USAWA JITAHIDI KUSOMA MAKALA MPAKA MWISHO MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ.  Tatizo la kitokusikia ama usikivu hafifu au kutoka usawa ama kuwahswa masikion haya ni matokeo lakini kuna vyanzo vinavyosababisha matokeo haya. Katika tiba yakupasa utibie chanzo, kwa siky huwa napokea simu za shida mbali mbali ila wengi ni shida za kidunia mapenzi na ridhki, huwa napenda kutoa ushaur kwamba yatakiwa kwanza muhuiska ajue chanzo cha matatzo yake ni yapi kisha ndiyo yafanyiwe kazi. Yuwakuta mtu analilia mapenzi kila siku wakati nyota yake haipo sawa baada kushughulika na mambo muhimu ya kinyota yeye ashughulika na matokeo ya kimapenz ambayo msingi wake ni nyota yake iweke sawa. Hapa nilikuwanatoa mfano kwamba kila jambo lishughulikiwe kwa vyanzo. Katika maisha ya mwanadamu kuna mipango ya mungu na kudra zake, pia maharibifu kutoka kwa mwanadamu. H

MATATIZO YA WATOTO KULEGEA VIUNGO VYA MWILI, SHINGO KUCHELEWA KUKAA NA KWENDA

Image
TAFADHALI jitahidi kuyasoma haya makala kwa umakini tena mpaka mwisho. Ili usije ukauliza jambo ambalo ufafanuzi wake upo. Nasema hivi maana napokea jumbe na simu nyingi za maswali ambayo majibu yake yapo kwenye makala nazotoa wengi wanasoma vichwa vya habar na kuchua namba. Hivyo ukiona nmeweka kitu basi jua kuna maelezo ya kutosha ukisoma yuyaweza kujisaidia mwenyewe au kujua wapi pakuanzia. Nmekuwa nikipokea maswali mengi kuhusiana watoto wadogo kutokana mwili ama kuchelewa katika ukuaji. Hapa nitaeleza baadhi ya sababu na njia zake katika kuliendea tatizo husika kuwa makini katika kusoma. Huwa nawaeleza mara kwa mara watoto wanapozaliwa hasa wale wa vijijini au wale wanaojua umuhimu wa madawa asili huwapeleka kwa wataalam ama wazee nao huwapa mavuo. Mavuo ni dawa maalumu za kuoga na kunywa kwa ajili ya kumkazanisha mtoto viungo na kumuharakisha katika ukuaji wake. Zipo njia nyingi hutumika wapo wanochanja ili atembee haraka akikaa tu ni kusimama na kutembea hana kutambaa. Pia kuna