MARADHI YA MASIKIO, KUWASHWA, USAWA USIKIVU HAFUFU
LEO KATIIA MAKALA HAYA NITAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MARADHI YA MASIKIO IKIWEMO NA KUTOSIKIA, KUWASHWA MASIKIO NA KUTOKA UCHAFU USAWA JITAHIDI KUSOMA MAKALA MPAKA MWISHO MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ.
Tatizo la kitokusikia ama usikivu hafifu au kutoka usawa ama kuwahswa masikion haya ni matokeo lakini kuna vyanzo vinavyosababisha matokeo haya. Katika tiba yakupasa utibie chanzo, kwa siky huwa napokea simu za shida mbali mbali ila wengi ni shida za kidunia mapenzi na ridhki, huwa napenda kutoa ushaur kwamba yatakiwa kwanza muhuiska ajue chanzo cha matatzo yake ni yapi kisha ndiyo yafanyiwe kazi. Yuwakuta mtu analilia mapenzi kila siku wakati nyota yake haipo sawa baada kushughulika na mambo muhimu ya kinyota yeye ashughulika na matokeo ya kimapenz ambayo msingi wake ni nyota yake iweke sawa. Hapa nilikuwanatoa mfano kwamba kila jambo lishughulikiwe kwa vyanzo.
Katika maisha ya mwanadamu kuna mipango ya mungu na kudra zake, pia maharibifu kutoka kwa mwanadamu. Hapa nitafafanua kwa uchacje sababu za maradhi ya masikio pia nitaeleza kwa uchache namna ya kuyatibia. Kuna maradhi ya kawaida mfano usaha ama uchafu huu hutokana namfumo wamasikio wenyewe ndani kitokaa sawa hivyo huzalisha vtu ambavyo havihitajiki ndani vikikaa huoza na kuzalisha uchafu ama usaha sikio lenyewe kwa msaada ili usizulu mfumo hukusaidia kutoa hizo taka nje ndio unaona usaha unatiririka sikion.
Pia huu huweza kuwa matatzo ya kurithi hasa kwa watoto kwa sababu bado mifumo yao huwa haikamiliki mpaka wafike unri fulan hivyo kama mzazi mmoja lipitia huko basi usishangae na mtoto pia kuwa hivyo ukiwahi haraka unaweza kumtibu ukichelewa yaweza jusababisha matatizo mengine ya uziwi maana ule uchafu huweza kuganda na kusababisha hewa kutopita hivyo mfumo huaribika na kusababisha uziwi.
Matatizo ya kuwashwa ama kusikia kama mingurumo hii husababishwa na mshtuko wa mfumo wa sikio. Mfano ukismhtua mtu ghafla kwa kelele pela mfumo wa sikio huvuma unasikia kama kitu kinalia nzeee sikion. Sasa hii kama itampata mtu kwa mshtuko mkubwa huweza msababishia madahara ya kutokusikia. Mtu akipogwa kofi kwa nguvu la kushtukiza ama kupata ajali ya ghafla akaangukia upande wa sikio upo uwezekano wa kupata hitilafu za masikio yake siku za usoni. Ndio maana mnashauriwa watoto wadogo msiende nao kwenye makelel ya mangoma ama miziki sababu masikio yao katika mifumo huwa bado haijakamilika mwishowe unaweza muharibu mtoto pasina mwenyewe kujua.
Kubwa kuliko yote kuna mikono ya watu ambayo hapa sasa ndipo wengi huangukia unakita mtu katibiwa sana masikio lakini hakuna matoneo hapa kunakuwa na mikono ya watu imepita. Mtu anawwza kukupa husda ukawa husikii maisha yako yote ikiwa hujashughulikiwa. Waweza tupiwa mdudu bimaana jini akakalia masikio yako ukawa husikii chochote na madawa unamaliza. Mtu unaweza kufungwa masikio hapa kuna namna mbili namna ya kwanza wanaweza kukufunga kutosikia kauli yaan kuna mtu hata mumwambie nn jambo zuri la her lakini haweza kiwasikiliza atafanya atakalo yeye huyu kafungwa kutoskia kauli za watu hapa watu huumizwa sana hasa kwenye masuala ya mapenzi. Na kuna mtu afungwa kabisa asisikie sauti kabida hapa ndio pabaya zaidi.
Kwa maana hiyo kama kuna mikono ya watu hivyo ni lazima kwanza vishughulikiwe vitakavyoonekana alaf ndiyo mafunguzi mengineya masikjo yafuate. Hivyo yatakiwa mtaalam aangalie kiundan apate kujua chanzo chake ni nn kipatiwe ufumbuzi. Lakini pia kwenye hili kuna kudra za Mwenyezi Mungu huwenda mwenyewe kapenda kukuondolea neema ya kusikia hivyo wewe matibabu yako yatakiwa yaende kiucha Mungu utapate wacha Mungu walionyanyuliwa daraja wapate kumuomba mungu pili mambo mengine ya mafunguzi yaendelee. Na haya ni baadhi ya maelezo na dawa za kawaida za maradho ya masikio
HIZI NI BAADHI YA DAWA NA NJIA ZA KUTIBU MARADHI YA MASIKIO
MASIKIO YANAYOTOKA DAMU AMA USAHA
hapa yatakiwa upate punje saba za vitunguu saumu. Upate na majani ya mfagio ule mdogo wenye majani membamba utatwanga vyote kwa pamoja kama haitakuwa nyepesi basi itakupasa uzimue kwa mafuta ya habbat souda. Yaani maji ya kuyayusgia dawa yako iwe mafuta ya habbat souda.
majani ya mti wa mfagio
Ukimaliza kuiandaa hivyo itakupasa uwe na kitambaa chepesi chochote utaweja dawa yako kwenye hicho kitambaa kisha utaminyia sikion yaingie walau matone saba. Utafanya hivyo mara tatu kwa siku na wakati unafanya hivyo yatakiwa ipashwe moto kidgo.
Fanya kwa muda mref walau siku saba mpaka kumi na nne ili kupata majibu mazuri na kuuwekea ulinzi mfumo wako wa msikio uispatwe tena na shambulizi hilo.
KUWASHWA MASIKIO NA KUSIKIA MIVUMO
Hapa yakupasa upate majani ya mzungwa ama mpatakuva utachanganya na majani ya kivumbasi kidogo zoezo ni lile lile utatwanga mpaka vilainike viwe kama kisamvu ikiwa ni nzito hapa kuzimua kwake ni kupata mafuta ya zaituni ama nazi ndio huzimua hii dawa.
Upande wa matumizi ni kama nilovyoanisha hapo juu ila hii hutumika mara mbili kwa siku ndani ya siku tano mpaka saba yategemea na muwasho wenyewe na huo mvumo una ukakasi kiasi gani. Hivyo yatakiwa uwe unatengeneza dawa mpya kila siku usirudie ile ya jana kuitumia leo.
KUANZA KUPOTEZA HALI YA KUTOSIKIA
Hapa kama nilovyoeleza hapo juu ikiwana hali ya hitilaf ya mwili basi yatibika kirahisi ikiwa kuna mambo mengine yamepita basi sharti kwanza vianze kutibiwa hivyo visababu ndivyo utibie matokeo mengine.
Hapa utatafuta mafuta ya kuku ( yapo maduka ya dawa asili baadhi) haya utayatumia kuweka matone matatu asubuhi na jioni masikio mwako ila yatakiwa uanze na sikio zima kisha unafuata lile bovu ikiwa yoteni mabovu bask anza mkono wa kulia kisha malizia kushoto.
Jitahd ufanye kwa siku zisizopungua saba mpaka 21 itategemea na ukongwe wa ugonjwa wenyewe. Ikiwa hujapata majibu nafikiri utakuwa umeyaelewa makala yangu kwa upana na utajua tatzo lipo wapi nautaanza kulishughulikia sababu watu wengi hampenzi kushughulikia vyanzo vya matatzo mnapenda kushughulikia mtokeo ya matatizo.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
KAMA UMESOMA KWAUTULIVU NA KUELEWA MAKALA HAYA BASI NINA IMANI UTAJISHUGHULIKIA MWENYEWE NA KUWA BALOZI KWA WENGINE WENYE MATATIZO HAYA NILIYOYAELEZA HAPA.
UNA SHIDA YOYOTE BINAFSI KIAFYA, MAPENZI, BIASHARA, KAZI, NYOTA, UZAZI NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKAR NK FANYA MAWASILIANO KWA NAMBA ZANGU
+255621442936
OMBI LANGU IKIWA UNASHIDA JITAHD KUPIGA SIMU IKIWA YUWATUMA UJUMBE BASI UWE NA MAELEZO YA KUTOSHA JINA ULIPO NA SHIDA JUMBE FUPI KAMA MAMBO NIAJE HI HABARI HELLOW VIPI SITAZIJIB HESHIMU MUDA WA MTU.
Comments
Post a Comment