MATATIZO YA WATOTO KULEGEA VIUNGO VYA MWILI, SHINGO KUCHELEWA KUKAA NA KWENDA
TAFADHALI jitahidi kuyasoma haya makala kwa umakini tena mpaka mwisho. Ili usije ukauliza jambo ambalo ufafanuzi wake upo. Nasema hivi maana napokea jumbe na simu nyingi za maswali ambayo majibu yake yapo kwenye makala nazotoa wengi wanasoma vichwa vya habar na kuchua namba. Hivyo ukiona nmeweka kitu basi jua kuna maelezo ya kutosha ukisoma yuyaweza kujisaidia mwenyewe au kujua wapi pakuanzia.
Nmekuwa nikipokea maswali mengi kuhusiana watoto wadogo kutokana mwili ama kuchelewa katika ukuaji. Hapa nitaeleza baadhi ya sababu na njia zake katika kuliendea tatizo husika kuwa makini katika kusoma. Huwa nawaeleza mara kwa mara watoto wanapozaliwa hasa wale wa vijijini au wale wanaojua umuhimu wa madawa asili huwapeleka kwa wataalam ama wazee nao huwapa mavuo. Mavuo ni dawa maalumu za kuoga na kunywa kwa ajili ya kumkazanisha mtoto viungo na kumuharakisha katika ukuaji wake.
Zipo njia nyingi hutumika wapo wanochanja ili atembee haraka akikaa tu ni kusimama na kutembea hana kutambaa. Pia kuna dawa za kukinga na vitu vibaya ikiwemo wachawi ama watu wanaombeba mtoto wakiwa kwenye mambo yao. Kikawaida mtoto mchanga akibebwa na mtu aliyetoka kufanya mapenz na hajaoga mtoto ananywea akibebwa na mtu mwenye hedhi mtoto anywea akibeba na mtu aloyetoka kukoga madawa yasiyoeleweka mtoto ananywea sasa watu wa zamani huwaogesha watoto madawa ili kuwakinga na hali hizi sasa twende kwenye mada husika ni vtu gani vinasababisha mwili kutokaza mtoto.
KURITHI KUTOKA KWA WAZAZI
Kama mzazi mmoja kati yenu alkuwa na tatzo la kutokaza viungo haraka basi hata mtoto aweza kurithi. Na wengi huwa ni shingo ndiyo inachelewa kukaza yuwakutaka mtoto miez yenda zake lakini shingo haikazi basi kama kuna mzazi mmoja alikuwa na tatzo hilo basi jua amerithi na si tatzo kubwa sana mnaweza kuwa na subira ama kumshughulikia kama mwahitaji aende haraka zaidi.
Tiba yake ni kumshughulikia kwa njia hizo nlotaja hapo juu unaweza kumuwahisha kwa wataalam wakampa mavuo akakaza. Na hio huwa si shida kubwa sana na haiwez kumaliza mwaka akawa hivyo.
WAZAZI KUWA NA ISIMU ZA MAJINI
Kama mmoja wa wazazi ana asili ya majini kwao basi huweza kundhuru mtoto kwa kumyong'onyesha. Na hii mtoto huwa analia sana kunyooka wakati akilia huambatana na kutokaza viungo. Maana majini wana tabia ya kupenda kuheshimiwa hivyo pale unapopata mtoto watakiwa waitwe wakabidhiwe kwamba kiti amepata mtoto wakabidhiwe ili wamtambua pia kwa ajili ya kumlinda na vitu vibaya.
Kwa shida hii kama hamjui mtoto anaweza kuteseka sana kulia usiku kutopenda hata kunyonya wakat mwingine umchukia mpaka mzazi na kukasirikia nyonyo. Hapa dawa ni kuitwa hao majini ikiwa wanapanda ikiwa hawapand wasemewe akabidhiwe mtoto kisha mtoto apatiwe mavuo atakaza na tatzo litakwisha.
VIJICHO KUROGWA
Kama mtoto amerogwa ama kutupiwa kitu mwilini mwake pia huweza kumzoofisha na hii ndo husumbua wengi unakita mtoto ana miaka miwil hatembei wala hakai sababu kuna vtu vinamsumbua mwilini mwake. Utakuta mtu anasumbuka kumpa kila aina ya dawa mtoto lakini hakuna unafuu unaopatikana.
Mara kadhaa huwa naeleza kuna hatua ikifika yakupasa uhangaike na chanzo cha tatzo hivyo ukiona mtoto anaelekea umri wa mwaka hakuna kitu unachokielewa anza kubangaika. Na unapohangaika hangaika chanzo cha tatzo, maana mtoto hata iweje haweza kupitisha mwaka mmoja bila kukaa chini hivyo ikifika hatua hiyo jua kuna shida pahala jitahd kuanza kuhangaika.
MIZIMU NA MAMBO YA UKOO
Yaweza ikawa kuna shina la mizimu upande wa wawzazi. Na wamekuwa wakiifanyia vtu fulani basi wakikata huweza kuathiri vuzazi vyao. Pia kama mzazi alikuwa na shida ya uzazi akaenda kuomba kwenye mizimu akaweka ahadi akapata alichokiomba ikiwa hakutimiza ahadi huweza kudhurika mtoto na moja ya madhara ni hayo pia. Kuna masuala na nadhiri pia nyaweka hapa kama ulitia ahad kuwa ukizaa utafanya jambo fulani lolote lile basi jitahd kulitimiza maana pia inaweza kumsumbua mtoto.
VIPI UNAWEZA KUTIBIA SUALA HILI
Nimejaribu kueleza kiundan na kutaja baadhi ya sababu ambazo huchangia mtoto kupata madhara ya kutokaza mwili. Lakini pia tatzo likichelewesha kuweza kusababisha ulemavu wa kudumu hivyo kama mtoto umekaa naye kapita mpaka miaka mitatu hujamshughulikia kuna uwezekano mkubwa kuwa mlemavu. Mbali na hivyo pia kuna kudara za Mwenyezi Mungu yeye akitaka lake basi huwa ila mjitahd kushughulikia watoto wanapozaliwa mavuo ni muhimu acheni uzungu naa ujuaji mwingi.
Huo mti hapo juu waitwa mkula gembe ama kikula jemba majani yake magome na mzizi hutumika kukazia viungo kwa watoto.
Huchukuliwa kamba za mti uanoitwa mlangamia ama mfungafunga una kambamba huita juu ya mti mwingine angalia picha hapo chini.
Vitu vyote hurowekwa kwa siku nzima kisha mtoto huoshwa na kunywesha.
Pia kiazi cha mlangamia huanikwa na kitengenezewa usembe kisha mtoto huogeshwa na kuchanjwa kwenye viungo ni njia asili isiyo madhara kuchanganywa na madawa mengine ili kuharakisha haraka zaidi.
Kuna njia nyingi jitahdin kuwapeleka watoto kwa watalaam ili apatiwe dawa sahihi kulingana na tatzo atakaloonekana nalo ukihitaji msaada wangu wa hayo mavuo namba zangu zipo kila post. Huo mti pichan waitwa mkulagembe ama kikula jembe.
Usikae na mtoto nyumban akiwa na tatzo halaf ukalinyamazia ukaendelea kumuumiza mtoto jitahdn kuangalia umri wa mtoto na ukuaji wake mtoto amefikia wakati wa kukaza shingo muangalie je kakaza. Mtoto umri wa kukaa umri wa kutembea chunguza.
+255621442936
Nimeeleza muwapeleke kwa wataalam karbu nanyi ikiwa yuwataka msaada wangu kwa shida yoyote iwe hii nilotaja shida binafsi za watu wazima nyota uzazi majini nguvu za kiume biahsra mapenzi kazi kuuza kktu kesi nk kwa msaada fanya mawasiliano kwa namba zangu piga simu ikiwa yuwatuma ujumbe basi weka maelezo yanayoeleweka ikiwemo jina pahala ulpo ma shida jumbe fupi kama mambo hi niaje vipi habar sitazijibu heshimu muda wa mtu.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
KIOFISI NIPO MKO WA TANGA NDIO MAANA KWENEYE HAYA MAKALA NMETOA USHAUR MUWAPELEKR KWA WATAALAM KARBU NANYI. ILA KWA ANAYETAKA DAWA ANAWEZA KUJA AMA KUSAFIRISHIWA.
KWA WANAOTAKA KUSAFIRISHIWA KWA DAWA YOYOTE ILE JITAHD KWANZA KUSOMA MAKALA ZANGU ILI KUJIRIDHISHA KABLA HUJANITAFUTA. SOMA KWENYE HII BLOG KAGUA MAONI YA WATU INGIA FACEBOOK TAFUTA PAGE YA MTABIBU ASILI TZ KAMA INAVYOONYESHA HYO SCREENSHOOT HAPO. NAREJEA TENA JIRIDHISHE KWANZA
Habari,mtoto wangu alivyozaliwa alichelewa kulia sasa ana miezi saba bado ajaweza kukaa kwa kujitegemea mwenyewe na pia miguu haina nguvu ya kusimama japo kuna kipindi anasimama na kipindi kingine hasimami pia shingo haijakaza akibebwa inadondokea kwa nyuma je,nini nifanye ili aweze kuwa sawa?
ReplyDeleteJitahd kusoma maelezo nmetoa ushaur wakutosha
Delete