Posts

Showing posts from 2024

KAZI, SHUGHULI, BIASHARA ZINAZOENDANA NA NYOTA YAKO KUFANYA ILI KUFANIKIWA KIMAISHA

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU NMEGUNDUA watu wengi ni wavivu wa kusoma. Ukurasa wangu wa mTabibu ASILI TZ hakuna kikichobakishwa kuhusiana na masuala ya nyota ni wewe tu kutenge muda wako na kusoma makala zilizopita. Juzi bmeulizwa sana maswali ya nyota kazi gani zinaendana na nyota gani. Ukweli kuna post nilizitoa kuhusiana na uchambuzi wa kila nyota pekee ambapo nimefafanua kula kitu kuhusiana na kila kundi kuanzia maisha binafs mapenz kazi za kufanya watu kushirikaina nao vyakula pete na vito nk. Makala haya nitazungumzia kuhusiana na kazi bishara inayohusiana na kundi lako la nyota jitahd kusoma kwa umakini. Kila nyota inayo jini anayesimamia inayo malaika anayeiangalia inayo siku ya bahati vyote nilishazungumza kazi yako ni kutejea makala zilizopota ikiwa utaona kazi kupeeuz nyuma lipia utafafanuliwa inbox.    SHUGHULI ZA WATU WA NYOTA YA PUNDA PUNDA  asili yake n