MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUYAFANYA SIKU YAKO YA KUZALIWA BIRTHDAY
MAMBO HUTAKIWI KUMFANYIA MWANAO SIKU YAKE YA KUZALIWA BIRTHDAY WALA KUJIFANYIA MWENYEWE
NIMEONA NILIONGLEE HILI MAANA WENGI MNAIGA MKUMBO PASINA KUJUA SHIDA UNAZOWEZA KUZIPATA SIKU ZA USONI. KWANZA SIKU YAKO YA KUZALIWA NI SIRI KUBWA SANA YA MAFANIKIO YAKO HIVYO USIPENDE KILA MTU AJUE UMEZALIWA LINI. KUMBUKA MWAKA ULIOZALIWA SIKU NA TAREHE VINA MAANA KUBWA MNO KATIKA MAFANIKIO YAKO NDIO KITOVU CHA KUSIMAMISHA FALME YAKO. MAELEZO HAYA YANALETWA KWAKO NA MTABIBU ASILI TZ
IKIWA YUWAITAJA LABDA PAHALA PAKO PAKAZI WATU WENYE MAHUSIANO NAWE YAAN BIMAANA MAWIFI MASHEMEJ AU WAKE WENZA WANAWEZA KUKUFANYIA UBAYA HASA KWA WATU WENYE HUSDA. UNAWEZA KUZIMWA UFALME WAKO UNAWEZA KUFIFISHWA NYOTA YAKO
ILI UFANIKIWE YATAKIWA MWILI WAKO UWE SAFI NYOTA YAKO IWE IMESIMANA VZUR UFALME WAKO UWE NA NGUVU ASILI YAKO IWE INAKITAMBUA NA KUKUPA NGUVU. VITU MNAVYOKOSEA KUSHEREHEKEA SIKU YAKO YA BIRTHDAY KWA KUJIMWAGIA POMBE AMA MAJI MACHAFU OIL MATOPE NK. PALE UNAKUWA NYOTA YAKO INAZALIWA UPYA HIVYO INAKUTANA NA VITU VYA KUFIFISHA BAADAE UNAANZA KUTAFUTA MCHAWI NI NANI.
JITAHIDI SIKU YAKO KUZALIWA KUVALIA MAVAZI MEUPE JIEPUSHE NA NAJISI YOYOTE JIEPUSHE NA ZINAA IKIWEZEKANA FUNGA SIKU HIYO MUOMBE MUNGU CHOMA FUSHO LA NYOTA YAKO PIKAA WALI KULA NA WATOTO HATA NA MARAGAGE IKIWA HUNA UWEZO. HUKATAZWI KUKATA KEKI ILA JIEPUSHE NA MAPMBE NA KUMWAGIANA VITU NILIVYOTAJA UNAJITIA WEUSI MWILIN.
MNATIA WATOTO HUSDA MNAWASABABISHIA MAISHA YAO KUWA MABAYA SIKU ZA BAADAE KUZIMA FALME ZAO MNASABABISHA WATOTO WA KKUME KUWA MAHANITHI MNA SABABISHWA WAKIKE KUWA WAHUNI WAAIOTULIA KUNA VIUMBE VIKIWAINGIA WANAKUWA HAWASIKII. SASA SIKU YA BIRTHDAY UKIJIMWAGIA POMBE UFALME WAKO UNAHAMA UNAINGILIWA NA JINI LA KIFIRAUN HAPO UHUN UTAKUANZA HATA KAMA OSTADH AMA UHKTI UTAJISHANGAA MWENYEWE.
JITAHIDI KUWA MSAFI SIKU HIYO FUNGA JITOLEE SADAKA FANYA DUA YA KUMSHUKURU MUNGU WABEE WAZEE WAKO KAMA WAMETANGULIA KAMA WAPO HAI WAFANYIR IHSANI SIKU HIYO
IMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ RUKSA KUSHE RUKSA KUKOPI USITOE JINA LANGU
maswali niulize hapa chini
Una shida binafsi 0621 442 936
Comments
Post a Comment