KAZI, SHUGHULI, BIASHARA ZINAZOENDANA NA NYOTA YAKO KUFANYA ILI KUFANIKIWA KIMAISHA


MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

NMEGUNDUA watu wengi ni wavivu wa kusoma. Ukurasa wangu wa mTabibu ASILI TZ hakuna kikichobakishwa kuhusiana na masuala ya nyota ni wewe tu kutenge muda wako na kusoma makala zilizopita. Juzi bmeulizwa sana maswali ya nyota kazi gani zinaendana na nyota gani. Ukweli kuna post nilizitoa kuhusiana na uchambuzi wa kila nyota pekee ambapo nimefafanua kula kitu kuhusiana na kila kundi kuanzia maisha binafs mapenz kazi za kufanya watu kushirikaina nao vyakula pete na vito nk.



Makala haya nitazungumzia kuhusiana na kazi bishara inayohusiana na kundi lako la nyota jitahd kusoma kwa umakini. Kila nyota inayo jini anayesimamia inayo malaika anayeiangalia inayo siku ya bahati vyote nilishazungumza kazi yako ni kutejea makala zilizopota ikiwa utaona kazi kupeeuz nyuma lipia utafafanuliwa inbox.

   SHUGHULI ZA WATU WA NYOTA YA PUNDA

PUNDA  asili yake ni moto jinsia yake ni dume SayarI yake ni MIRIHI jini wa nyota hii anaitwa Abuu Muhriz, Malaika wa nyota hii anaitwa IZRAEL ndiye mtoa roho watu waliozaliwa kunazia tarahe 21 mwez machi mpaka tarhe 20 April. Wasiojua tarehe ni watu wanaoanzaia na herufi A,M,Y,. Siku ya bahati ni Jumanne. Rangi  za bahat ni nyekundu huwakilisha moto hii huwapa nguvu katika mapambano. Rangi za bahat na mapenz ni rangi za kijani kibichi au mpauko kuhusu manukato au pafyumu upate marashi misk au vtu vilichoanganywa na asali.

     SHUGHULI KAZI ZENYE MANUFAA 

Mafanikio yapo kwenye shughuli za nguvu kucgomea shughuli zinazohusi moto sana mambo ya uposhi kwa kina mama. Pia  kazi za uongoz kazi za michezo bimaana kuwa mwanamichezo kiongozi wa michezo au kuuza bidhaa za michezo, Udaktar wa upasuaji, jeshi au kazi za ukoaji, biashara za jumla, kubadili fedha, biahsra ya vifaa vya shule na duka la madawa unaweza kujiajiri au kuajiriwa katika shughuli nilizozitaja hapo juu

       WATU WA NYOTA YA NG'OMBE

NG'OMBE ni nyota yenye asili ya UDONGO sayari yake ni ZUHURA siku yake ya bahat ni ijumaa. Waliozaliwa kuaanzia April 22 mpaka Mei 21, wasiojua tarehe ni herufi B,N,Z. Kama unahtaji bahat utavaa rangi ya kijan kama unajenga nyumba itakuwa na mvuto zaid zikiwa na rangi ya kijani au pink au fangi ya blu mpauko hii ni katika nyumba au sehemu za bishara.

     SHUGHULI KAZI ZA WATU WA NG'OMBE

Kazi na vipaji vya ng'ombe ni pamoja na muziki, kazi au biashara inayohusiana na chakula, hotel migahawa maduka ya vyakula, uzalishaji wa shamba, kazi za uhasibu. Vipaji hasa ni uchoraji wa uchongaji vinyago Siasa wanaweza uongozi hasa katika sekta ya vyakula ama mashamba.

Unaweza kuajiri au kuajiriwa Katika mambo hayo niliyozungumza kuwa yanaendana na nyota yako

    WATU WA NYOTA YA MAPACHA

MAPACHA asili yake ni UPEPO jinsia yake ni jike  sayar yake ni UTWARID, siku ya bahat ni Jumatano Malaika wake anaitwa Mikkail na jini wao ni Barkaan.  Ni  wale waliozalia kuanzia tarahe 21 Mei mpaka 20 Juni. Wasiojua tarehe ni herufi C na O. Rangi za bahat ni bluu, njano na rangi ya chungwa. Rangi zinazowavutia kimapenz ni rangi ya samawati. Kifedha ni rangi ya fedha na kijivu. Manukato ni marashi ya Mrujuani

   KAZI NA BIASHARA ZA MAPACHA

Kazi za kufanya ni utangazaji Radio, Televishe, Matangazo. Uchapishaji wa vitabu utungaji au uuzaji. Kazi za kufundisha au utoaji ushaur nasaha Uwakala wa kuwasafririsha watu nje ya nchi au utalii na ukalimani.

      WATU WA NYOTA YA KAA

KAA asili yake ni MAJI sayari yao ni QAMARI, Malaika ya nyota hii ni JIBRIL, jini wao katika nyota hii ni NUURIL ABYADH. ni wale waliozalia kuanzia tarahe 21 Juni mpaka 22  wasiojua tarehe ni heeuf D na P.siku  yao ya bahat ni Jumatatu. Rangi zao ni Nyeupe, Bluu, Hudhurungi na rangi ya Fedha. Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za Nyeusi na Bluu iliyoiva .Rangi inayowapa uwezo wa Kipato ni rangi ya Machungwa na rangi ya Dhahabu. Manukato yao Jasmine na Sandalwood

     SHUGHULI KAZI NA BIASHARA ZA KAA

Asili yao ni Uongozi Wanatakiwa wafanye kazi za Utabibu kama vile Madaktari au Wauguzi, kazi za baharini kama vile mabaharia, kazi za huduma ya chakula kama hoteli, migahawa, kazi za kuhudumia watoto kama katika shule za chekechea, kazi za benki au kazi za maneja utumishi au kazi za kuandika.

      WATU WA NYOTA YA NGE

NG'E ni nyota yenye asili ya MAJI sayari yao ni MIRIHI Malaiaka wake ni IZRAEEL jini wake ni ABUU MUHRIZ ALA HAMMAR. siku yake ya bahati ni Jumanne. Ni waliozaliwa kati ya Tarehe 23 Oktoba na 22 Novemba. Wasiojuatarehe ni herufi H na T. Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi ya Kijani.Rangi inayowapa uwezo wa Kipato ni Bluu. Manukato yao ni ya Msandali

        VIPAJI, KAZI BIASHARA ZA NG'E

Kazi zinazowafaa wenye nyota hii ni kazi za madawa au tiba, kazi za upelelezi, kazi za utafiti, kazi za fundi bomba, kazi za elimu ya kale, na kazi za ushauri wa mambo ya mapenzi na ngono au biashara zinazoendana na mambo hayog. Wana kipaji na uwezo wa kiroho wa kuwasiliana na watu katika kutekeleza mambo wanayohitaji.  Wanafanya kazi kwa kutilia mkazo na ushupavu wakihakikisha wanatekeleza malengo yao. Ni waerevu na wenye kung’amua mambo upesi. Ni wafanyakazi wazuri na wanaheshima kwa wafanyakazi wenzao.

Mbali na kuajiriwa unaweza kufanya kazi ya kujiajiri kuanzisha biahsra inayohusiana na mambo yaliyotajwa hapo juu.

  WATU WA NYOTA YA SIMBA

SIMBA ni nyota yenye asili ya MOTO Sayari yake ni SHAMSI Malaika wake ni Raukayeel jini wao anaitwa Abdullah Saeed al Madhhab siku yao ya bahati ni siku ya Jumapili. wale waliozaliwa kuanzia tarehe 23 Julai hadi tarahe 22 Agosti. Wasiojua tarehe ni majina ya herufi E,Q. Rangi zao za bahat ni nyekundu, dhahabu na rangi ya machungwa. 

  KAZI NA BISHARA ZA SIMBA

wanatakiwa wafanye kazi za Usimamizi katika sekta binafsi au Serikalini au makampuni ya biashara. Uongozi katika sekta ya michezo. Kazi za kujiajiri ni michezo, usonara, kutengenrza au kuuza mavazi, Mwanamitindo, Uigizaji, Ualimu, pia wanauwezo wa kuvumbua au kuanzisha jambo likawa kubwa na wengine wakawaiga. 

   WATU WA NYOTA YA MASHUKE

MASHUKE ni nyota yenye asili ya UDONGO, Sayari yao ni UTWARUDI. Malaika wao ni Mikyail jini wao anaitwa Barkaan. Siku yake ya bahati ni Jumatano. Ni waliizaliwa kuanzia tarahe 22 Agost hadi 22 SeptembA. Wasiojua tarehe ni heruf F,R. Rangi  za bahati ni Udongo, Njano na rangi ya Machungwa. Nguvu za kimapenzi tumia rangi ya Bluu. Manukato yao ni Mrujuani, 
  
  KIPAJI KAZI NA BIASHARA YA MASHUKE

Kazi zao ni uchapishaji, Utangazaji, Afya, Udaktari, Kazi za Unesi. Ualimu au ufundishaji jambo fulani. Shughuli za Uongozi Ukatibu na kazi zinazohusiana hasa na utendaji. Biashara yoyote ya kutembea au kukaa waweza ifanya.

    WATU WA NYOTA YA MIZANI

MIZANI ni nyota yenye asili  Upepo, Sayari yake ni ZUHURA. Jinsia yake ni dume hali yake ni thabiti uimaara. Jini wa nyota hii anaitwa Zawbat, malaika wa nyota hii Anyail. Siku yao ya bahati ni Ijumaa. Ni walewaliozaliwa kuanzia 23 Septbapaka mpaka 22 Octoba. Wasiojua tarehe ni herufi S, T. Rangi za bahati kwa wenye nyota hii ni Kijani isiyoiva. Rangi zinazowapa uwezo wa kifehda ni bluu.Manukato yao ni yenye asili ya uaridi, 

    KAZI BISHASHARA ZA MIZANI

Watu wa nyota hii kazi zao ni uhusiano wa jamii, Ushauri wa Ndoa, Biashara ya Sanaa, Ushauri wa Mambo ya Urembo, Uanasheria, Uhakimu pia biashara za kuziba pancha na kujaza upepo au kupamba maharusi zinawafaa zaidi. Wenye nyota hii eneo la kazi huwa ni washiriki wazuri na wenye upendo wa wafanyakazi wenzao na pia wenye nyota hii ni wajanja pia katika mbinu za kazi za ushirikiano nao huusishwa sana kwenye kazi za pamoja.
          
    WATU WA NYOTA YA MSHALE

MSHALE asili yake ni MOTO, sayari yake ni MUSHATARA jinsia yake ni dume Siku yao ya Bahati ni Alkhamisi. Malaika wake anaitwa ISRAFEEL, Jini wake SHAMHUURUSH.  Watu wa nyota hii ni wale waliozaliwa Novemba 23 mpaka 20 Disemba wasiojua tarehe ni herufi I na U. Rangi zao ni Bluu, rangi za kipato ni Zambarau  na rangi ya hudhurungi au kahawia.     

      KAZI BIASHARA ZA MSHALE

Kazi zinazowafaa ni za usafiri, kazi za sheria, Wakili au Hakimu, kazi za uandishi, ualimu, dini, sheikh au padri au makanisani au misikitini, michezo, kazi za kijeshi na uuzaji. Unaweza kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe au kufanya biahsta zinazohusu kazi hizo kuuza vitabu vya dini mavazi ya dini.

     WATU WA NYOTA YA NDOO

NDOO asili yake ni UPEPO malaika wake no KAFYAERL jini wake ni ABUI NUHU sayari yao ni ZOHALI siku yao ya bahati ni JUMAMOSI.  Ni wale waliozaliwa kati ya Tarehe 20 Januari na Februari 18. wasiojua tarehe ni herufi K,W. Rangi zao ni Bluu, Kijivu na Samawi ya Bluu. Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za Dhahabu na Machungwa. Manukato yao ni yale yatokanayo na Mgadenia (Gardenia) na Azalea. 

        SHUGHULI KAZI BIASHARA ZA NDOO

Kazi zinazowafaa ni za uhandisi wa umeme, kompyuta, utafiti wa Sayansi, utabiri, huduma za jamii na utafiti wa mambo ya kale. wana kipaji cha kutoa tafsiri sahihi ya jambo lolote linalotokea wakati wowote, Sudden Revelation. Kazi zao wanazifanya kwa upole na uhakika, pamoja na kwamba wanafanya kazi kwa bidii mara nyingi huwa wanaonekana hawajafanya kitu au sifa huenda kwa watu wengine.

        WATU WA NYOTA YA MBUZI

MBUZI ni myota yenye asili ya UDONGO Sayar yao ni ZOHALI Malaika wake ni Kafyaeel, jini wao ni Abuu Nuhu, Siku yao ya bahati ni Jumamosi. waliozaliwa kuanzia tarehe 21 Disemba na 19 Januari. Rangi zao ni Nyeusi na Bluu iliyoiva. Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi,  rangi za Hudhurungi na Fedha  Rangi inayowapa uwezo wa Kipato ni Rangi ya Samawi. Manukato yao ni yale yatokanayo na Msonobari.

       SHUGHULI KAZI NA BIASHARA ZA KUFANYA

Kazi zao ni uchapishaji, Utangazaji, Afya, Udaktari, Kazi za Unesi. Ualimu au ufundishaji jambo fulani. Shughuli za Uongozi Ukatibu na kazi zinazohusiana hasa na utendaji. Biashara yoyote ya kutembea au kukaa waweza ifanya.

         WATU WA NYOTA YA SAMAKI

SAMAKI ni nyota yenye asili MAJI . Malaika wake anaitwa Israfeel, jini wake anaitwa Shamhuurush. Sayari yao ni MUSHATARA.Siku yao ya Bahati ni Alhamisi., waliozaliwa kuanzia tarahe 19 februarmpaka tarahe 20 mwezi March. wasiojua tarehe ni herufi L na X. Rangi zao ni Bluu iliyochanganyika na Kijani na Aqua. Rangi zinazowapa uwezo wa Mapenzi, rangi za Udongo, Rangi inayowapa uwezo wa Kipato ni Nyekundu.      

      KAZI NA BIASHARA ZA SAMAKI

Wanatakiwa wafanye kazi ambazo zinazohusiana na kusaidia watu. Kipaji cha kutafsiri mambo, huwasaidia vile vile kufanya kazi za sanaa kama vile kupiga picha na kazi za muziki au maigizo. Kazi zingine zinazowafaa ni za kuhudumia wagonjwa, kucheza shoo, uaskari wa majini Ushaur nasaha biahsra za vinywaji na vileo
     
         MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

NIMEELZA SHUGHULI ZA KUFANIKIWA KWA NYOTA YAKO ILA UNAWEZA KUFANYA KAZI YOYOTE UKAISHUGHULIKIA IKAWA INAKUPA MANUFAA. KUNA KAZI HUWA NI KINYUME NA NYOTA YAKO HIVYO ITAKUPASA KUISHUGHULIKIA ILI IKUPE FAIDA MFANO NYOTA YA PUNDA HAHUSIAN NA SHUGHULI ZA KUUZA VINYWAJI SHUGHULI ZA UJENZ SHUGHULI ZA USAGIRISHAJI KWENYE MAJI NA UVUVI PIA HIVYO HASARA NI JAMBO LA KAWAIDA KWENYE MAMBO HAYO KAMA HUTASHUGHULIKIWA.

JITAHIDI KUSOMA MAKALA KWA UTULIVU UELEWE KIKICHOKUSUDIWA UNAWEZA KUREJEA IKIWA HUJAELEWA PAHALA. WENYE SHIDA ZA KINYOTA JITAHD KUANGALIWA CHANZO CHA TATIZO KIKASHUGHULIKIWA. PIA UNAWEZA KUPATIA KAZI YA NYOTA YAKO LAKINI UKAANDAMWA NA UADUI AU KUGLFUNHWA KIBIASHARA KIKAZI HIVYO JITAHD KUTAFUTA CHANZO CHA TATIZO IKIWA BIAHSRA HAIEND KAZIN KUNA MAMBO HUYAELW HUNA KAZ KABISA NK.

MAELEZO YA KILA NYOTA WATU WAKUSHIRKIANA NAO WATU WAKUONA NAO VYAKULA MIJI YA KUISHI PETE NA VITO VYA BAHATI NILISHAZIFAFANUA NI WEWE TU KUPITIA DARASA ZILIPITA UNAONA KAZI LIPIA GHARAMA UTAFAFANULIWA.

una tatizo lolote la kazi biahara mapenz nyota kukuza dhakar nguvu za kiume uzazi bawasiri chango msaaada kiofisi

+255621442936

Kwa mnaotuma ujumbe weka maelezo ya kutosha jina pahala ulpo na shida husika. Jumbe fupi sitazijibu

www.tabibuasili.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI