JE MIZIMU INAWEZA KUFUNGWA ISIKUTAKBUE WALA KUKUFUATILIA, KUNA JAMBO LITATOKEA IKIWA ITAFUNGWA


MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUABDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZ WA MAMBO MUHIMU

NINA makala nyingi sana mitandaoni zinazhusu masuaka ya kimizimu. Nimezitoa kwa lengo la kuwasimaidia watu kwqnza kujua mizimu ni nini na ilioatikana vipi. Kwanini ikufuatilie, ukiwa na dalili gani ujue ni mizimu inakufuata na maelezo mengi sana. Yamkini uliwahi kukutana na hizo makala ama ndo mara ya mwazo unasoma leo basi pitia ukurasa makala zaidi ya kumi nimeadnika kuichambua mizimu tu.

Nimekuwa nikipokea maswali mengi juu ya watu kutaka kujitoa kwenye mizimu wananiukiza je inawezekana, na kama inawezekana hatua ni zipi. Vipi kama haiwezekani nifuate hatua ganu ili nisiwe nabanwa na mizimu. Makala haya yatalenga kutoa majibu ya swali hili hivyo jitahidi kusoma kwa umakini sana haya maelezo.

  KWANINI MIZIMU IKUANDAME NA KUKUFUNGA

Makala za mwanzo nilifafanua mizimu ni nini na ilipatikanaje mpaka ikawa ukoo wenu. Hapa leo nitaeleza kwann Mizimu ikukabe ama ikufungie mambo yako. Kuna sababu kadhaa zinaweza kukufanya mizimu ikakubana na ukabanika kwelu kwelu mambo yako yakafungika usiwe na maendeleo ukawa na nuski isiyokwisha wengine mpaka uzazi huwafunga wengine huwafunga mpaka ndoa na wengine hupigwa uchizi kabida. Na hizi ni baadhi ya sababu kuu ambazo mizimu hukukamata

KUACHA KUFANYA ASILI Hapa ndipo wengi wanakwama yawezekana ikawa wewe hujui kama kuna mila kwenu. Hivyo kukwama wewe na wenzio kukasa sababu ya nyinyi kujua mwatakiwa kushughulikia mambo yenu ya kimila. Hivyo yawezekana ukakwama weae ama ukoo mzima ama baadhi ya watu mambi kwao yasiende na kila wanavyotatua hayatatuliki mpaka warejee asili

KUCHAGULIWA KUIONGOZA wapo watu wameteuliwa kuwa viongozi wa kusimamia mizimu hivyo ukikataa yawezekana ikawa sababu ya wewe mambo yako kufungwa na mizimu kukuandama. Wapo wanaojua wakafanya kuaudi na wapo hawajaui ndipo hubanwa ili katika kutaguta suluhu ukaambiwa kuwa mizimu imekuinamia

KWENDA KINYUME NA MAAGANO wapo walioenda kuomba mambo yao ama kutaka kitu kwenye mizimu iliyoyako na iaiyo yako kama utakwenda kinyume na maagano baada ya kutimia mlichokubaliana upo uwezekano mkubwa wa mizimu kukuinamia na kuvuruga mambo yako yote ama kukutia maradhi.

KUINGILIA HIMAYA ISIYO YAKO wale wanaopenda kwenda maporini ukikuta sehem kuna vtu vya asili basi uzichezee. Pia watu wa kwwnda baharini pembezon mwa Maziwa ama Mito kama utakutana na mambo au vito usivyoelewa ama kuvijua jitahidi kutochezea maanae yaweza kukuta makubwa.

ZIPO DHARAU KUDHARAU WATU AMBAO WANALINDWA NA MIZIMU. ZIPO NJIA ZA KUFUNGWA KWA KUNUIWA NA WATU KUPITIA MIZIMU ZIPO NJIA ZA KUIGA MAAGANO NA WANAWAKE UKAWALAGHAI KAMA MIZIMU INAMSIMAMA INAWEZA KUKUFANYA KITU KIBAYA

SASA NI VIPI UNAWEZA KUJITO MIZIMU ISIKUSUMBUE

Kwanza ikiwa ni mizimu ya kwenu njia zake ni ndefu kidogo sababh uzao wote utakaozaliwa hapo unakuwa tayar umeshaingizw kwenye mikataba. Hivyo kabla hujazaliwa tayar mizimu imeshakuingiza kwwnye orodha yao. Sasa ili kutoka kwenye Mizimu ya kuzaliwa kwanza yatakiwa muhusika kuangaliwa nguvu zako yaani hiyo mizimu kwako ina nguvu kiasi gani kuna watu wameteuliwa kusimamia mizimu sasa hata ukiwa mdogo mtaalam akiangalia anajua kuwa utakuwaje ukubwani

Sasa hapa ukishajulikana hizo nguvu zako na nafasi yako katika mizimu ni ipi ndipo milango ya kuifunga hupatikana. Ila kwa wakati wote ambao shughuli inafanyika itakuoas umshike Mungu kwelikweli uwe mtu wa ibada na dhikri maana utapitia mitihani migumu sana utaisha maisha ya shida sana kuliko hata ilipokuwa imekufunga.

Kwa wale ambao wameingia maagano wao kutokwa kwao kwanza ni kutimiza agano lao kisha kufuata hatua za kuachaba na hyo mizimu kwa kuifunga utafatibu ni huo niloeleza kuwa yakupasa kutizamwa majibu ndiyi yatawaongoza. Sasa hapa mfano umeenda kuomba jambo katika mizinu isiyokm yako mfano kazi utajiri mlai nk. Kula ukichokipata kwa ajili ya mizimu kitaoondoka kwqnza pili kuna mitihan utakumbana nayo

Wale walioingilia himaya isiyo ya yao ama kukasirisha watu waliokuwa kwenye mizimu huyu atafanyiwa kafara tu la kuomba radhi na yeye kufungwa ili hyo Mizimu isimuandame tena. Kafara itahusisha Mnyama na shughuli za kitamaduni na MIZIMU HUSIKA.

KUACHANA AMA KUFUNGWA MIZIMU ISIKUJUE AMA KUJUSUMBUA TENA INAWEZEAKANA UNACHOTAKIWAKUFANYA NI KUTAFUTA WATAALAM AMBAO WANA ELIMU AMA UJUZI WA MAMBO YA KIMIZIMU WAKAANGALIA HAYO NILIYOFAFANUA NDIPO MILANGO YA KUTOKEA HAPO INAFAHAMIKA

MTU ANAYESUMBULIA NA MIZIMU HUADNAMWA SANA NA NJOZI ZA SHULE KURUDI MAISHA YA VIJIJIN KUWAONA NDUGU WALIOKUFA MARA KWA MARA USINGIZINI KUOTA UNACHEZA NA NGOMBE AMA WANAKUFUATA NK. HUAMBATANA NA HALI KUWA MABAYA AHADI KUTOTIMIA HWSHIMA KUSHUKA NK

KWA SHIDA HII NA NYINGINEZO ZA KIKAZI BIAHSRA MAPENZ MARADHI YA KIJINI UZAZI NGUVU ZA KIUME KUKUZA DHAKAR NK

+255621442936

Kwa wale mnaotuma ujumbe jitahdi kuweka maelezo ya kutoaha jina lako oahala ulpo shida yako na msaada unaohitaji


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI