ULIMWENGU WA TARASIMU KATIKA KUKIDHI HAJA KUPATA MAJIB YALIYOTARAJIWA 'KUMREJESHA MPENZI'
SIKU hizi tarasimu zimekuwa nyingi kwenye mitandao kila mmoja yiwapost na ndipo wwngi mnapohaidiwa na kutapeliwa. Si vibaya watu kupeana elimu ama kufumbiana mamcho ila uwanda wa tarasimu ni mpana sana kuliko elimu ya miti. Mfano naweza nikaweka mti nikauelezea kwa kina unavyotib maradhi kikawaida tu yale maelezo mtu yoyote kama atafuata vile ilivyoelezwa atapata majibu. Mfano nikiandika mti wa mfangio unatibu masikio we ni mgonjwa ama una ndugu ana shida hyo ukafuata vile ilivyoelezwa majibu kupata ni kawaida. Sasa kwenye tarasimu kuna utofauti kidogo hata kama uwe unajua kuandika kuna mambo yatakiwa yafanyiwe zile tarasimu pili kuna qubur zake bimaana qudra na ucha mungu wako. Hivyo si kila mtu anazo hizo qubur hivyo inakuwa ngumu kupata kile kilichotarajiwa. Hivyo nimeona nitoe haya makala maana maswali ni mengi wanauliza kuhusiana na tarasim wengine wananitumia na picha zilizopostiwa sehem nyengine kutaka ufafanuzi. Kwa kawaida kila siku iendayo kwa mungu zina milki zak