LAANA YA ASILI INAYOLETA NUKSI FAHAMU VYANZO NA NAMNA YA KUSHUGHULIKIA



LAANA ni ukosefu wa radhi, yaweza kuwa ni ya mungu au mtu fualan katika jambo fulan. Kuna laana nyongi sana kama nilivyoeleza hapo juu kwamba kuna laana ya mungu lakini pia kuna laana za watu.


Nitaziweka katika makundi makuu matano ili ufahamu zaid kuhusu laana vipi yapatikana na vipi utaimaliza.

                   LAANA YA MUNGU

Hii ndio laana kubwa kuliko zote duniani na hata matokeo yako mabaya sana. Laana hii huwawakumba watu wanaokwenda kinyume na amri za mungu. Kila dini ina sheria zake na mipaka yake mfano dini yangu mm hairusiwi mtu kujifananisha na jinsia nyengine kwa mavazi na matendo mwanaume kuwa mwanamke na mwanamke kuwa mwanaume huo ni mfano. Sasa hapa unaweza ukapata pigo la laana kwa mungu ukaona dunia chungu kutokana na matendo yako kwenda kinyume na maamrisho yake

                   LAANA YA WAZAZI

Kila dini ina amrisha kuheshimu wazaz wako wawili pia imekwenda mbali kabisa kuwa pepo ipo chini ya nyayo za wazazi wako. Sasa ukifanya vitendo vya kumchukiza mzazi wako hadi kufikia hatua kusema kuwa hana radhi na wewe hiyo ni laana. Mzazi anakukataza jambo ambalo kwake ni baya lakini wewe ukalifanya kwa matakwa yako mzaz wako akachukia hiyo pia ni laana. Na hii ni laana inayotesa sana ukiacha ile laana ya mungu kuopoa kwake ni kuomba radhi kwa kile ulichokosea na kufanyiwa dawa.

Kila kabila lina maapozi yake katika ku.aliza hizi laana za wazazi zipo mila huchinjiana wanyama zipo laana hunyeshwana maji machafu ya mzazi wake nk.

            LAANA YA MKE NA MUME

Katika maisha kila mmoja katika ndoa ana nguvu za mwingine. Katika vitabu vya ima vimempa nguvu mwanaume katika ndoa kwamba kila jambo analolitaka kuliendea mkewe basi aombe ruksa kwa mume. Lakini pia kuna vtu mume atakiwa kuvitanabaisha kwa mkewe na kutenda haki kama vtabu vinavyosema. Mfano mwanaume na mwanamke wakaishi kwa dhiki mpaka wakafikia hatua ya kupata mali basi mume akamuacha mkewe pasina sababu na kwenda kuishi na mwanamke mwingine yule wa awali nafsi yake ikisononeka basi kuna laana huyu mwanaume humpata hata mali hupukutika.

Lakini pia hata kwa mwanaume ambaye alikuwa na pesa akaish na mkewe kwa raha lakini baada kuyumba huyu mwanamke akadai aachwe tena kwa visa vyote basi mume akimuacha huyu mke ile nafs yake ikiwa bado inampenda mkewe lakn anamuacha kwa kukosa fedha huyu mke huondoka laana ya mumewe 

Hata kupata mafanikio itakuwa mtihan

Hili maopoz yake ni kuomba msamaha kwa mola wako mlez na kujutia kwa ulichokifanya na kuapa kutorejea tena iwapo mungu atakupa mtu mwingine pia ukipata wasaa mtafute mwenzio kwa wema na umtakesamaha ili nafsi yake iwe radhi

Iwapo ameoa au kuolewa huyo mwenzio jiepushe na ndoa yake kwan kunaweza kukasbabisha maafa makubwa heshimu maamuzi yako

                 LAANA YA UKOO

Unaweza ukajiulza kosa la babu yangu mm nahukumiwa vipi. Hata wakat wa mitume kuna koo zililaaniwa kutokana na watu wake kufanya vtu vinyume aidha kinyume na jamii wanayoish. Mfano jamii yenu hahitaji mtu aoe mtu wa kutoka pahala fulan na wewe ukaenda oa kule palipokatazwa basi utapata mitihan wewe na hicho kizazi utakachokizaa

Hapa ipo kimila zaid mfano kosa alilifanya babu yako lakini ikaja kutokea kwko wewe ukawa na tatzo la uzazi ukaenda pahala ukaambiwa hili tatzo kalisbabisha bibi yako alipata laana fulan yy na ukoo wake wote.

Hapa ni masuala ya matambiko na inategemea mitego ya laana ilikiwa imetegwa kwenye nini.

 Lakini pia kuna laana za walimwengu maana usipofunzwa na mama basi ulimwengu utafunza. Kuna watu wao hujiona wababe sana mtaan huonea watu nk sasa watu wakiwa wanakusema sana kuna uwezekano mkubwa wakupata laana maana kwenye kundi la watu kuna masharifu humo kuna mawalii wacha mungu kuna mahasidi sasa kila mmoja atakuombea dua lake kwa jinsi utakavyomkera. Kila mmoja ana daraja lake la kupokelewa dua yake.

  Kikubwa tuishi kwa kuheshimu wakubwa tumuogope na kujinyenyekeza kwa MwenyeziMungu tuwashimu wazazi. Tuheshimu watu wazima maeneo tunayoish tuna hofu kwaujumla.

+255621442936

Kwa tatzo lolote la nyota mapenzi kazi biashara kuibiwa kesi nguvu za kiume uzazi nk niachie jitahd kupiga sim ikiwa unata ujumbe basi weka maelezo ya kutosha jumbe fup sitazjb heshm muda wa mtu

Kwa wahtai wa group la whatsp ni la kulpia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI