MASHARTI YA KUMILIKI MALI UTAJIRI MAMBO YAKUFAHAMU KABLA YA KUJIINGIZA



  NIMEKUWA nikipokea maswali mengi kuhusiana na kumiliku mali za majini. Kuna kitu huwa mnajichanganya kati ya mali za majini na mali za mashetani Na leo nmeaona niutolee ufafanuzi wa kina ili kupunguza maswali inbox yangu. Mara kadhaa nmezungumzia kuhusiana na pete za majini na kuzitolea ufafanuzi wa kina kama umepitwa na hizo makala jitahd kurejea post za chini.


 Jini hutoa mali kwa ridhaa yake akikupenda tu atakupa ishara ya kupata mali hutoi chochote kwake. Mashetani ndio wanaombwa kwenye kumiliki mali ukiona unaenda mibuyuni mizimuni kwenye mito ambapo chini kuna miji mikubwa mali za namna hyo ni mali za kishetani na madhara yake ni makubwa mno kuliko ufikiriavyo.

    Huwenda hali ya maisha si nzuri katika ufatutaji ama una shauku ya kumiliki mali pasina kujishughulisha sana. Ama umeshughulika sana lakini yuwaona hali haiwi nzuri kiushaur usipendr kujishughulisha na shughuli za utafutaji wa utajiri bila shughuli maalum. Mimi ninayeandika makala haya naujua mwisho wa huo utajiri utakavyokutesa ndio maana pamoja na kuandjka makala nyingi pia huwa naweka msimamo wangu kuwa mimi sitoi utajiri wa aina hyo ambayo wataalam watakuambia kwa lugha ya utajiri wa majini lakini ukweli ni utajiri wa kishetani.


   Kitu unachotakakiwa kufahamu hakuna masharti maalumu ambayo kila anayetaka utajiri atayapitia. Kila mmoja atapewa masharti yake binafsi kulingana na uhitaji wake wa hyo mali lakini pia uwezo wa nyota yake katika milki hivyo. Hivyo mara nyingi mashart hutifautiana hata mahitaji katika kukamilisha hilo zoez huwa hayafanani kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

  Kuna kumiliki mali moja kwa moja yaan ukawa na chumba cha kuokotea fedha tu. Na kuwa kitu cha kufanya kikupe fedha za ghafla. Mfano unaweza kuwa msanii ukaoata umaatufu ghafla ukapata matangazo shows na ukainuka kiuchumi. Pia unaweza kuwa mfanya biashara pia mambo yakainuka ghafla ila vyote ni kwa msaada wa kishetani. Ukimuomba mungu mambo yatakuwa ila kwa utaratibu na muda naoutaka yeye Mwenyezi Mungu na ukiomba kwa shetani ni kitendo cha haraka sana kama utafuata yale anayoyataka.

    HAYA NI BAADHI YA MASHARTI YA MALI ZA KIJINI

KATIKA UTAFUTAJI WA HIZO MALI KUNA MASHART AMBAYO YATAKIWA HUYAFUATE KULINGANA NA HITAJI LAKO

               KUWATOA WAZAZI WAKO AU WATOTO

Mara nyingi majini wanaotoa mali hasa hizi masharti huwa mashetani. Hivyo hufanya mambo yao kishetani hivyo ili akupe unachotaka ni lazima na wewe ufanye mambo ya kishetani. Hivyo yaweza ukaambiwa utoe wazazi wako ama watoto wako ili kupata unachohitaji kwa haraka. Yaweza kuwa umaarufu ukakupa pesa au kupata pesa tu moja.

Hapa kuna mambo mawili yaweza ikawa umemtoa moja kwa moja ili wao majini wamtumie kwenye shughuli zao ni sawa na kuweka bondi kitu ili upate kitu. Pia inawezekana akawa kafa kwa macho ya kawaida ila yupo ndani kwako kwenye chumba maalumu ambacho utatumia kuchukulia pesa. Maana yake yeye ndiye atakuwa akikupa pesa kwa kufuata masharti maalumu ambayo utakuwa umepewa kuyafanya kila baaada ya muda fulani.

Pia yawezekana akawa anaonekana ila akawa kaharibiwa aidha kawekwa ukichaa bimaana ndondocha la nje. Kadri anavyozidi kuharibika basi mali zinazidi kujaa. Usishangae kuwaona matajiri wana watotot vichaa ama wana maradhi yasiyoeleweka ila ukiangalia mzazi ana uwezo wa kunsgughulika kwa jinsi alivyo na mali ila huachwa tu maana huo ndio mtaji wenyewe.

Huu ndio utajiri mkali sana kuliko yote hata umaarufu kama utautaka utauoata. Ila sharti zake ndizo hizo pamoja na smashart mengine ya siri baina ya fundi na mteja wake. Unaweza kuua mtoto ukapewa shart la kuingiliana na mzazi wako kila baada ya muda fulani yote ya hayo ni katika mambo ya kisheitwani. Na unapofeli kwenye mahart maana yake utapata hali mbaya kuporomoka kiuchumi.

              KUJIDHULUMU NAFSI NA KIGAWANA NAO

Shart jingine kubwa sana ni kudhulumu nafsi yako mwenyewe. Kwa kuingia mkataba wa kupata mali kwa miaka fulani kisha utakufa na kuwatumikia wao. Yaan mnagawana umri wako uliobaki kama umebakisha miaka miwil ufe basi mwaka mmoja utaishi kiutahiri mwaka mmoja utawatumikia mashetan kwa kufuata na kufanya kazi utakazopangiwa.

   Hapa kuna kipengele yaani makubaliano uanze kuwatumikia halaf ndipo upewe utajiri au uanze utajiri kisha uwatumikie. Kama ulishawahi kusikia mtu kapotea ghafla muaka ikapita mkamsahau kisha akaja kuonekana ghafla tu akawa mtamu kama mcharo ama umaarufu ukaongezeka ujue kuna njia hyo alyoipitia.

   Kwwnza atawekwa sehem maalum ya milki ya mashetan atapeww mashart huko atakapofaulu na kutoka salama. Ndipoanaanza kutumia utajiri wake,  wapo wanaoenda hawarudi tena bimaana wakifika wanashindwa mashart ama kwwnda kinyume matakwa waliyokubaliana.

   Njia nyengine ni kuanza kuwa tajiri ama kuoata umaarufu. Kuna baadhi wa wasanii wanakuww maarufu sana kisha hufa ghafla. Wapo wafanyabiahsra wanasiasa na kada zingine. Huanza kuwa matajiri ama umaarufu kisha ghafla tu hufa. Sio kwamba wwnakufa kweli wanaonodloewa kwenye ulimwengu unaoonekana wanatumika kwenye mambo ya ghaibu mambo yasiyoonekana.

  WAPO WANASIASA WANAOTAFUTA UMAARUFU. WAPO WAMILIKI WA MADHEHEBU YA DINI KUFUATA WAFUASI MAANA KUNA KIOENGELR CHA KUONGEZA UMRI KWA KUTOA IDADI YA WATU FULANI MFANO MWAKA HUU NDIO MWISHO WAKO KATIKA ULE MKATABA WA UTAJIRI NAAJINI BASI KAMA UTAUA WATU IDADI FULAN UNAONGEZEWA MWAKA AU MIAKA MIWILI. KIUFUP MAMMBO NI MENGI NA YANAHITAJI USHIRIKIANO KAMA UNATAKA DARASA LA HAYA MASHART NA YANAVYOUMIZA WEKA NENO LAKO.

                UTOFAUTI KATI YA JINI SHEYTWANI

JINI NI KIUMBE KILICHOUMBWA NA MUNGU KAMA ANAVYOSEMA MWENYEWE KWAMBA HAKUUMBA MAJINI NA WANADAMU ISIPOKUWA WAMUABUDU. BINAADAM NA JINI WAMEUMBWA NA MUNGU KWA LENGO LA KUMTII NA KUFUATA ALIYOAMRISHA SHETANI NI SIFA AMA CHEO CHA JINI MUASI AMRI ZA MWENYEZIMUNGU NA KUWALAGHAI WANADAM IMEANDIKWA HAKIKA SHETANI NA ADUI WENU WA WAZIWAZI JIEOUSHENI NAO.

HATA MWANADAM AKIPITUKIA KIMATENDO ANAKUWA NA SIFA ZA KISHETANI. HIVYO SHETANI NI SIFA MBAYA. HIVYO HATA UNAOOTAKA KITU KWA JINI NDO KUNA ZILE NJIA ZA HERI ZA KUFUATA NILIZOZIANDIKA KWENYE MAKALA ZILIZOPITA UKIATAKA USHETANI NDIO HIVYO.

NIMEANDIKA MAKALA HAYA KWA LENGO LA KUPUNGUZA MASWALI YA WALE WANAOTAKA MALI. MIMI SISHUGHULIKI NA MAMMBO YA MALI ZA KISHETANI. UNA BISHARA KAZU NJOO TUTAITENGENEZA KUNA NJIA ZA PETE ZA BAHATI KWENYE SHUGHULI ZA KUWEKA MAMBO SAWA ILA MAMMBO YA MAKAFARA SIHUSIANI NAYO TAFADHALI MNAOCHUKUA NAMBA KUWAPA NDUGU NA JAMAA ZENU MM SIHUSIANI NA UTAJIRI.

UNA BIAHSRA KAZI AMA SHUGHULI YOYOTE UNAWEZA KUITENGENZA SHUGHULI YAKO VIZURI TU PASINA KUFUATA HIZO SHUGHULI ZA KISHETANI

KWA LEO NAOMBA NIISHIE HAPA KAMA UNATAKA MAKALA IENDELEE WEKA COMENT YAKO HAPO CHINI UNA SWALI WEKA HAPO PIA.

KWA SHIDA YOYOTE YA KIBIASHARA KUIBIWA, NYOTA, MAPENZI, PETE ZA BAHATI, NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKARI PIA SIMU KWA NAMBA ,ANGU NA IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YANAYOEWEKA

+255621442936

JUMBE FUPI KAMA MAMBO NIAJE HI VIPI SITAZIJBU HESHIM MUDA WA MTU

Comments

  1. Ikiwa mtu alishinda dola milioni katika kasino kama hii, je, ni ujanja wa pepo au thawabu?

    ReplyDelete
  2. Na kupata pesa za coins chini ya zulia ao chini ya kochi .na hujui zilifikaje hapo .maana yake ni nn?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI