ULIMWENGU WA TARASIMU KATIKA KUKIDHI HAJA KUPATA MAJIB YALIYOTARAJIWA 'KUMREJESHA MPENZI'
- Get link
- X
- Other Apps
SIKU hizi tarasimu zimekuwa nyingi kwenye mitandao kila mmoja yiwapost na ndipo wwngi mnapohaidiwa na kutapeliwa. Si vibaya watu kupeana elimu ama kufumbiana mamcho ila uwanda wa tarasimu ni mpana sana kuliko elimu ya miti. Mfano naweza nikaweka mti nikauelezea kwa kina unavyotib maradhi kikawaida tu yale maelezo mtu yoyote kama atafuata vile ilivyoelezwa atapata majibu. Mfano nikiandika mti wa mfangio unatibu masikio we ni mgonjwa ama una ndugu ana shida hyo ukafuata vile ilivyoelezwa majibu kupata ni kawaida.
Sasa kwenye tarasimu kuna utofauti kidogo hata kama uwe unajua kuandika kuna mambo yatakiwa yafanyiwe zile tarasimu pili kuna qubur zake bimaana qudra na ucha mungu wako. Hivyo si kila mtu anazo hizo qubur hivyo inakuwa ngumu kupata kile kilichotarajiwa. Hivyo nimeona nitoe haya makala maana maswali ni mengi wanauliza kuhusiana na tarasim wengine wananitumia na picha zilizopostiwa sehem nyengine kutaka ufafanuzi.
Kwa kawaida kila siku iendayo kwa mungu zina milki zake kisayar, kuna milki za majini na malaika. Kila sayar ina utendaji wake wa kazi na hadimu wanatembea na kuwa na nguvu kwa siku husika. Kadri masaa yanavyobadilika basi na watawala hubadilika kwa siku husika hivyo kuna kazi ama tarasimu zikiandikwa muda ambao hauhusian na mambo hayo inakuwa ngumu kuyapata majibu. Pia resites ama visomo vya hizo tarasimu husika ili kuipa nguvu katika hitaji lako hivi vyote vyatakiwa visingatiwe na ni darasa hivyo unaweza ukawa na tarasimu na usijue matakwa yake ili yakupe matokeo yale utakayo.
Mfano tarasimu za mapenzi mara nyingi huandikwa masaa ya Zuhura na Shamsi itategeme na jinsia ya mtakaji hiyo kazi. Mapenz ya Sayar hizo ni kuvuta ama kurejesha ikiwa masuala ya kupumbaza kudhibiti ama kugombanisha pia yana Sayari zake na hadimu zake. Pia hata muda wa kwenda kufanya hitimisho pia yatakiwa yzingatiwe. Sababu tarasimu ina hatua tatu kubwa na kila hatua inatakiwa umakini wa hali ya juu pamoja na kufuata vitu vilivyotajwa hapo juu bimaana masaa siku visomo nk kama utavyoona hapo chini.
1. HATUA YA KWANZA MATAYARISHO
Kila tarsimu ina mahitaji kulingana shida ya muhusika. Mahitaji ya hapa maana yake wino yaweza kuwa zafaran nyekundu ama njano ama zafaran za kuyayusha zichanganywe na miski kuna tarasimu huandikwa kwa damu aidha kuku mbuzi kondoo nk. Viandikio huwa ni karatasi, ngozi, wakati mwingine sahan, ama nguo nyeupe yategemea na shida na taraimu husika inavyotakiwa. Pia hapa inahusiana na vufungasho vyake mfano za kusafirisha ama kuhamisha watu huwekwa kwenye vyomba maalum mfanyo jumba la konokono ana toto la mdizi ama kutia watu mikosi yaweza kuwekwa ndan ya mwanasesere ama chupa.
2. HATUA YA PILI VISOMO VYAKE
Hapa ndipo panapkuwa na kazi kubwa ya kuyafanya maandishi kuwa kile ulichokikusdia. Kuna visomo vya kuipa nguvu ya kile unachokitaka. Yaweza ikawa visomo vikubwa ama vidogo tu ama yaweza kuwa kutamka majina fulani. Ama majina ya kibalhatii ama dua yote ile ya balhati itategemea na shida na mahitaji. Hapa ndipo pamuhimu zaidi pia pana masaa yake huwenda tarasim ikaandikwa asubuh ikaja kusomewa saa saba kisha ikafanyiwa hitimisho saa sita usiku itategema na shida kama nilivyoeleza. Kama unahtaji majibu haraka katika shida zako lazima uangalia njia na kufuata matakwa yote.
3 HATUA YA MWISHO KAZI YENYEWE
Hapa ndipo hitimisho ya kazi yaani ile tarasimu iliyoandikwa na kusomewa je yatakiwa ifanywe nn mfano masuala ya kimapenz labda kamuweke kwenye chakula basi kuna manuzi utapewa na masaa ya kuweka. Mfano kumpa mtu hali ngumu ya kimaisha itatengenezwa labda imewekwa kwwnye mwanasesere ikasemewa maneno sasa hapa labda utaambiwa kaihifadhi kaburin ama kaitupe kwwnye maji yanayotembea nk. Basi yatakiwa ifanyike vile ilivyokusudiwa isichwe hata jambo moja yaweza kugeuka aidha kukurejea kama ubaya ama kutofanya vile utakavyo.
TARASIMU YA KUITA MPENZI
huu ni mfano wa tarasimu ya kimapenzi na yatakiwa ifanywe na mtu uliwehi kuwa ane katika mahusiano mke ama mume asiww mtu mpya. Mahitaji yake ni karatasi ya kaki kama unayoona wino wake yatakiwa upate zafaran ya unga na miski nyeupe iyayushwe na marashi rose ili upate wino wake.
Itaandikwa saa kulingana na mahitaji ya mtu siku ni ijumaa kama mtakaji ni mwanamke anamtaka mwanaume basi iandikwe saa moja asubuhi. Kama mtakaji ni mwanaume anamtaka mwanamke iandikwe saa tatu asubuhi. Muda wakuisomea ni saa saba baada ya mshuko kisomo chake ni Jawshan Kabeer buhuri yake ni ubani mushtaka na zuhura.
Ukimaliza yatakiwa ikatundikwe juu ya mti mkubwa ipepe. Aidha karbu na bahari ama pembezoni mwa mto. Muda wa kwenda kuitundika ni saa moja jioni. Hakika utapata majibu ndani ya siku saba sasa akishakuja ndio kazi zingine za kumtuliza na kunfunga zifanyike maana ile dawa kule yaweza kukatika ama mgua kunyesha ikaroa kuna watu wanasema dawa imechuja hapana humalizi matengenezo muhimu mfano unawwza kuweka kitu ukafukia kaburin hujamaliza kazi wanaweza kuja watu wakataka kuzika pale wakafukua hivyo wataalam mjitajihid kuwaelewesha wateja namna ya kumaliza kazi.
Kwenye hyo tarasimu kuna sehem ya kuandika majina ya wahusika. Hivyo ukienda kwa wataalam hakikisha mazingatio niliyoyaeleza yamefuata vinginevyo utamaliza vilinge na kulaumu kuwa siku hizi hakuna wataalam ni kweli si kila mtu ana quburi hizo.
Una tatzo lolote na nyota, mapenzi, biahsra, kesi, nguvu za kiume, uzazi, kukuza dhakari, nk piga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weke maelezo yanayoelweka jina lako shida na unapoptikana jumbe fupi sitazijibu heshimu muda wa mtu
+255621442936
WALE WANAOTAKA MALI NAFIKRI NMEELEZA VYAKUTOSHA KUANZIA SASA SITAKUWA NAJIBU JUMBE KUHUSIANA NA MALI NMESEMA NINA PETE ZA BAHATI KAMA UNA BISHARA AMA KAZI AMA SHUGHULI YOYOTE NJOO TUITENGENEZE ILA SI KUPATA PESA BILA SHUGHULI YOYOTE.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment