Posts

Showing posts from March, 2022

NAMNA YA KUTOA MAJINI WANAOSUMBUWA WANAADAMU

Image
FAHAMU KUHUSU UTOAJI WA MAJINI NA KUWATULIZA MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO  WIKI iliyopita nikizungumzia kuhusiana na falme zinazomiliki siku. Nilifafanua kuhusu Sayari inayobeba siku, Jini mwenye nguvu wa siku na Malaika msaidizi. Nikaweka masaa na kazi zake uradi wa siku na makafara yanayohusiana na siku husika. Sasa naanza kujibu baadhi ya maswali niliyoulizwa sana. Ila kabla sijaenda mbele napenda kutoa muongozo ukiona nimeweka darasa hapa una swali uliza chini ya makala husika namba nimeweka kwa wenye shida hivyo mnanipa wakati mgumu kunijazia jumbe za maswali hivyo mpaka wengine wanaohitaji ushaur ama dawa naahindwa kuziona jumbe zao.  Katika zile makala niliongelea kuhusu masaa na siku za kushughuika na mambo ya majini kama ulipitwa makala zipo kama uliiona ukaipuuzia basi isome utapata ufahamu mkubwa. Wengi nimegundua wanasumbuliwa na majini kulingana na maswali halaf idadi kubwa ni majini mahaba na majini mait

SIKU NA MILKI ZAKE, FAHAMU KUHUSU MALAIKA, JINI NA SAYARI ZINAZOBEBA SIKU

Image
MAKALA HAYA YANAONGELEA MILKI ZA SIKU. YAANI JINI MALAIKA NA SAYARI ZINAZOMILIKI SIKU. NITAFAFANUA SAYARI NA NYOTA ZENYE UWEZO WA KUWA NA NGUVU KWA SIKU HUSIKA PIA NA MATUKIO MUHIMU UNAYOWEZA KUYAFANYA. Katika tiba kuna siku na saa maalumu ambazo kuna kazi zikifanyika huwa na mjibu mujarabu. Yaan kuna kazi zikifanyika siku fulani muda fulan basi majibu yake huwa ni mazuri na hafaka zaidi kuliko zikifanyika siku zingine za kawaida. ww.tabibuasili.blogspot.com Hapa chini nitaongela siku na yanayohusiana na siku hiyo hivyo jitahidi kuwa makini sana katika kusoma. Kila siku zinakuwa na masaa ya kazi ila kuna siku maalumi kwa kazi maalum hivyo umakini wahitajika ukiwa wasoma. Nitafafanua kuhusu masaa buhuri dua na makafara.                   SIKU YA JUMATATU   Siku ya Jumatatu inatawaliwa na SAYARI ya QAMAR au KAMAR 'Moon'. Sayari hii ipo mbingu ya kwanza, Malaika wake  ni JIBRIL na jini wake ni MURRATUL ABYADH. Jini huyu na malaika wake hutawala siku ya leo mchana na Al

SIFA ZA NYOTA KATIKA MAPENZI

Image
MAMBO MUHIMU YA TABIA, SIFA ZA NYOTA KATIKA MAMBO YA MAPENZI MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO MUHIMU KUHUSU NYOTA Kama ni mfuatiliaji mzuri wa ukirasa huu utakuwa umekutana na makala nyingi kuhusiana na nyota. Nimeshafafanua nyota zote kila kinachowahusu. Na huu ni muendelezo wa sifa na tabia za kimapenz katika kila nyota. Wapo wanaopenda kunyenyekewa wao tu wapo wanaopenda kuhongwa wapo kiasili wao ni wahuni sana jitahd kusoma kwa umakini kisha weka coment yako mwisho wa makala haya. Nyota ambazo hupenda sana kuanzisha mahusiano na mtu mwenye fedha ama mwenye wadhfa fulani na ukifulia wanakuacha ama kukutesa. Ni nyota ya SAMAKI, MAPACHA, NDOO, SIMBA, MBUZI na nyota ya  MIZANI. Nyota za watu wanaojua kubembeleza kwenye mapenzi na wanajua kupenda. Ni watu wa nyota za NG'OMBE,MAPACHA, NG'E na watu wa nyota ya KAA Nyota ambazo ni ving'ang'anizi na wanajua sana kubembeleza wanapohitaji jambo lao la