SIFA ZA NYOTA KATIKA MAPENZI

MAMBO MUHIMU YA TABIA, SIFA ZA NYOTA KATIKA MAMBO YA MAPENZI

MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA MAELEZO MUHIMU KUHUSU NYOTA


Kama ni mfuatiliaji mzuri wa ukirasa huu utakuwa umekutana na makala nyingi kuhusiana na nyota. Nimeshafafanua nyota zote kila kinachowahusu. Na huu ni muendelezo wa sifa na tabia za kimapenz katika kila nyota. Wapo wanaopenda kunyenyekewa wao tu wapo wanaopenda kuhongwa wapo kiasili wao ni wahuni sana jitahd kusoma kwa umakini kisha weka coment yako mwisho wa makala haya.

Nyota ambazo hupenda sana kuanzisha mahusiano na mtu mwenye fedha ama mwenye wadhfa fulani na ukifulia wanakuacha ama kukutesa. Ni nyota ya SAMAKI, MAPACHA, NDOO, SIMBA, MBUZI na nyota ya  MIZANI.

Nyota za watu wanaojua kubembeleza kwenye mapenzi na wanajua kupenda. Ni watu wa nyota za NG'OMBE,MAPACHA, NG'E na watu wa nyota ya KAA

Nyota ambazo ni ving'ang'anizi na wanajua sana kubembeleza wanapohitaji jambo lao la kimahaba ama kutimiziwa haja zao. Ni nyota za PUNDA, NG'E, NDOO, MBUZI, KAA na nyota za MIZANI

Watu wanaopenda sana kuchati ama kupiga simu kusikia sauti za wapendwa wao wanapokuwa mbali nao mara kwamara ni watu nyota za KAA, pUNDA, NDOO, MAPACHA, MASHUKE na nyota ya SAMAKI

Watu wanaopenda sana kunyenyekewa kubembelezwa linapokuja suala la kimapenzi ni watu wa nyota za NGOMBE, MASHUKE, MAPACHA, NG'E .na watu wa nyota za SIMBA. 

Pia kuna watu hupenda sana kuoneshwa thamani yaan kutaminiwa wapo tayar kukupa muda wo iwapo utawaonesha thamani. Ni watu wa Nyota za 

Watu ambao wana usaliti wa kimyakimya ila hawawe Kuonesha tofaut kwa mpenzi wao. Wana usiri wa hali ya juu wanapotaka kufanya jambo lao la usaliti na ikitokea amebainika anaweza kuwa mpole ikitokea kaachwa anaweza kujutia kimoyo japo hataki watu wamuone maumivu yake. Watu hao ni wa Nyota za PUNDA, MASHUKE, MAPACHA, NG'E na watu wa MIZANI

Watu wanaojali sana kazi katika kutafuta fedha kuliko kutumia muda miwngi katiaka mapenzi. Wanajipenda kimuonekano huweza kuwakuta kwenye makundi ya anasa vilev mara kwa mara. Watu hao ni wa nyota za MASHUKE, PUNDA, NDOO na nyota ya KAA.

Watu wanaongoza kwa uaminifu katika mambo ya kimapenzi  na ikitokea bahati mbaya basi hujutia sana. Ni watu wa nyota za  NG'OMBE, MBUZI, SAMAKI, SIMBA na watu wa nyota ya MSHALE.

HAYA NI MAELEZO KWA KINA SIFA ZA KILA NYOYA JITAHIDI KUANGALIA UPO FUNGU GANI. PIA KUNA SHIDA BINAFSI ,A KILA MMOJA KIMPANGO WAKE

KWA WALE WENYE MATATZO YA KINYOTA JITAHD KUSHUGHULIKIWA CHANZO CHA TATIZO NAPOKEA JUMBE NYINGI MTU ANASEMA NIMESHUGHULIKIWA SANA MAMBO BADO NIMEOGA SANA DAWA. JIBU NI KAMA NILIVYOELEZA JITAHD USHUGHULIKIWE CHANZO CHA TATIZO UANGALIWE KIUNDAN MSINGI WA SHIDA NI UPI KISHA UTATULIWE NDIPO MAMBO MENGINE YAKUOGA DAWA YAFUATE KUOGA TU HAKUWEZA KUWA MSINGI WA KUMALIZA SHIDA JITAHIDI KUFIKA KWA WATAALAM WA NYOTA WALIOPO MAENEO YA KARBU NAWE MSAADA KIOFISI NIPO TANGA MAWASILIANO +255621442936

Kwa shida yoyote ya kinyota, uzazi, biahsra, mapenzi, nguvu za kiume, kukuza dhakari, pete za bahati, chango nk jitahd kupiga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weka maelezo ya kutisha kuhusiana na shida yako.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI