NAMNA YA KUTOA MAJINI WANAOSUMBUWA WANAADAMU

FAHAMU KUHUSU UTOAJI WA MAJINI NA KUWATULIZA

MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO 

WIKI iliyopita nikizungumzia kuhusiana na falme zinazomiliki siku. Nilifafanua kuhusu Sayari inayobeba siku, Jini mwenye nguvu wa siku na Malaika msaidizi. Nikaweka masaa na kazi zake uradi wa siku na makafara yanayohusiana na siku husika. Sasa naanza kujibu baadhi ya maswali niliyoulizwa sana. Ila kabla sijaenda mbele napenda kutoa muongozo ukiona nimeweka darasa hapa una swali uliza chini ya makala husika namba nimeweka kwa wenye shida hivyo mnanipa wakati mgumu kunijazia jumbe za maswali hivyo mpaka wengine wanaohitaji ushaur ama dawa naahindwa kuziona jumbe zao. 


Katika zile makala niliongelea kuhusu masaa na siku za kushughuika na mambo ya majini kama ulipitwa makala zipo kama uliiona ukaipuuzia basi isome utapata ufahamu mkubwa. Wengi nimegundua wanasumbuliwa na majini kulingana na maswali halaf idadi kubwa ni majini mahaba na majini maiti hasa wanawake. Mambo mengi yalikuwa yanauliza namna ya kutoa maana wengi wamezunguka lakini hali inapoa halaf baada ya muda mambo yanacharuka tena au wakat mwingine kuzidi zaidi ya pale.

Maelezo nitakayotoa iwe muongozo kwako katika kuliendea ama kulitatua tatizo lako. Tafadhari soma kwa umakini elewa kila hatua ili mwenyewe utakapokuwa unatafuta namna na njia za kutoka hapo ulipo ujue unaanzia wapi. Wapo majini wanaoziba ridhki, wapo wanaofunga uzazi, wapo wanaoharibu ndoa na mapenzi. Wapo pia wanaovuruga akili lakini pia wapo wanaotajirisha na kukupa akili ama wadhifa wa kutafuta jambo fulani.

TUFAHAMU KUHUSU MAJINI WENYEWE

jini hana tabia ya kutesa mtu hata siku moja, jini yeye huishi kwa kumuogopa aliyemuumba. Wapo majini walioasi ambao hupewa sifa za Kishetani hao ndio wanatumiwa na binaadamu katika shughuli zao za kutesa watu. Hivyo lazima uelewe Shetani ndiye anayepaswa kushughulikiwa ikiwa ataingia kwenye mwili wako ama kutawala matendo yako ya kila siku na kusababishia madhara.

Sasa wapo mashetani ambao wanatumwa yaani wanaagizwa kazi maalumu kwa mtu. Mfano anatumwa shetan aje kuuua nguvu za kiume kwa mwanaume na ameahidiwa akifanikisha jambo hilo kuna kitu fulan kama bakshishi atapewa. Huyu mwanaume yeye atakunywa sana dawa za nguvu za kiume na anaweza kuwaona waganga waongo ila hajaangaliwa chanzo cha tatzo lkae ni kipi huyu atakiwa atolewe huyu shetani kisha ndipo ashughulikiwe nguvu.

Mfano mwingine mwanamke anaweza kutupiwa shetani akazuia uzazi au ndoa. Ndipo unamkuta mtu anahangaika kunuwa dawa za uzazi lakini hamna kitu au wachumba wanakuja hawarud na mwenyewe keshaoga sana dawa lakini hakuna matokeo. Huyu pia atakiwa atolewe kwanza jini halafu ndipo ashughulikiwe aidha uzazi ama kupata ndoa. Wapo pia wanaotupiwa mashetani ashqi  yanayokutumia kimapenz unalala unaota unaingiliwa unaota unazaa unanyonyesha nk. Pia kushughulikiwa kwake mpaka atolewe jini.

Pia kuna mashetani wanatumwa kuziba ridhki tu unaweza ukawa umesoma mpaka madarasa yamekuangukia lakini kupata kazi hupati kuna mtu hana hata elimu ya darasa la saba lakini mambo yake yanaenda. Pia wapo Mshatani wanaotesa mwili wanatumwa kwa lengo la kutesa mwili. Unakuta unaumwa dalili zote za ukimwi unazo kumbe jini lile linakunyonya. Wapo wanaopalalaizi kwa ajili ya masheni. Wapo wanaouawa kabisa.

Mbali na mashetani ya kutumwa wapo ambao huwakumba unaweza kuwa katika harakati zako ghafla ukakumba shetan aweza kuwa alikuwa kwenye harakati zake na yeue au katumwa kwa mtu ukawahi kukutana na wewe basi ujue hutatoka salama.

               MAJINI YA KUTULIZWA
Wale wanaosumbuliwa na majini ya ya ukoo mfano kuna mtu alikuwa mtibabu. Majini yakupanda na kuongea wanachotaka ili kutuliza hali inayomkumba mgonjwa. Mfano mru atakiwa awe anafanya kitu fulan wanachokitaka hao majini yeye akapinga kisha akawa yuaumwa kwa kuteswa na majini.

Atakiwa waitwe hao majini wawekwe sawa. Pia si kila jini anayepanda ni mwema kuna mashetan pia hupanda hivyo yatakiwa mtaalam awe na jicho la ziada katika kumuangalia huyo kiumbe aliyepanda kichwani kwa mgonjwa.

Usimnyenyekee jini asiyetaka kutoa majini wanapotaka jambo lao basi huanza kuonesha njia kwanza ya kukupatia ridhi ili upate kuwashughulikia

   VIPI WANATOLEWA NA KUENDELEA NA MATIBABU

Hqpa yakupasa utulize akili kutoa shetani sio kazi rahisi kama unavyoona maelezo yqnayotolewa na baadhi ya watu. Kutoa shetani yakupasa ujifunge hasa hasa mfano shetani kaahidiwa zawadi ya mbuzi akifanikiwa aidha kumvunja mtu uume au uzazi yatakiwa uangalie asili ya huyo jini aliyetumwa ukoo gani mambo gani yanashabiiana nayo mila za kwako vtu anavyopenda ndipo unaweza kumtoa tena kwa urahs pasina mbuzi wala kuku ila mpaka uwe mjuzi wa fani.

Kwa hyo nachowashaur mtu yoyote anayesumbuliwa na majini jitahd kupata mtaalam akushughulikie. Maana si kazi ndogo kama unavyofikiria. Shetani ana miiko yake ana vyano vyake ana rangi zake hivyo kunahitajika utimamu wa hali ya juu. Hapa chini nitakuweka vitu vya kumtuliza mfano kama una mtu asumbuliwa na majini basi kwa kumtuliza ili ujitafute uende kwa wataalam utafuata maelezo yafuatayo.

Tafuta magome ya mti wa mkuyu, upate mvinje bahari, upate majani ya mrehani na mzizi wake, upate majani ya kivumbasi na mzizi wake, upate majani ya mpatakuva na mzizi wake, upate na ngurukia tatu za miti tofaut. Weka kwenye sufuria tia majia weka na mvuje na mafuta ya zaituni hyo nyungu chemsha jifukize mara mbili kwa siku ukiwa na nguo ya ndani ndani ya siku saba hakikisha alfajiri mapema.

Wale wanaoota kuingiliwa unaweza kupaka mafuta ya zaituni kabla ya kulalamwili mzima au sehem zako za siri jifunge na mvuje mkono wako wa kulia kiwe na kitambaa cheusi ama cheupe.

Narejea tena hayo maelezo ni ya kutuliza jini atolewa kwa kuangaliwa hayo niliyoyaelza hivyo baada ya kupata nafuaa fika kwa wataalam karbu nawe wapate kukusaidia msaada kiofisi fanya mawasikiano kwa namba zangu.

Vitu nilivyotaja mfano miti inapatikana maporini na baadhi ya mduka ya dawa. Ngurukia ni pangaa yaan kama umeshawahi kwenda porini ukaona mti halaf kwwnye tawi kule mwisho kumeota mti mwingine yaan imeunganika miti miwil. Inasemekana ndege hunya pale kisha huota mti mwingine sasa yale majani ya mti uliota na ile pachipachi ndivyo nilivyovizungumza.

MAMBO MUHIMU MASWALI NMESEMA YAULIZWE HAPA CHINI NITAYAJIBU KWA UPENDO MKUBWA. HAYA MAELEZO NILIYOTOA UNAWEZA KUYAFANYIA KAZI KAMA YUWASUMBULIWA SANA NA MAJINI KISHA UTATAFUTA  NJIA SALAMA ZA KUMTOA. WALE WAKUTULIZWA WATATULIZWA KAMA WAKUTOLEWA WATOLEWE

+255621442936
mtabibuasili@gmail.com
tabibuasili.blogspot.com

Una tatzo shida yoyote ya kinyota, mapenzi, biashara, kesi, kuuza, uzazi nguvu za kiume, kujuza dhakar, uvimbe nk jitahidi kupiga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weka maelezo ya kutosha jumbe fupi fupi sutazijib


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI