Posts

Showing posts from May, 2022

MALI UTAJIRI WA MIZIMU WA UKOO NA MIZIMU YA KUFUNGAMA NAO

Image
KARIBIA WIKI NZIMA NAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MIZIMU NIMETOA ZAIDI YA MAKALA MOJA NIKIONGELEA KUHUSIANA NA MIZIMU. NIMEPATA MASWALI MENGI JUU YA WALE WANAOSIKIA NA KUTAKA HABARI ZA MALI AU UTAJIRI HIVYO JITAHD KUSOMA KWA UMAKINI ANAYEKULETEA DARASA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ. Watu wengi siku hizi wamekuwa na akili ya kutafuta utajiri kwa njia zisizo salama kwao. Kuna wengine hufuata mkumbo kwa kila wanachosikia. Katika mfululizo wa darasa nilizowahi kutoa kuhusu Mizimu nmeelza namna unavyoweza kusaidika kwa mizimu ya ukoo na mizimu ambayo siyo ya ukoo. Maswali mengi yakaja juu ya utajiri je Mizimu inaweza kukupa utajiri hasa ya ukoo. Hapa sitakuwa na maelezo mengi zaidi ya kurejea kile nilichowahi kuzungumza kwenye makala za utajiri. Hapa nitaongezea nyama na kuweka utofaut wake katika kuutafuta huo utajiri gharama na mashart yake. Upo utajiri wa mali bimaana unapata pesa tu na upo utajiri majini wenyewe wa ukoo ambao ni mizimu wanakuchagulia shughuli ya kufanya sasa kupitia hi

FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI TIBA KWA AFYA, JANI LA UZAZI

Image
MAKALA iliyopita nilizungumzia kuhusiana majani mawili adhwimu ambayo ni tiba mujarabu kwa U.T.I, kichocho,macho, kutoa maji ukeni na kubana uke nk. Km ilikupita tembelea ukurasa wetu  Leo naleta kwenu majani mengine mawili. Hii ni mimea midogo kiumbo lakini ni mikubwa kiutendaji, namba moja ni mgagani na mbili ni jani la uzazi. mgagani Mgagani niliuleza kwenye makala iliyopita leo nitawapa faida nyengine tatu.  1. Hutibu kipanda uso Unachukua majani unatwangwa kisha unachanya na alymit kidogo unatafuta kitambaa aidha cha kanga au kaniki au chochote lakini kiweze kuzunguka kichwa chako kama usongo vile. Utaweka katikati huo mchanganyo utaikunja mara mbili ili majani yakae kati ya kitambaa na yasimwagike utajifunga usongo hakikisha dawa iwe kwenye paji lako la uso itakufukuta usiitoe ndo dawa yenyewe kaa nayo kwa nusu saa. 2. hutibu sikio Twanga majani ya mgagani kisha utaweka mafuta ya kitunguu saumu, kisha weka kwenye kitambas kisafi ifunge kisha minya unyunyuzie matone ma

PETE ZA MVUTO WA BIASHARA NA KINGA

Image
PETE ZA BAHATI MVUTO WA BIASHARA KINYOTA ZISIZO NA MASHART NMETOA mfululizo wa makala kadhaa kuhusiana na masuala ya pete za bahati. Niliongelea kuhusiana na pete za bahati utajiri wa majini pete za majini wa asili na pete za majini za kuombe. Haya yalikuwa katika vipengele vya utafutaji wa utajiri wa makafata na ule usio na makafara. Kama umepiwa pitia post za chini mara umalizapo kusoma makala haya. Makala haya bitajikita kufafanua kuhusiana na bishara. Nitaeleza vipi utanufaika kwa pete ya bahati ya nyota yako. Faida utakazopata na vipi utapata hizo pete na namna ya kuzitumia. Msisitizo ni uleule jitahidi kusoma kwa umanini mpaka mwisho yaani namaanisha nukta ya mwisho. Sababu mwishoni mwa hizi makala huwa nafafanua walau kwa ufupi mambo ambayo unaweza usielewa hapa juu pia nadadavua baadhi ya mambo ambayo unaweza ukawa na swali ama kubaki njia panda.       PETE ZA BAHATI NI ZIPI NA FAIDA ZAKE Pete za bahati ni pete maalumu inayotengenezwa kwa ajili ya mvuto, kinga, kuku