MALI UTAJIRI WA MIZIMU WA UKOO NA MIZIMU YA KUFUNGAMA NAO



KARIBIA WIKI NZIMA NAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA MIZIMU NIMETOA ZAIDI YA MAKALA MOJA NIKIONGELEA KUHUSIANA NA MIZIMU. NIMEPATA MASWALI MENGI JUU YA WALE WANAOSIKIA NA KUTAKA HABARI ZA MALI AU UTAJIRI HIVYO JITAHD KUSOMA KWA UMAKINI ANAYEKULETEA DARASA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ.

Watu wengi siku hizi wamekuwa na akili ya kutafuta utajiri kwa njia zisizo salama kwao. Kuna wengine hufuata mkumbo kwa kila wanachosikia. Katika mfululizo wa darasa nilizowahi kutoa kuhusu Mizimu nmeelza namna unavyoweza kusaidika kwa mizimu ya ukoo na mizimu ambayo siyo ya ukoo. Maswali mengi yakaja juu ya utajiri je Mizimu inaweza kukupa utajiri hasa ya ukoo.


Hapa sitakuwa na maelezo mengi zaidi ya kurejea kile nilichowahi kuzungumza kwenye makala za utajiri. Hapa nitaongezea nyama na kuweka utofaut wake katika kuutafuta huo utajiri gharama na mashart yake. Upo utajiri wa mali bimaana unapata pesa tu na upo utajiri majini wenyewe wa ukoo ambao ni mizimu wanakuchagulia shughuli ya kufanya sasa kupitia hiyo shughuli ndipo unapiga pesa na umaarufu. Upo wakuomba na kuombwa jitahd kusoma kwa umakini.

        UTAJIRI WA KUPEWA NA MIZIMU YA UKOO

Utajiri ama mali hizi hutoa wenyewe mizimu wakikupenda na hasa ukiwa kwenye koo zao. Wanaweza kukupa mali moja kwa moja ama kukupa kitu ambacho kitakupa mali ama kukutafuta shughuli ambayo itakupa mali.

Kuna tofaut kati ya mali na shughuli za kukupa utajiri. Mfano mizimu inaweza ikakutaka uwe mkulima ama uwe mganga ama uwe mvuvi basi kwa mashart watakayokupa ambayo huwa si makubwa basi utapata kiasi cha pesa ambacho kitakutoa hapo ulipo na kukufanya uwe tajiri.

Mara nyingi wanachagua wenyewe mtu wamtakaye katika familia husika. Hivyo unaweza kupata njozi ama kuugua ama mambo kwenda kombo kisha wataalam watakutafsiria kwamba yiwatakiwa ufanye shughuli fulani. Kuhusu mali wanaweza kukupa fedha moja kwa moja ama dhahabu ama madini yoyote ambayo ukiuza utaoata mali. Hii huwa haiombwi wala haitafutwi na mizimu yenyewe ikikupenda ndiyo inakuchagua. Hivyo hakuna njia za kuomba maana ntaulizwa mali napataje hizo mali za mizimu mpaka wenyewe wakutake wanakutakaje ni lazima uwe umetoka kwenye familia yao.

MASHARTI hapa hakuna mambo magumu ni maelewano baina yenu juu ya shughuli ama mali uliopewa kwamba ukipata kipato ukitumie vipi. Sasdaka ni makafara wanyama ama shughuli za kijamii aidha kufanya maukidi dhikri tambiko kila baada ya muda fulan ili mambo yakuendee vizuri na uzidi kuwa karibu nao zaidi.

     UTAJIRI WA KUOMBA KWA MIZIMU YA UKOO

Hapa utofaut wake ni mtu wa ukoo ndiye anaenda kuomba na si kuteuliwa na mizimu. Hivyo atatkiwa afuate mila na taratibu za kuwaita wale mizimu ikiwa kuna myu kaachiwa ufalme ama kuna pahala pametengwa rasmi kwa mizimu yao basi ataenda na kufuata zile hatua. Ataenda na sadaka na tambiko husika kisha atawasilisha ombi lake liwe mali ama shughuli ya kumfanya kuwa na kipati cha utahiri mfano mtu ana duka sheli gari ama hotel a chochote cha kumuingizia kipato iwe kazi sanaa nk.

Utaomba maombi yako kisha utasubiri kwa muda utakaopewa utarejea tena kufuata majibu. Ikiwa umekubaliwa basi utapewa msharti kama mali utaipata wapi kama ni kazi ama biahsra sanaa michezo utaambiwa ufanyiwe nini upewe nini ili nina lako lipae na likupe pesa za kufanya unayotaka. Kuna tifauti ya mali na shughuli, wanaotaka mali tu mashart yao huwa makubwa zaidi na hta unapokosea pia adhabu na mdhara kwa familia huwa kubwa zaidi.

Wale wanaotaka shughuli zao ziwe kubwa ziwainvizie pato mashart na mafanyo yake huwa ya kati. Hata endapo inatokea shida basi kusameheka ni rahisi zaidi kuliko wale wanaotaka mali tu.

MASHART hapa itategemea na jambo husika ila hapa kunahusika zaidi na makafara ya kila mwaka. Zipo za wanyama kwa wale wenye shughuli za kufanya. Wale wa mali tu kafara hupanda kila mwaka maanae lazima itafikia pahala utaanza kutoa watu.

    UTAJIRI WA KUFUNGAMANA NA MIZIMU ISIYOKUWA NA NASABA YAKO

Hapa shughuli yake ni pevu sana kwanza lazima ukatambulishwe kwa mizimu husika kisha usubiri majibu kama umekubaliwa kujiunga nao. Hatua ya pili unapeleka ombi lako aidha la mali au kunawirisha shughuli yako unayoifanya ikikubaliwa ndipo huoangiwa masharti na mafanyo yake. Hapa wengi huibiwa unakuta mtu anaenda kwa mmiliki wa mizimu anapelekwa ombi kabla ya kutambulishwa hivyo kupata unachokihitaji huwa ni ngumu baadae ndio watu husema siku hizi hakuna mizimu utapeli tu. 

Muhimu ni kufuata hatua kwanza lazima umpate mtu wa kuiinamisha hiyo mizimu ili ikuinamie bimaana ikutembue ndipo ombi lako linafuata. Kisha unasubiri majibu yako ikiwa umekubaliwa ndipo mafanyo na mashart hutajiwa.

MASHART hapa ni makafara na sadaka za kila mwaka maane kila shughuli za mizimu za mwaka zitakapofanywa lazima na wewe uhudhurie ili wazidishe ukaribu nawewe na mali zao. Madhara yake pale unapokesea basi hata kile kidogo ulichochuma kwa mikono yako hupotea kabisa, unaweza kuiponza familia yako na ukoo kwa ujumla. Hapa damu ni lazima kwa wale wanaotaka mali wale wakunwirisha shughuli zao kila zinapokuwa kubwa na jina kupanda basi sadka makafara nayo hupanda kiwango cha kutolewa.

   FAIDA NA MADHARA YA MALI  HIZI

Kwa wale walioteuliwa na mizimu kupewa mali ama shughuli za kuwapa kipato wanaweza kuishi kwa furaha iwapo wataishi yale maisha watakayoelekezwa. Ukanda wa Pwana Mamwinyi wengi na Masharif hupitia njia hizi ndipo huona kuna nyumba kila mwaka maulidi au dhikri au sadaka za mara kwa mara. Madhara yake ikiwa utaacha yale maagano yenu basi mambo yataenda kombo huwenda shughuli ikafa ukawa mtu wa kawaida.

Wale waliokwenda kuomba mali au shughuli za kuwaingiza utajiri hawa wataishi kwa waswas sababu muda wowote mambo yakivurugika wanaweza kuwasbabishia matatizo watu wote wa ukoo wao au famikia yao. Ndipo unaona ukoo wenu kuna mtu mmoja alikuwa tajiri sana ghafla akafilisika akautia nuksi ukoo mzima watu wamesoma kazi hawapati watu wqzuri hawaolewi wanachezewa tu. Watu wanahangaika uzazi na maradhi ya mara kwa mara hayo pia madhara ya kuomba pesa ama mali kwwnye mizimu.

Hawa walioingia ubia na mizimu kwa kufungamana nayo faida pale unapokuwa umemudu yale masharti ukipindisha kidogo. Basi mambo yanaenda kombo na utasbabisha madhara kwa watoto wako unaweza kuzaa watoto wasio na akili ama kuwasbabishia uchizi na ulemavu familia yako. Hapa namaanisha familia sio ukoo, hivyo hili lina tofaut na makundi mengine ambapo mtu anaweza kukosea akaomba msamaha mambo yakaenda lakini kundi hili hiwa halina msamaha ukiyumba tu kila kitu kinavurugika na hasara juu. Hapa pia mwisho utatakiwa sadaka za watu hivyo kuwa makini pale unapotaka mali za mkato.

      MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

ANGALIZO PAMOJA NA MAELEZO NILIYOYATOA NMEKUWA NIKIWEKA WAZI MSIMAMO WANGU HASA KWA WALE WANAOHITAJI MALI BILA KUJISHUGHULISHA IKIWEMO MALI ZA KISHETANI MIZIMU NDAGO MAKAFARA NK. MISMAMO WANGU MIMI SITOI UTAJIRI WA AINA HYO PIA NAKUSISITIZA KUWA MAKINI SABABU HAKUNA UTAJIRI WA AINA HYO UKAJA KIWEPES KAMA MNAVYODANGANYWA UTAMALIZA PESA NA MUDA, NAREJEA TENA MIMI SITOU UTAJIRI.

UNA SHUGHULI UNAFANYA UNATAKA ITENGENEZWE IKULETEE FEDHA IWE BIAHSRA KAZI UVUVI UKULIMA SANAA NK. NJOO OFISIN UTAANGALIWA NYOTA YAKO UPASHUGHULIKIWA IKIWEMO PETE ZA BAHATI NGEKEWA MIVUTO AMBAR NK HIVI VITU VYOTE NISHAVIFAFANUA MARA KADHAA HAVINA MASHARTI WALA HAVINA MADHARA KUTENGENEZWA KWA NYOTA YAKO. MWENYE UHITAJI SOMA KWANZA MAKALA ZAKE KISHA FANYA MAWASIALNI.

shida yoyote ya kinyota uzazi biahsra mapenzi kesi kukuza dhakar nguvu za kiume bawasiri presha sukar nk

+255621442936

JKWA WALE MNAOTUMA UJUMBE HII SI NAMBA YA KUCHATI JITAHD KUWEKA MAELEZO YANAYOELEWKA ZUNGUMZA SHIDA. JUMBE FUP HI MAMBO HABAR NIAJE SITAZIJIB

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI