PETE ZA MVUTO WA BIASHARA NA KINGA

PETE ZA BAHATI MVUTO WA BIASHARA KINYOTA ZISIZO NA MASHART

NMETOA mfululizo wa makala kadhaa kuhusiana na masuala ya pete za bahati. Niliongelea kuhusiana na pete za bahati utajiri wa majini pete za majini wa asili na pete za majini za kuombe. Haya yalikuwa katika vipengele vya utafutaji wa utajiri wa makafata na ule usio na makafara. Kama umepiwa pitia post za chini mara umalizapo kusoma makala haya. Makala haya bitajikita kufafanua kuhusiana na bishara.

Nitaeleza vipi utanufaika kwa pete ya bahati ya nyota yako. Faida utakazopata na vipi utapata hizo pete na namna ya kuzitumia. Msisitizo ni uleule jitahidi kusoma kwa umanini mpaka mwisho yaani namaanisha nukta ya mwisho. Sababu mwishoni mwa hizi makala huwa nafafanua walau kwa ufupi mambo ambayo unaweza usielewa hapa juu pia nadadavua baadhi ya mambo ambayo unaweza ukawa na swali ama kubaki njia panda.

      PETE ZA BAHATI NI ZIPI NA FAIDA ZAKE

Pete za bahati ni pete maalumu inayotengenezwa kwa ajili ya mvuto, kinga, kukurahisishia kibahati kwenye mambo yako ya utafutaji. Aina ya pete bimaana chuma dhahabu bati silva hutegemea na aina ya nyota ya mtu na jinsia yake. Kinacholeta huo mvuto ama bahati kwwnye hiyo pete kito maalumu.

Vito huwa ni maalumu kulingana na aina ya nyota ya mtu na matumizi husika. Mfano somo la leo linahusu biashara. Hivyo utengenezaji wake lazima udili na mvuto kupenda na kutimizwa na kinga. Mvuto maanae ni kuvuma biashara na kujaza watu kutimiziwa maanae kile kiasi utakachochataja kimauzo basi mteja aafiki. Kinga maane ukikinge kile kiasi utakachokusanya kisikupotee.

Kuna tofaut kati ya pete za bahati na pete za majini. Hizi hazina masharti, hazina makafara ya kutoa damu bali hutakiwa sadaka tu kama fungu la kumi. Faida zake ni kukupa mvuto kupendwa kutimiziwa haja zako na kinga. Leo nmeongelea biashara lakini unaweza kutumia kwa kusikilizwa ama kufuatwa kupata wafuasi sehem fulani. Matengenezo yatategemea na shida au hitaji la muhusika mwenyewe.

      VIPI UNAWEZA KUVUTIA BIASHARA 

Matengenezo yake yatahusu nyota yako kwa asilimia mia moja. Hivyo utapatiwa maelezo nini uifanyie baada ya kupewa kabla ya kuivaa. Hapa namaamisha tayar ishatengenezwa na kufanyiwa kila kinachohusiana kwa biahsra yako. Biahsra kubwa na matengenezo yake yatakuwa makubwa ili iendane na kasi unayoitaka na tageti ulizokusudia biahsra ndogo halikadhalika itafuatana kama nilivyoeleza.

Zipo zinazokaa kwenye maziwa freh kqbla ya kuvaliwa zipo zinazokaa kwenye asali na sehemu nyingine kwa siku kadhaa kama kuiosha ama kuitakasa. Ufanyaji wake kazi ni lile lengo leko ulilokusudia wakati wa kitengenezwa.

Ikiwa ulkusudia kujaza wateja, ikiwa ulkiusuduia umaarufu wa biahsra yako ikiwa ulkusudoa uuze bei uitakayo nk. Haya ndio maandalizi ya kazi yako. Kila kito kina uzito na faida yake kwa nyota husika. Wakati meingine huchanganywa na kufanyiwa vitu vya ziada ilia kufanikishwa adhima uliyokusudia.

Pia huweza kuongeza mvuyo na kinga dhidi ya mali husika. Ikiwa wewe ni mmiliki tu wq bishara lakini hukai dukan itakupasa uwe na pete na kito cha ziada na ambar pete utavaa muhusika vilivyobaki vitafanyiwa shughuli maalumu vitakaa pahala pako pa kazi.

Maelezo muhimu si lazima uvae pete mfano wanawake wanaweza tengenezewa heren mikufu ama shanga za kiunoni ila zina madini na vito vilivyokusudiwa. Hali kadhalika kwa wanaume unaweza tengeneza pete ama kutembea na kito au kitu chochote ulichozoea kukivaa.

Muhimu ni nia yako wakati unatengenezewa nautoe maelezo halisi ikiwemo majina halisi wzazi, tarehe na miez uliyozaliwa iwe upatiwe  kitu chenye uhakika.

     WAPI UNAWEZA KUPATA PETE HIZI

Ili upate majibu kwa maelezo niliyoyatoa yakupasa upate. Wataalam wa nyota wakutengenezee, kinachomaanishwa wakuangalie aidha wakutajie mahitaji au ashughulikie mwenyewe akupe iliyokamilika tayari.

Pete zinahitaji utengenezaji wake visomo na ufushaji ndio maana nasisitiza upate wataalam wa nyota. Hivyo fika kwa wataalam walio maeneo mnayoishi utasaidika. Hakikisha ni wataalam wa masuala ya nyota au wanaojua elimu hii kwa uwanda mpana.

Hizi ni pete zinazosimamiwa na falme ya nyota yako ila si pete za makafara wala huhitaji kutoa kafara lolote. Sadaka zake ni za kawaida tu aidha kugawa pesa kwa masikini au kula na watoto au kuwapa watoto sadaka kulingana na pato utakaloingiza kadri unavyotoa ndivyo unavyoingiza. Muhimu kufuata maelezo utakayopewa.

      MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

NYOTA YAKO NDIO KAMA INJINI KATIKA MAFANIKIO YAKO. NDIYO INAYOKUPA MUONGOZO UISHI VIPI NINI UEPUKANE NACHO NANI WAKUSHIRIKIANA NAE. NANI WAKUWA NAE KIMAHUSIANO ILI USIYUMBE KIMAISHA. BIAHSRA GANI NA KAZI GANI UIFANYE IKUNUFAISHE MAFUSHO VITO RANGI ZA NGUO MAPAMBO NA MIJI YAKUISHI ILI MAFANIKIO YAWE RAHISI.

KAMA HUJAJUA NYOTA YAKO NA YANAYOHUSIANA  MPAKA LEO JITAHD KUSOMA POST ZA UTABIRI KILA SIKU ZINAWEKWA ASUBUHI UTAFAHAMU NYITA YAKO. PIA ZIPO MAKALA ZA UCHAMBUZI KILA NYOTA IMECHAMBUKIWA REJEA MAKALA ZILIZOPITA IKIWA UTAHITAJI UCHAMBUZI BINAFSI BASI UTALIPIA GHARAMA ILA UCHAMBUZI WA KILA NYOTA UPO NIMESHAUFAFANUA UKIONA UVIVU UTARATIBU NI HUO NILIOTOA.

KATIKA BIASHARA ZINGATIA MAMBO NILIYOYAELEZA, KAMA BISHARA YAKO HAIENDI KILA SIKU UNAWEKA MTAJI HAUKUI BASI JITAHIDI PAANGALIWE SEHEM YAKO YA KAZI NA MWENYEWE MUHUSIKA KISHA JIBU LIFANYIWE KAZI UPATIWE UFUMBUZI HUO NILIOELEZA. FIKA KWA WATAALAM WALIO KARB NAWE MSAADA KIOFISI NIPO TANGA MAWASIALIANO YAPO MWISHONI MWA MAKALA.

NASISITIZA MIMI SITOI UTAJIRI WALA KUMILIKISHA MASHETANI YA MALI WALA NDAGU. HIVYO USIJE UKANITAFUTA KWA SHIDA HIZO SIFANYO HIZO SHUGHULI NA MARA KADHAA NIMEKUWA NIKIWEKA WAZI HAPA. UNA SHIDA NYINGINE KARIBU

una shida yoyote inayohusiana na nyota, maradhi ya kichawi, presha madonda ya tumbo, biashara, mapenzi, ndoa, nguvu za kiume, kukuza dhakar, uzazi nk kwa dawa ushaur

+255621442936

Kwa mnaotuma ujumbe wekeni maelezo yakutosha jina shida na pahala ulipo.




Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI