FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI TIBA KWA AFYA, JANI LA UZAZI



MAKALA iliyopita nilizungumzia kuhusiana majani mawili adhwimu ambayo ni tiba mujarabu kwa U.T.I, kichocho,macho, kutoa maji ukeni na kubana uke nk. Km ilikupita tembelea ukurasa wetu 

Leo naleta kwenu majani mengine mawili. Hii ni mimea midogo kiumbo lakini ni mikubwa kiutendaji, namba moja ni mgagani na mbili ni jani la uzazi.

mgagani

Mgagani niliuleza kwenye makala iliyopita leo nitawapa faida nyengine tatu. 

1. Hutibu kipanda uso

Unachukua majani unatwangwa kisha unachanya na alymit kidogo unatafuta kitambaa aidha cha kanga au kaniki au chochote lakini kiweze kuzunguka kichwa chako kama usongo vile.

Utaweka katikati huo mchanganyo utaikunja mara mbili ili majani yakae kati ya kitambaa na yasimwagike utajifunga usongo hakikisha dawa iwe kwenye paji lako la uso itakufukuta usiitoe ndo dawa yenyewe kaa nayo kwa nusu saa.

2. hutibu sikio

Twanga majani ya mgagani kisha utaweka mafuta ya kitunguu saumu, kisha weka kwenye kitambas kisafi ifunge kisha minya unyunyuzie matone matatu kwenye sikio

Fanya mara tatu kwa ck ndani ya ck tatu

3. Kujaza nywele kuondoa mapunye, mba na kukatika 

Unaweza ukatumia mafuta ya mgagani au ukatengeneza mafuta ya nazi na kuchanganya na majani ya mgagani kisha ukatumia kupaka 

Tuangalie jani la pili ambalo wengi huliita jani la uzazi. Lina kazi nyingi sana hapa niyaongelea moja tu kubwa ambayo ni uzazi.

jani la uzazi

Kwa matatizo ya kushika mimba ambao wanapata hedhi kwa wakati, siku za hatari wanaziona.

Unatakiwa ukachume jani namba mbili iwe asubuhi ila isiwe jmosi wala jnne hakikisha asikuone mtu yoyote wakati unachuma. Rudi na majani yako nyumbani kwako hakikisha umechuma majani ya kutosha.

Chemsha hayo majani kunywa mara tatu kwa ck ndani ya ck tatu kipimo kikombe kidogo na unatakiwa utumie ukiwa ndani ya hedhi yaan hedhi ikianza nawe unaanza.

Muhimu wakati unachukua asikuone ukionekana haitafnya kazi.

Una tatizo lolote la uzazi, kazi, biashara, mahusiano, ndoa, kesi inbox

+255621442936

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI