ASILI ZA MAJINI 'JINI WA KIMASAI' CHANO, UTAJIRI, TIBA NAMNA YA KUFANYA KAZI
BAADA ya kuzungumza kuhusiana na Nyota kuzifafanua aina zake na makundi yake. Kazi utafutaji mali na nani wakushirikiana nao. Pia nkaongelea Mizimu kwa uwanda fulan inapatikanajr vipi unaweza kifanikiwa na vipi yuwaweza kujitoa. Sasa tunaingia ulimwengu wa Majini na leo tunamzungumza jini wa Kimasai. Kutakuwa na ufafanuzi wa asili ya majini nguvu zao ufalme na namna wanavyofanya kazi. Na leo tumeanza na Jini wa Kimasai ikiwa mtatoa ushirikiano nitaendelea kuwachambua hakutakuwa na ushirikiano nitaendelea na habar zingine. Itakuwa kama zile makala za uchambuzi wa herufi ambazo tumeishia njian kwa kukosa ushirikiano. ASILI UFALME WA JINI MASAI Jini huyu ana jinsia ya kiume ni ngumu sana kukuta mtu mwenye jini wa Kimasai iwe mganga au mtu wa kawaida kisha akawa na sauti ya kike. Jini huyu ni mfalme wa majini wa bara au majini pori. Anapokaa kichwani kwa mtu lazima yeye ndiye awe kiongo,i wa kuongoza wengine ramli kazi kubwa hufanywa na yeye. Hupenda mavazi ya kimasai a