ASILI ZA MAJINI 'JINI WA KIMASAI' CHANO, UTAJIRI, TIBA NAMNA YA KUFANYA KAZI


BAADA ya kuzungumza kuhusiana na Nyota kuzifafanua aina zake na makundi yake. Kazi utafutaji mali na nani wakushirikiana nao. Pia nkaongelea Mizimu kwa uwanda fulan inapatikanajr vipi unaweza kifanikiwa na vipi yuwaweza kujitoa. Sasa tunaingia ulimwengu wa Majini na leo tunamzungumza jini wa Kimasai.


Kutakuwa na ufafanuzi wa asili ya majini nguvu zao ufalme na namna wanavyofanya kazi. Na leo tumeanza na Jini wa Kimasai ikiwa mtatoa ushirikiano nitaendelea kuwachambua hakutakuwa na ushirikiano nitaendelea na habar zingine. Itakuwa kama zile makala za uchambuzi wa herufi ambazo tumeishia njian kwa kukosa ushirikiano.

        ASILI UFALME WA JINI MASAI

Jini huyu ana jinsia ya kiume ni ngumu sana kukuta mtu mwenye jini wa Kimasai iwe mganga au mtu wa kawaida kisha akawa na sauti ya kike. Jini huyu ni mfalme wa majini wa bara au majini pori. Anapokaa kichwani kwa mtu lazima yeye ndiye awe kiongo,i wa kuongoza wengine ramli kazi kubwa hufanywa na yeye.

Hupenda mavazi ya kimasai au ngo zenye rangi nyekundu na nyeusi. Hupenda mikuki sime bakora na vibuyu. Ukienda kilinge ukaona kimepambwa na rangi hizo ujue mtaalam hapo ana Mmasai japo si wote wataalam wenginehuweka vitambaa kupiga watu pesa. Mapamboyake ni shanga bangili na vitu asili kama mifupa ya wanyamwa nk.

    NAMNA YAKUMPATA KUMMILIKI JINI HUYU

Asili ya majini hawa hurithi kwenye ukoo, ikiwa kuna mtu katika nduguzo alikuwa na jini huyu akafariki basu kuna uwezekano wa kwensa kwa mtu mwingine. Hivyo njia kubwa ya kumpata ni huwa kurithi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Pia umaweza kumpata kwa mwenyewe kukupenda.

Wapo wanaoweza kukupenda wenyewe wakakupa ishara na kama utafutilia unaweza kuwapata. Zipo njia za kumilikishwa ila hii yahutaji utaalam zaidi tena kwa mtu mwemye jini wa kimasai ambaye ni mfalme huko kwenye Maskani yao.

Dalili za mtu mwenye jinni masai auanayeandamwa na jini huyu  kupenda kuota ndoto ya ngombe wapo malishoni,kuota unachunga, kuota unapewa fimbo au mkuki pia unaweza ukaoteshwa umevaa kimasai. Dalili za kuonekana ni kupenda sana kuimbaimba nyimbo usizozielewa, kupenda ugoro nyama za kuchoma ukiona dam mbich mwili kusisimka kuwenda mihayo sana.

       KAZI NA UMILIKI MALI WA JINI HUYU

Siku yoyote hufanya kazi ya tiba au kuagua ila siku zenye nguvu kwao ni siku yaJumanne au Jumatano jioni. Kazi kubwa ya Jini huyu ni kutibia hivyo kama utampata utakuwa na uwezo mkubwa wa kutibia na kujua dawa maana analeta mwenyewe miti na mizizi kwa kukuelekeza ndotoni au kukuletea kabisa nyakati za usiku ikiwa utaelewana nae vyema. Mzur kwa dawa za biahsra mapenzi kinga hata kuopoa

Kazi nyingine ya jini huyu kufuga hivyo unaweza ukamtumia kwa kulinda mifugo na kumkabidhi yeye awe mfugaji wako. Pia anaweza kuwa mlinzi wa sehem fulan iwe shamba au nyumba na watu hawatakatiza kwa nia mbaya maana ana adhabu na vitisho vikali matukio ya kuajabisha watu.

Je anatoa mali?, jibu ndio anatoa mali kwa anayempenda kupitia kazi atakayokupa. Mfano anaweza kukuchagua uwe unaagua kupitia kazi hyo anaweza kukufanyia maajabu ukawa maarufu na ukapata utajiri ulioutaka. Jini huyu  huwa hatoi pesa pasina kujishughulisha yaan wale wanaopenda vitonga kwake hapana lazima uwe na shughuli yeye anaweza kuinogesha shughuli yako. Hivyo kwa wafanya biahsra wafanya kazi anaweza kukupa pete yake ikawavuta watu na mali ikaja.  Pete za jini huyu huwa fedha na vito maalum vyekundu ila si zile pete wanazouza wamasai mitaan ni lazima upate mtaalam mwenye jini wa Kimasai muyajenge jini akuridhie anaweza kukupa utakacho kwa kutimiza atakacho.

           MADHAIFU YA JINI HUYU

Jini huyu ana uwezokubwa sana wakuona mbali na kila anachozungumza huwa cha kweli ila hana siri. Akikufanyia kazi ukafanikowa akija mtu mwinginr ambaye h7wemda unamjua basi atakufahamisha alichomfanyia hivyo jua hata na wewe yalo yatahadithiwa kwa mwengine.

Ana hasira kali hivyo mnapoingia mkubaliano jitajd kuyatimiza anaweza kukuharaibia mpaka kidogo ulichonacho kabla ya kukusaidia kikaondoka. Ni mkali sana na anapiga kazi kwelikweli watu wenye jini huyi au waliowahi kushughulikiwa na mgamga mwenye jini huyu watakuwa wanaelewa.

Kwa wataalam ambao wanatumia jini huyu ikiwa watavuka mashart waliyoekeana anaweza kuondoka na kushawishi majini yote yaondoke kichwani chako na kubaki mganga jina. Kama umewah sikia yule alikuwa mganga kweli ila siku hizi hana kitu kama alikuwa anatumia mmasai basi ujue kuna kitu kafanya na jini kaondoka na washikaji zake. Na huwa wanakupitishia maisha ya msoto na kukutafutia kudhalilika.

CHANO ni chakula cha jini ambacho huwekewa kila baada ya muda fulan ama lwenye matokeo maal kama kupungwa shughuli za shukran kukabidhiwa vitu fulan nk. Jini huyu hupenda sana nyama ya kubanika Mbuzi au Kondoo, asali, maziwa, ugoro, kuna baadhi ha majani anatafuta, damu mbichi na wakati mwingine huhitaji bia hivi ni vtu anavyovipenda ila si vyote vinakaa kwenye chano chake tuelewane hapo. Si kila mmasailev si kila mmasai anakunywa maziwa nmeeleza kwa ujumla.

JINI HUYU HUJA AKIKUPENDA MWENYEWE NA KUKUFUNILIA KILA KINACHOMUHUSU. PIA WANAJITOFAUTISHA KWA MAJINA ILA ASILO YAO MI MASAI HIVYO UNAWEZA KUKUTA MTU ANA JINI ANAITWA NAKI, SUBI NK.

UNA JINI ANAKUSUMBUA JITAJD UOATE WATAALAM WANAIFAHAM MASUALA YA MAJINI ENEO UNALOISHI UPATE MSAADA WA HARAKA. MSAADA KIOFIS NIPO TANGA FANYA MAWASILIANO KWA NAMBA ZILIZOWEKWA. UNA JINI UNATAKA TUMCHAMBUE WEKA KOMENT YAKO HAPO CHINI UMELIPENDA SOMO TOA USHIRIKIANO WAKO ILI SOMO LIENDELEE.

una tatzo lolote la uzazi, ndoa, mahusiano, nguvu za kiume kukuza dhakar, maradhi ya sukar prwsha vidonda nk

+255621442936
www.tabibuasili.blogspot.com

Wanaotuma ujumbe jitajd kuwek amaelezo yanayoeleweka mnaotuma voice punguzen mbwembwe usibane sauti kwa wanawakenaleta mushker.

Comments

  1. Asante sana.. nimekua mfatilizi wa nakala zako nyingi., usichoke kutujuza wengine tunanufaika sana.,
    Ukipata mda tunaomba kujua asili ya jini TUFANI.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI