SIRI, THAMANI, UCHAMBUZI WA HERUFI I KATIKA MAISHA UTAFUTAJI NA MAPENZI



UCHAMBUZI HUU UNALETWA KWAKO NA MTABIBI ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA


LEO TUNAENDELA DARASA ZA THAMANI NA UCHAMBUZI WA HERUFI ZA MAJINA KATIKA MAZINGATIO YA KIMAISHA. HERUFI HIZI ZINAHUSIANA NA MASUALA YA UTAFUTAJI, MALI, UTAJIRI NA MAISHA YA KIMAPENZI KATIKA UTAFUTA MAENDELEO.

TUMESHAZUNGUMZA HERUFI A,B,C,D,E,F,G,H SASA LEO TUNAINGIA HERUFI I. KAMA UMEPITWA NA HERUFI HIZO PITIA DARASA ZILIZOPITA MAKALA ZIPO HAZIFUTIKI. UTARATIBU NI ULEULE JITAHDI KUSOMA KWA UMAKINI MWANZO MPAKA MWISHO.

TABIA ZAO HALISI KIMAUMBILE KATIKA MAISHA
    
Watu wa herufi hii wanamatumaini ya mafanikio kwa lolote wanalolitegemea. Wanapenda kuwa na uhuru wa kupenda na kuchagua na wanapenda watu wengine wawe kama wao. Wapo wazi na wanaopenda kusoma. Ni wakweli na ukitaka kuelewana nao na wewe uwe mkweli wanaoenda mambo yao kukalimika haraka sio nusunusu.

Ni watu watulivu, waaminifu na wanapenda uadilifu,.hawapendi kuamrishwa kufanya jambo kwa sababu wanaamini kwamba wao wenyewe wana uwezo mkubwa wa kutekeleza jambo lolote, lakini likiwaudhi wanakuwa wakaidi na wasioweza kutii amri.
Maadili yao ni Ukweli, Kuona mbali, Ukarimu na Kuwa na uwezo wa kusikiliza mawazo ya wenzake japokuwa siyo lazima akubaliane nayo.

        TABIA ZAO KATIKA MAPENZI

Wanapenda wawe huru na wenye kujiamulia mambo yao wenyewe, huwa wana starehe na kuona raha wanapokuwa ndani ya uhusiano wa kimapenzi.wanapenda sana kujihusisha na makundi makundi lakini huwa wanapata muda wa kuwa na wapenzi wao. Katika mapenzi ni wachangamfu na wenye kupenda lakini tabia yao ya kutojali inawafanya wapenzi wao wajione kwamba wanakosa ulinzi wa kimapenzi. Wanapenda sana ngono na hujishughulisha sana wawapo faragha.

Mwanzoni wanakuwa wagumu sana kujihusisha. Wanapenda sana wakati wote kuwa na wapenzi wapya au mapenzi ya kawaida kwa sababu wanaamini mapenzi ya kudumu yanawanyima uhuru. Wapenzi wao wanapowap3nda zaidi na kujitoa kwa ajili yao basi wao huwa wanajiondoa kwa hofu ya kubanwa na kutokuwa na uhuru.

          MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

Tabia za kujiepusha nazo ni Kutegemea mambo kuwa yatakuwa mazuri siku zote, Kutia chumvi mambo na Kuzidisha Ukarimu kwa kutegemea hela za watu wengine. Hawapendi kuugua. Lakini huwa wanapata maradhi kutokana na kujishughulisha kupita kiasi na kutumia nguvu zao na akili zao kwa muda mrefu bila mapumziko. Wanathamini sana mizunguko kuliko mapumziko.Vile vile ni watu wasiopenda ushauri kuhusiana na afya zao. Wanashambuliwa sana na majereha na maradhi ya nyonga, mapaja, maradhi ya ini  kupooza kwa miguu na ugonjwa wa kuumwa mishipa au misuli ya nyuma ya paja.

      MUINGILIANO WA KIMAISHA NA WATU WA HERUFI ZINGINE

A&I>> maishayatakuwa mazuri kwa wastani, mtakuwa mkikumbwa na vipindi vigumu na vyepes. Mambo hayatakuwa mnyoofu sana utamilikiwa kiakili uzazi unaweza kuwa wa shida pia unaweza kutuluzwa kimadawa.

B&I>> maisha yenu yatakuwa ya watsani huwenda kipato kikakidhi majukumu yako tu. Utapata pesa ya kutumia ila si ya kuweka. Milango ya mafanikio migumu yahitaika kufunguliwa uzazi upo hauna shida.

C&I >> mambo yenu yatakuwa mazuri sana maidha yatakuwa mepesi sana. Kizazi kipo hakina shida yoyote. Milango ya mali na utajiri ipo wazi ufalme utakuwa miguuni mwenu muhimu kujishughulisha na shughuli zinazoendana na nyota zenu.

D&I>> mambo yatakuwa yakiganda sana. Maendeleo yatakuwa hafifu sana kadri siku zinavyozid kwenda ndipo ugumu unaweza kuwa mkubwa zaidi. Uzazi utakuwq wa shida milango ya utajiri ni migumu sana.

E&I>> Mafanikio uatakuwa mbali sana, pesa ya kukimu maisha itapatikana kwa kuugumu. Utaandamwa na migando na ahdmadi iziszokuwa na utimilifu mpaka kujihisi buna bahati. Uzazi utakuwa na shida.

F&I>> maishq yatakuwa nq changamoto sana pesa itapatikana ila kwenye mafanikio patakuwa na ugumu. Uzazi utakuwa wa shida. Unaweza kumilikiwa kimadawa yaan kutulizwa kiakili usiwaze mambo mengine.
  
G&I>> maisha yatakuwa  mazur utafutaji utakuwa mwepesi ridhki itaoatikana kwa wepesi. Utafutaji wa maki yaan mendeleo ya kupituliza au utajiri utakuwa mgumu kidogo mpaka ujishughulikie sana. Uzazi upo hauna shida yoyote.

H&I>> maisha yanaweza kiwashinda mapema sana. Utafutaji wa ridhki unaweza kiwa mgumu sana mkikaa pamoja inaweza kuwa ugumu zaidi ukaonekana. Uzazi utakuwa na shida.

I&I>> maisha yatakuwa mazuri pesa utapatikana. Mafanikio yatakuwa mbali mpaka ujishughulikie sana. Uzazi upo hauna shida yoyote. Utaandamwa na husda na vifungo vya watu wa karibu.

J&I>> mambo yatakuwa mazito sana kuna kilondi safad inaweza kukushinda ya maisha piga moyo konde tatua matatizo yako jishughulikie. Uzazi  upo hauna shida yoyote.

K&I>> maisha yatakuwa mazuri hakuna changamoto kubwa zitakazowakabili. Mitihani itakuwepo ila mtafanikiwa kuikabili. Uzazi upo hauna shida milango ya kufanikiwa haina uzito mkubwa jishughulikie sana.

L&I>> maisha yako yatakuwa wastani hayakuwa mazuro walq mabaya. Milango ya mafanikio makubwa hakuna mtaandamwa sana majanga kuliko heri. Uzazi hautakuwa na shida sana maneno ya watu pia yanaweza kuwasbabisha usikivu ukakosekana.

M&I>> mwanzo anaweza kuwa mwaminifu na kukuambia kila kitu kadri maisha yanavyoenda anabadilika. Unaweza kupigwa matukio ya kuvunja moyo. Unaweza kutulizwa kimadawa. Uzazi unaweza kuwasumbua. Kufanikiwa kupo mbali sana.

N&I>> mambo yatakuwa yanaganda sana katika mafanikio yako. Maendeleo yatachelewa sana. Milango ya mafanikio ni migumu uzazi utakuwa na shida.

O&I>> maisha yenu yatakuwa mepesi katika utafutaji. Kuna kila aina ya mafanikio yatawafuata kwa kile mtakachofanya kiwe kinaendana na nyota zenu. Uzazi upo hauna shida yoyote. Mtaandamwa na husda za waru wenu wa karibu kutokana mafanikio.

P&I>> Pesa ya kula haitaluwa na shida ila majukumu mengine kama afya mavazi pango yanweza kuwa mtihani kwenu kupatikana. Hali ya utajiri kwenu haipo kabisa ikiwa hamtashughulikia mambo yenu yatakayokuwa yanawakwamisha.

Q&I>> utakuwa chini yake na kufuata kile anachokitaka yeye. Atakuwa mtu wa sifa na kujiomesha kwa watu, hata kidogo alichokusaidia anaweza kukiongea pale mnapokwazana. Mafanikio yapo mbali sana uzazi pia una shida.

R&I>> kutakuwa na usiri mwingi sana katika mapenzi yenu. Mafanikio yapo uzazi upo hautakuwa na shida yoyote.

S&I>> uzazi hautakuwa shida yoyote watoto watakuwa na afya na maendeleo mazuri. Utafutaji wa maisha utakuwa wastani peaa itapatikana majukumu yatakimiwa kwa wakati. Maendeleo makubwa yatakiwa ujishughulishe sana.

T&I>> maisha hayatakuwa mepesi yahitajika nguvu ya ziada katika utafutaji. Milango ya mafanikio migumu milango ya uzazi pia migumu yahitajika madawa zaidi.

U&I>> maisha yatakuwa na mikwamo ya hapa na pale kupata kutakuwa kipindi kichache kuliko kukosa. Mara nyingi itatakiwa kufanya kazi kwa bidii kupita kiasi ili ufanikiwe. Milango ya mafanikio migumu uxazi upo hauna shida.

V&I>> mambo yafakuwa yakiganda sana ahadi zitakuwa nyingi kuliko matekelezo. Itakupasa kutumia wakato mwingi na nguvu za ziada katika mafanikio. Milango ya mali ni migumu uzazi hauna shida.

W&I>> maisha kwa ujumla yatakuwa mazuri japo si sana ila wepesi katika utafutaji utakuwepo afya haitakuwa na usumbufu. Uzazi upo hauna shida na watoto watakuwa watulivu.

X&I>> ahadi za pesa au kazi utazipata kwa wingi ila utimilifu wake utakuwa mdogo sana. Njia ya mafanikio ni finyu sana mpaka itanuliwe kitaalam hivyo usiwe mtu wakufanya shughuli moja pia pedmnda kujishughulikia mara kwa mara. Uzazi unaweza kuwasumbua.

Y&I>> kuna kila sababu ya wewe kumilikiwa kiakili. Mara nyingi atapenda ufuate anachokitaka yeye sio unachotaka wewe. Utafutaji mali utakuwa mgumu. UzaI utawasumbua au watoto wasiwe na afya njema.

Z&I>> mikwamo itawaandama sana ahadi zitakuwa nyingi pasina utimilifu. Milango ya mafanikio haitakuwa mepesi itahitajika kazi ya ziada kuyafikia uzazi utakuwa na shida.

 Nmemaliza herufi hii, nawapenda wote najitoa kwa wote hivyo jitahd kufuata maelezo ninayotoa. Mara nyingi maswali ya nyota utabiri ndoto nayajibu ukiuliza kwenye coment inbox kuna vitu sio bure kama kutafsiriwa ndoto kupatiwa ufafanuzi wa nyota yako biamaana aina waru wakushirikiana nao biahsra kazi mali za kufanya nk. Pia wanaotaka kutizamiwa mambo yao iwe biahsra kazi mapenzi uzazi mitoko nk si bure.
Utaratibu ni uleule kama una herufi zako unataka ufafanuzi weka hapo chini utapatiwa ufafanuzi. Ukiweka inbox utalipia gharama. Pia wale mnaotoa lawama uchambuzi unachelewa jitahdin kusoma kuna maswali huwa nauliza nisipojibiwa huwa naendelea na shughuli zingine. Kama unataka mfululizo wa uchambuzi wa heruf zilizobaki weka maoni yako kwenye coment. Narejea maoni ya kundelezwa yawekwe kwenye coment sio inbox yangu.

            MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

SI KILA MATATZO KWENYE NDOA AMA MAHUSIANO YANASABABISHWA NA MUINGILIANO WA HERUFI AMA UKOSEAJAI WA NYOTA. UNAWEZA KUPATIA KILA KITU LAKINI KUKAWA NA UADUI AU MTU MMOJA KUMFUNGA MWENZIE. HiVYO KUKUTOKEA SHIDA YOYOTE JITAHD KUFIKA KWA WATAALAM WAANGALIE VYANZO VYA TATIZO VISHUGHULIKIWE.

UMEACHWA UMEKIMBIWA HUTAKIWI UNATAKA KUREJEWA KUPENDWA USHAUR TAFUTA CHANZO CHA TATIZO KIFANYIWE KAZI NDIPO AREJESHWE MUHUSIKA.

WALE WENYE WATOTO WENYE SHIDA ZA KUKAZA SHINGO KUCHELEWA KUTEMBEA KUTAMBAA KUBEMENDEKA NK FANYA MAWASILIANO DAWA ZIPO.

Una shida yoyote ya mapenz biahsra kazi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar presha sukar bawasiri nk 

+255621442936

Fanya mawasiliano kwa ushaur na tiba wale mnaotuma ujumbe weka maelezo yakutosha jumbe fupi mambo hi niaje habar sitazijib

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI