SIRI, THAMANI, UCHAMBUZI WA HERUFI H KATIKA MAISHA UTAFUTAJI NA MAPENZI



UCHAMBUZI HUU UNALETWA KWAKO NA MTABIBI ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA


LEO TUNAENDELA DARASA ZA THAMANI NA UCHAMBUZI WA HERUFI ZA MAJINA KATIKA MAZINHATIO YA KIMAISHA. HEEUFI HIZI ZINAHUSIANA NA MASUALA YA UTAFUTAJI NA MAISHA YA KIMAPENZI KATIKA UTAFUTA MAENDELEO.

TUMESHAZUNGUMZA HERUFI A,B,C,D,E,F,G SASA LEO TUNAINGIA HERUFI H. KAMA UMEPITWA NA HERUFI HIZO PITIA DARASA ZILIZOPITA MAKALA ZIPO HAZIFUTIKI. UTARATIBU NI ULEULE JITAHDI KUSOMA KWA UMAKINI MWANZO MPAKA MWISHO.

    MAISHA HALISI YA WATU WA HERUFI HII

Wana uwezo mkubwa wa uvuto au kuvutia watu katika mambo yao. Ni wenye uelewa mkubwa, majasiri katika kukabiliana na matatizo ambayo wengine yamewashinda.

Wana tabia ya kutilia mkazo mambo yao, tena kwa ukali na ikibidi kutumia ukatili ili jambo litimie wao wako tayari.Ni wasiri na wanaopenda kufanya mambo yao kwa siri sana. Ni wenye akili nyingi, waerevu na wepesi sana kuelewa mambo. Wanaweza kujidhuru wao wenyewe mambo yanapowawia magumu. 

   TABIA ZA KIMAPENZI WATU WA HERUFI HII

Ni watu wenye ashki na hasira wakiwa wamedhalilishwa au wameumizwa na wapenzi wao na wanapofanya tendo la ndoa hasira zao huisha mara moja.

Ni watu wasiri sana katika masuala ya mapenzi na wanakuwa hivyo ili waweze kuwapata wapenzi wengi kukidhi matakwa au kiu yao kubwa ya ngono. Wanapenda sana kutumia fursa ya kufanya mapenzi kama njia mojawapo ya kuonyesha ujasiri wao katika mapenzi na namna wanavyojua kufanya tendo la ndoa.

 MUINGILIANO WA KIMAPENZI NA HERUFI ZINGINE

H&A maisha yatakuwa magumu uchumi utazorota. Kipato kinaweza kizikizi mahitaji ya familia. Mwenzio anaweza kuwa mtu wakuamini sana madawa ya kutylizna kuliko kusikilizana hivyo utafungwa sana nyota. Uzazi unaweza kusumbua.

H&B maisha yatakuwa raihisi majukumu yenu mtaweza kuyamudu kikamilifu. Mizozo ugomvi unaweza kutokea pale mtakaposhirikisha watu wawe wasimamizi mambo yenu muhimu. Uzazi upo hauna tatzo lolote.

H&C maisha yatakuwa maji kupwa maji kujaa fedha haitakaa. Upatikanaji fedha utakuwa mgumu na mtaandamwa na matumuzi hivyo mnaweza kujiingiza kwenye hali ya kukopa sana. Uzazi unaweza kuwasumbua mpaka zipatikane dawa.

H&D maisha hayatakuwa mabaya sana wala yatakuwa ya wastani hali ya utafutaji itakuwa ya kawaida. Mambo yenu mengi yatakuwa na mikwamo ya hapa na pale na ahadi zisizotimia. Ndugu wanaweza kuwa chanzo cha ugomvi. Uzazi upo hauna shida.

H&E utadhibitiwa kiakili na kimaamuzi kila unachokifanya kitakuwa kinapitia kwake hutakuwa na uhuri wa kuamua. Hiwenda mambo yako muhimu ya siri ya kimaendeleo yakatolewa nje ni miongoni mwa watu wanaopenda sana sifa. Uzazi upo hau a shida ila mpaka unywe dawa.

H&F maisha yatakuwa yakawaida fedha ya kula na kuweka itapatikana ila mwenzio atakuwa akisumbuliwa sana marafiki. Akili yake itakuwa ikishauriwa sana na watu wake wa karibu na hana chakupinga anaweza kukusababishia vifungo kwani ni watu wasiotosheka na mtu mmoja pia hupenda sana mapenz ya madawa. Uzazi mpaka zipatikane dawa.

H&G fedha zitakuwa zikipita mikononi mwenu hazitakuwa na utulivu. Kiasi utakachokitafuta kinaweza kikatumika kwa masaa kadhaa hivyo yagakuwa uwe na nguvuvsana katika utafutaji. Uzazi upo bauna shida yoyote.

H&H maisha yatakuwa yakawaida sana ila mtakuwa mkikumbwa na vipindi vigumu. Mafanikio yaoo mbali sana. Maneno ya umbea yanaweza kupenyezwa kila wakati hivyo hiweza kuongeza presha na kutoaminiana. Milango ya mali ni migumu uzazi utakuwa mbali.

H&I maisha yatakuwa magumu si ya kawaidia utafutaji wa fedha unaweza kuwa unawapiga chenga watu kukosa kazi ama hitilafu sehemu za biahsra na hasara za mara kwa mara. Uzazi upo mbali mpaka upatiwe madawa.

H&J maisha yatakuwa mazuri wastani ila maendeleo makubwa sana hayatkuwepo. Kama mtajitahd kupambana katika utafutaji basi hata kibadna cha vyumba viwili mwaweza kukipata uzazi hauna shida.

H&K mambo yatakuwa yakikaa sawa na kupotea hakutakuwa na misimamo thabiti. Hali ya kuzozana inaweza kuwa kawaida sana kwenye mahusiano yenu. Marafiki wanaweza kuwa chachu ya kusamabaratisha penzi lenu. Uzazi hautakuwa na shida.

H&L maisha yatakuwa yakawaida sana upatikanaji wa pesa unaweza kusumbua. Mafanikio kwenu yapo mbali sana mfanye shughuli ambazo huna uwezo nazo.uzazi utakuwa wakusuasua.

H&M maisha yatakuwa na shida katika utafutaji hasa M kawa akiwa mwanamke atataka vitu visivyona uwezo navyo hivyo atakufanya uhangaike usiku na mchana wakati mwingine yuwaweza ingia madeni. Makubwa. Uzazi unawwzw kuwasumbuwa madawa yatahitajika.

H&N mafanikio yapo mkono wa kuume mwatakiwa mkae mpange muishi kwa kielewana kwani jambo lolote mtakalolifanya litakuwa na faida mara dufu. Uzazi upo hauna shida yoyote.

H&O  mqisha yako utatufa sana na utakuwa ukijituma laikini kipato kitakuwa kidogo na hakitakaa. Utakachoingiza ni kidogo kuliko majukumu utakayokuwa nayo kuyakimu. Uzazi utakuwq na shida.

H&P mambo yatakuwa yakiganda sana yaani kazi utafanya ila kulipwa yawwza mitihani unaweza jikita unalimbikiziwa madeni sana ya malipo. Uzazi upo hauna shida yoyote 

H&Q maisha yatakuwa ya moto sana mwenizo atautaka ufalme wa kukumiliki mtakuwa mkishindana kimaamuzi huwedna nduguzo wakaona kabisa ywaonewa ila ukaendelea kung'ang'ania. Afya ya uzazi itakuwa na shida.

H&R maisha yatakuwa mazuri fedha itapatikana kwa wepesi tatzo kutakuwa na uadui wa kimaneno. Utafutaji wa mali utakuwa na shida sana mtapata senti za matumizi ya kawaida. 

H&S maisha hayatakuwa mepesi kutakuwa na mikwamo ya hapa na pale. Kipindi kirwfu kitapita pasina kuwa na kazi au shughuli ya kukuingizia kipato. Unaweza kuvubjiwa mahusiano yako na marafiki wa karibu. Afya ya uzazi ina shida mpaka ishughulikiwe.

H&T maisha yatakuwa ya shida huwenda mkaishi kwa misaada kutoka kwa watu wa karibu. Wakati mwingi mtakuwa kwenye utafutaji ambao hautakuwa na utimilifu ule mnaoutaka. Mafanikio ya kimali yapo mbali sana mpaka mjishughulishe kwelikweli na huwemda uzazi ukawasumbua.

H&U mambo yanawezq yasiwe mazuri sana muda mwingi mtakuwa mkisuluhishwa keai kuliko furaha. Mwatakiwa mkae mbalimbali ili muweze kudumu. Afya ya uzazi ipo haina shida.

H&V .aisha yatakuwa mazuri utafutaji wa ridhki utakuwa mwepesi. Ila mafanikio makunwa hayapo mpaka mshughulike sana uzazi upo hauna shida yoyote.

H&W fedha mtaipata ila haitakuwa na utulivu itakuwa ikitumika sana. Pia mtakuwa mkikumbwa na majanga ya kuuza vitu sana au kuungua hivyo mtakuwa na mitihani ya kununua vtu mara kwa mara na havutakaa. Uzazi utakuwa wa shida.

H&X mambo ya kupata na kukosa yatakuwa kawaida sana. Mali zipo mbali mjitume sana kwa madawa na kufanya shughuli zaidi ya moja uzazi utakuwa na shida.

H&Y utafutaji utakuwq na shida sana unaweza kupata kiasi kidogo ila matumizi yanawezq kuwa makubwa. Inaaminika ya kuwa madeni yatakuwa ni sehemu ya maisha yako kwani utakwenda mbio sana ili siri yako isivuje. Uzazi upo ila upate kushtuliwa kwa dawa.

H&Z maisha yatakuwa mazuri mtajiweza na kujimudi mtakuwa mkitoa misaada kwa watu wanaowazunguka. Maisha yenu yataandamwa sana husda za hapa na pale kutokana na kufanikiwa kwenu uzazi upo hauna shida yoyote.

Utaratibu ni uleule kama una herufi zako unataka ufafanuzi weka hapo chini utapatiwa ufafanuzi. Ukiweka inbox utalipia gharama. Pia wale mnaotoa lawama uchambuzi unachelewa jitahdin kusoma kuna maswali huwa nauliza nisipojibiwa huwa naendelea na shughuli zingine. Kama unataka mfululioz wa uchambuzi wa heruf zilizobaki weka maoni yako kwenye coment. Narejea maoni ya kundelezwa yawekwe kwenye coment sio inbox yangu.

       MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

SI KILA MATATZO KWENYE NDOA AMA MAHUSIANO YANASABABISHWA NA MUINGILIANO WA HERUFI AMA UKOSEAJAI WA NYOTA. UNAWEZA KUPATIA KILA KITU LAKINI KUKAWA NA UADUI AU MTU MMOJA KUMFUNGA MWENZIE. HiVYO KUKUTOKEA SHIDA YOYOTE JITAHD KUFIKA KWA WATAALAM WAANGALIE VYANZO VYA TATIZO VISHUGHULIKIWE.

WALE WENYE WATOTO WENYE SHIDA ZA KUKAZA SHINGO KUCHELEWA KUTEMBEA KUTAMBAA KUBEMENDEKA NK FANYA MAWASILIANO DAWA ZIPO.

Una shida yoyote ya mapenz biahsra kazi uzazi nguvu za kiume kukuza dhakar presha sukar bawasiri nk 

+255621442936

Fanya mawasiliano kwa ushaur na tiba wale mnaotuma ujumbe weka maelezo yakutosha jumbe fupi mambo hi niaje habar sitazijib

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI