Posts

Showing posts from July, 2023

NAMNA JINI ANAVYOINGIA MWILIN, KUTUMWA KUKUMBA NA ATHARI ZAKE

Image
HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI NA TABIA ZA MAJINI. LEO NITAONGELEA NAMNA JINI ANAVYOINGIA MWILINI MWAKO NA KUKUATHIRI DALILI NA ISHARA ZAKE NA NAMNA YA KUSHUGHULIKA NAE ANAYEKULETEA DARASA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAJA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU 9 KWANZA tufahamu hakuna jini anayeweza kuingia mwilini mwa mtu kwa lengo la kutesa mwili. Jini hupanda kwa kiti wake panapotokea ahitajika kutoa msaada wa kitiba au dharura ya haraka. Mwemye uwezo wa kukaa kwenye mwili wa mtu au mnyama au mti ni Jini aliyeasi ambaye ana sifa za shetanai ndio utasikia una jini mchafu mwilini au jini mbaya. Maudhui ya leo yatazungumzia kwa jinsi gani unaweza kuingiwa na Jini Mchafu mwilini dalili zake ni zipi njozi zake ni zipi na hatua gani za kukabiliana nae. Kuna njia nyingi za JiniChafu anaweza kuingia mwilini na kukuletea madhara, lakini pia kuna misukure ambayo nayo ina uwezo wa kutoonekana hivyo anaweza kukuletea vitimbi ukae

ASILI ZA MAJINI FAHAMU KUHUSU JINI MAKATA KAZI, KUUA NA UTAJIRI

Image
HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILINA TABIA ZA MAJINI KAZI ZAO WANAVYOPATIKANA WANAPOISHI NA UTOAJI MALI. UCHAMBUZI HUU UMEANDALIWQ NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILO NA TIBA NILIWAHI kueleza kuwa majini wana tabia zao kuu wana makazo yao makuu na hata kusimamia vitu vinavyowwza kukupa manufaa kifedha na utajiri. Jini kama makata hafai kupewa kazi ya ulinzi wa duka au shamba atalinda kama una yitaka ila ukimuudhi analichoma fasta na hakitoki kitu hata kimoja. Wale wazee wa kamali kubeti nishawaelezea shetani anayesimamia habari hizo na nmeweka vipengele vyake namna ya kunufaika na anavyofanya kazi ulipitwa makala zipo rejea nyuma utaona.        ASILI NA TABIA ZA MAKATA MAKATA ni miongoni mwa majini wakorofi walioasi falme za ujinini. Ni miongoni mwa Mashetani wenye nguvu zaidi na huwa hawapindishi maamuiz yao. Jini huyu ana asili ya Moto ana sifa ya Ushetani na jukumu lake kubwa kuadhibu watu. Jini huyu hiwa hatumiki kwenye kazi zakuagua hutumika k

DALILI ZA KUWA UNA JINI MZURI ANAYEWEZA KUPANDA NA KUONGEA

Image
ISHARA NA DALILI  ZA MAJINI WANAPAONDA NA KUONGEA KWA AMBAO BADO HAWACHIMBULIWA WALA KUKABIDHIWA KITI, WAGONJWA WANAOSUMBULIWA NA MAJINI MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWQ ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MAELEZO MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU JUU YA MAJINI KABLA ya kuendelea na makala leo nimeelza kuwa nis iku nyeupe na nikabainisha mambo ambayo unaweza kuyafanya siku ya leo kusimamisha ufalme na kujua nn chakufanya ili umiliki mali au umalize tatizo linalokusumbua. Walionitafuta waliotaka kuangaliwa yaliyoelezwa nimeshamalizana nao. Makala hii itazungumza dalili za kuwa una jini na huyu jini ana uwezo wa kupanda na kuzungumza. Katika ulimwengu wa Majini kuna elimu pana sana kuna majini wao kazi yao ni kinga tu. Kuna majini kazi zao ni tiba, kuna majini kazi zao kutajirisha hapa walioasi hutoa pesa haraka zaidi. Hebu tuangalie dalili kuu kuwa wewe una majini na wanazungumza ikiwa watashughulikiwa. Au mgonjwa unayemtibia a