NAMNA JINI ANAVYOINGIA MWILIN, KUTUMWA KUKUMBA NA ATHARI ZAKE



HUU NI MUENDELEZO WA CHAMBUZI ZA ASILI NA TABIA ZA MAJINI. LEO NITAONGELEA NAMNA JINI ANAVYOINGIA MWILINI MWAKO NA KUKUATHIRI DALILI NA ISHARA ZAKE NA NAMNA YA KUSHUGHULIKA NAE ANAYEKULETEA DARASA HIZI NI MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAJA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

9
KWANZA tufahamu hakuna jini anayeweza kuingia mwilini mwa mtu kwa lengo la kutesa mwili. Jini hupanda kwa kiti wake panapotokea ahitajika kutoa msaada wa kitiba au dharura ya haraka. Mwemye uwezo wa kukaa kwenye mwili wa mtu au mnyama au mti ni Jini aliyeasi ambaye ana sifa za shetanai ndio utasikia una jini mchafu mwilini au jini mbaya.

Maudhui ya leo yatazungumzia kwa jinsi gani unaweza kuingiwa na Jini Mchafu mwilini dalili zake ni zipi njozi zake ni zipi na hatua gani za kukabiliana nae. Kuna njia nyingi za JiniChafu anaweza kuingia mwilini na kukuletea madhara, lakini pia kuna misukure ambayo nayo ina uwezo wa kutoonekana hivyo anaweza kukuletea vitimbi ukaenda kwa mganga ukaambiwa una jini hasa wale wasiokuwa na elimu na ujuzi wa kutosha. Hapa nitaeleza njia kuu lakini pia nitaeleza vitimbi vya misukule.

SHETANI WA KUKUMBA huyu huwa anamuingia mtu pasina kukusudiwa hiwenda akawa ametega pahala anamsubiri mru ghafla ukajipitisha kwenye anga zake akakuingia. Na mara nyingi huwa njia panda kwenye miti mikubwa ya kupumzikia watu wanaweza kukuongia. Na huwa hawana madhara makubwa sana sababu hujakusudiwa wanakutesa ila wanaposhurutishwa. Madhara yake huwa si makubwa sana kama mtamuwahi mgonjwa pia kama atampenda mgonjwa ndo huwa ngumu na shughuli huwa pevu.

SHETAN WA KUTUMWA Hapa huwa wanakusudia ubaya kabisa aidha kuua kabisa kutesa mwili au kuvuna upande mmoja wa mwili. Huwa aidha kugombea kitu au kudhulumu au kukomoana tu bimaana kuhusudiwa nk. Anaitwa jini mchafu kama Bedui Makata Cheketu nk anaingia makubaliano ya kwenda kufanya kazi kisha anaahidiwa zawadi. Na mara nyingi huwa ni damu ya kiumbe chenye uhai. Hapa ndipo panakiwa na kazi anaweza mganga akaondoka yeye ikiwa ni mwepes kwwnye kunshughulikia huyo kiumbe.

SHETANI WA KURITHI ndio jini mchafu anaweza kuhama kutoka kwa mtu mmoja mwenda kwa mtu mwingine kwa njia za kurithi. Mfano jini ameingia maagano nedna kateketeze fulani na familia yake yote. Hapa ndipo unaona watu wanakufa kifo kinachofanana ataanza mzazi kupalalaiz atakufa atafuta mtoto mkubwa na kuendelea kama hamjashtuka mtashangaa mkihadithiana mama na kaka walikufa hivihivi kumbe jini anarithi anatoka huku anaenda huku. Anaweza pia akawa anawawekea ukimwi wa kichawi mnashangaa familia inakwisha chazo ukimiw mnashangaa mbona yule alikuwa sheikh mbona yule alikuwamlokole  kumbe ni jini la kurithi linaendeleza ahadi.

Anaweza pia akamkosa mzazi mfano mtu mwenye mimba anaweza akapigwa jini ila akapambana kumpoza hakumtoa akija kuzaa jini anaweza kuhamia kwa mtoto. Ndipo unakuta watoto wanakuwa walemavu hawakazi viungo hawaelewk wanakuwa na majini wachafu mwilini wenye nguvu kuliko uwezo wao.

SHETANI WA LAANA hapa inaingia mizimu ya ukoo wako kama huishughulikii wanaweza kuwatumia marafiki zao waovu wakaja kukuvunja miguu au kukupa mafadhi yakakusumbua mpaka urejee mizimu ndiyo yale majini yanakabidhi kazi na kukuachia huru sasa. Ndipo unasikia fulan alikuwa chizi wakuokota makopo kumbe ilikuwa mizimu ya kwako. Pale ile mizimu inawapa kazi manini washenzi wakushughulikie mpaka adabu ikushike ukirjea kwao wao wanaondoa wale waovu sasa. Pia kuna majini ya laana kwa waganga hasa watunguli kama uliahidi kitu mambo yako yatapoenda sawa usipotimiza unawezw kutumiwa jeshi likufanyie visa wanaweza kutesa familia kuunguza mali nk mpaka utakapofunguka macho na masikio kirud ulipoahidi ndipo utafunguka.

SHETANI WA KUKUINGIA hapa kuna utaofauti kidogo na jini wakukumba huyu anayekuingia hiwa hakukumbi na hata matatizo yake yanatokea baadae sana. Na mara nyingi huwa anawaingia watoto wadogo wanafunzi mashulen maeneo ya mipira nk. Huwa akama najifurahisha tu ukiangalia watoto wanaosumbuliwa na kadhia za aina hii hupona tu ghafla mfano mtoto anaweza akiwa shule anaumwa akirud nyumban haumwi au mtu akienda sehem fulan anaumwa sana. Hapa humaanisha hilo eneo ndipo wapo hao viumbe wbaya hivyo huwaingia na kutoka huwa hawakai mwilini kuwachosha. misibani pia hutokea sana hili.

       DALILI ZA KUINGIWA NA VIUMBE WACHAFU

unaweza kuwa unatembea ghafla ukahisi upepo mkali umekuingia mwilini hapo umekumba au kuhisi mwili mpaka nywele kusisimka kutembea kuhisi kama kuna nyoka ila huwaoni pia ni dalili ya kukumba. Kukanyaga kitu ukahisi ganzi pia ni dalili.

kutembea kuona viumbe visivyoeleweka vikakuingia mwilin pia ni dalili ya wazi. kuota unaona nyoka anakufukuza nyoka anaingia mwilini nyoka yupo angali zote ni dalili za kuingiwa na jini mwilini.

Ukiota wanyama weusi mbwa pakasimba nk. Mwili kuona unatembelewa na vitu tumbo kunguruma mwili kufa ganzi kukonda sana huna uvonjwa unaonekana hospitali pia ni moja ya dalili ya viumbe wabaya mwilini.
Kuota unaingiliwa au kuingilia kuota unazaa unanyonyesha Kuoa kuolewa. Mwili kuwa mzito nyakato za usiku unaweza kuota ukaamka ukawa mzito kuamka unaoambana kuamka huwez ni moja ya dalili

kukosa nguvu za kiume uzazi kuwa mgumu kuna majini wanazuia uzazi ridhki nguvu za kiume wewe ni mtu wa kuumwa tu unachoumwa hakijuliakani.

         VITIMBI VYA MISUKULE USIKU

Msukule ni kiumbe ila kinafichwa tu kisiweze kuonekana kwenye macho ya kawaida pia kinaharibiwa ufahamu na matendo ya kujitambua. Ila na wao wanapewa wanawwake na wanaume wakuingiliana nao yaweza ikawa wao kwa wao au watu wa kawaida kabisa kama wewe. Kinachofanyika wale misukule yenye nguvu za kulima kufanya kazi hupewa zawad za watu usiku kuwaingilia.

Ndipo yuwaota mara kwa mara unaingiliwa na watu wasioeleweka tena kinyume cha maumbile na ukiamka kweli sehem hiyo yauma. Au kwa mbele na ukiamba kwwlu unajihisi haupo sawa, yaani wewe haipiti siku kadhaa unaota tena ila ndoto ni hizo hizo basj ujue ni vitimbi vya misukule dawa ni kutafuta wataalam wakuwashughulikia. Hii sio jini mhaba.

Mauzauza ukiona usiku usije ukajichanganya jini anashuka kutoka juu iwe hewan kwenye bati mti nk. Mchawi anapitia ukutani hata kuyayuka anayeyukia ukutaniwakati jini anapaa juu. 

       MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

JINI MCHAFU ANA HATUA ZA KUTOLEWA JINI HATOLEW KAMA UNATOA PANYA NDANI KADRI JINI ANAVYOKUWA MKONGWE MWILINI MDIPO UZITO WAKUTOKA UPATIKANA. KILA JINI MCHAFU NNA ALIVYOINGIA BASI PIA ANA UTOKAJI WAKE JINI WAKUKUMBA NI TOFAUTI NA JINI WA KUTUMWA NI TOFAUTI NA JINI WAKURITHI HIVYO UNAHITAJIKA UTAALAM WA HALI YA JUU.

JINI MWEMA HAAGIZI VITU KUMKOMOA MGONJWA NA FAMILIA YAKE JINI HATA AKITAKA PETE HULETA SABABU YA KUPATIKANA PESA ILI IPATIKANE PETE AU HULETA MAZINGIRA YA KUPATIKANA PETE KABISA.

HIVYO UNAPOKUWA NAGONJWA ANA JINI AKAWA AAGIZA VITU VIZITO KULIKO UWEZO WA MGONJWA NI WAKUMUANGALIA KWA UMAKINI NA KUMTIMULIA MBALIHAKUNA NIA NJEMA HAPO.

MASWALI KUHUSU MAJINI MARADHI YA KISHETANI WEKA UTAJIBIWA

una tatizo lolote la nyota vifungo mapenzi kazi nguvu za kiume kukuza dhakar uzazi bawasiri kupandisha cd4 

+255621442939
Mnaotuma ujumbe jitahd kuweka melezo yakutosha jina pahala ulipona shida husika.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI