Posts

Showing posts from February, 2024

MIZIMU INA NAFASI GANI KATIKA MAFANIKIO YA MTU, NA JE MIZIMU INAWEZA KUKUFUNGIA MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA ?

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU MARA kadhaa nmekuwa nikitolea ufafanuzi kuhusiana na masuala ya mizimu kama ni mfuatiliaji wa ukurasa huu basi sasa utakuwa una uelewa mpana kuhusiana na haya mambo ya mizimu. Nimekuwa nikiylizwa maswali mengi sana kila ninapotoa makala kuhusu mizimu ina nafasi gani katika maisha ya mwanadamu na je mizimu yaweza mnufaisha mtu ama kumuharibia maisha. Na je historia ya hio mizimu imetokana na nini. Eapo wanaoniuliza mizimu ndio wale mababu waliokufa ndio tunaowaomba. Sasa nilishafafanua vitu vingi sana makala zilizopita hapa nitaeleza walau kwa ufupi ili ninapoingia kwenye kiini cha mada ujue nizungumzia nini.      MIZIMU YA UKOO WENU ILOSABABISWA NINI Hapa unaweza kuuliza chanzo cha mizimu ya ukoo ni nini. Nimeelza mara nyingi kiwa mizimu ni Muunganiko wa Majini wenye tabia na koo zinazofanana  waliojiumda kwenye kikundi kimoj

MIZIMU YENYE ASILI YA PWANI ELIMU, TIBA, MALI NA SHUGHULI ZAKE 'MAULIDI,ZIKRI'

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUABDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA IFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU KUHUSU MIZIMU HII ni makala ya tisa katika mfululizo wa makala zinazohusiana na mambo ya kimizimu. Nimezungumza sana huko nyuma mizimu ni nini ilipatikana vipi na kwanini ikukamate. Makala iliyopita ya nane nikieleza kuhusiana na Mizimu yenye asili ya Pwani nikaifafanua kwa kina. Ila makala haya yatazungumzia kuhusiana na Mizimu yenye asili ya Pwani. Kwa ufupi miizmu yenye asili ya Bara nilieleza kuwa moja ya daliliza ke ni vibanda vya kinyamkera, kibuyu shanga kaniki pombe. Kuota sana maeneo ya mapori na ikiwa unaadamwa na njozi zinazoelezea vtu nilivyotaja hapo juu. Makala haya yataeleza mizimu yEnye asili ya pwani mali elimu tiba na tamaduni zao.       TUJIKUMBUSHE MIZIMU NI NINI Napenda kukirejea hili sababu naukizwa sana na watu huongopeana kuwa mizimu ni mababu na mabibi. Hapana Mizimu ni kikundi cha majini chenye tabia na asili moja walioungana na kii

ISHARA NA DALILI ZA MTU ANAYEAUMBULIWA NA KUKWAMISHWA KUFUNGWA NA MIZIMU

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU NIMEKUWA nikijitoa mara kadhaa kuweka maelezo yanayoelwza shida zinazowakabili. Na kinachonisukuma kuandaa hizi makala ni kuwasaidia lakini pia baada ya kuona naulizwa maswali mengi basi nikiona jambo naulizwa mara kwa mara sina budi kulitolea ufafanuzi. Lakini pia nawasisitiza hakuna. Tiba jambo au mafanyo unayoweza kujifanyia mwenyewe, hivyo mnaposhauriwafikebi kwa wataalam huwa na maana kubwa kwamba mkaangaliwe shida zenu lakinibpia myibiwe kulingana na vyanzo vya matatizo yenu. Makala haya yatajikita katika kueleza mambo gani yakiwa yanakutokea basi hutafsiriwa una shida za kimizimu. Hapa tufaham kuna watu koo zao zina mizimu yaani mizimu ya ukoo lakini pia familia pia nayo inayo mzimu yaan baba au mama alitunukiwa ijaza ya tiba na majini wenyewe lakini tatu kuna watu mnaenda kwa waganga wenye mizimu wanawaombea kisha mam