MIZIMU YENYE ASILI YA PWANI ELIMU, TIBA, MALI NA SHUGHULI ZAKE 'MAULIDI,ZIKRI'


MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUABDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA IFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU KUHUSU MIZIMU


HII ni makala ya tisa katika mfululizo wa makala zinazohusiana na mambo ya kimizimu. Nimezungumza sana huko nyuma mizimu ni nini ilipatikana vipi na kwanini ikukamate. Makala iliyopita ya nane nikieleza kuhusiana na Mizimu yenye asili ya Pwani nikaifafanua kwa kina. Ila makala haya yatazungumzia kuhusiana na Mizimu yenye asili ya Pwani.

Kwa ufupi miizmu yenye asili ya Bara nilieleza kuwa moja ya daliliza ke ni vibanda vya kinyamkera, kibuyu shanga kaniki pombe. Kuota sana maeneo ya mapori na ikiwa unaadamwa na njozi zinazoelezea vtu nilivyotaja hapo juu. Makala haya yataeleza mizimu yEnye asili ya pwani mali elimu tiba na tamaduni zao.

      TUJIKUMBUSHE MIZIMU NI NINI

Napenda kukirejea hili sababu naukizwa sana na watu huongopeana kuwa mizimu ni mababu na mabibi. Hapana Mizimu ni kikundi cha majini chenye tabia na asili moja walioungana na kiiundi fulani cha jamii ya binaadamu kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo yao. Hivyo usiongopewe kuwa Bibi yako ni Mizmu mtu ukifa na mambo yako yamekwisha amali ulizoacha ndizo zitakakusaidia. 

Sasa kwanini uota mababu na mabibi ukiuliza tafsiri ndipo unaambiwa mizimi. Sababu historia inaelezea wazee waliokuwepo zamani ndio walioingia maagano na hiyo mizimu hivyo huwa inakuja kwa sura za wwtu unaowafahm waliokufa iwe rahisi kujua kwamba kuna kiti babu au bibi alikuwa akifanya kinahitajika kuendelzwa. Hivyo ukiota babu au bibo haimaanisha kuwa yeye ndiyo Mzimu.

      ISHARA DALILI ZA MIZIMU YA PWANI

Kwanza ni watu wenye elimu sana ya dini hivyo ukiwa unaota unafundiswa quraan au yuwasoma au unafundihwa na wewe hujui jua ukoo wako una mizimu ya Pwani. Ikiwa unaota umevalia mavazi ya kanzu na kilemba cha kijani ama chekundu au blu bahar ila umevalia kanzu huashiria koo lako lina mizimu ya pwani.

Dalili za dhahiri ukiona bendera ya kija. Ina maandish au haina maandishi jua eneo hilo linalimikiwa na mizimu ya Pwani. Hii huwa inatokea kwa Masheikh wakubwa wanakuwa na hizi bendera. Ukienda swhem ukaona kumetengenezwa kinara chenye rangi ya kijani kinara mi kama jukwaa fulan ambalo linatengenzwa kwa mawe au matofari ukienda pahala kitiba ama kusoma ukaona ishara hyo jua kunasimamiwa na Mizimu ya Pwani.

Ukiona sehem kuna inara hicho kisha kukawa na ada ya kusomwa maulidi kila mwaka pawe na chuo pasiwe na chuo ujue ni dalili moja wapo kuwa mmiliki wa eneo hilo ana mizimu ya Pwanai. Kuna shughuli za dhikri kila mwaka watu kuvaa tasbiri ndefu sana shingoni.

 UZURI WA MIZIMU HII HIWA HAIEND HOVYO HOVYO LAZIMA MTU AWE MCHA MUNGU KWELIKWELI NDIPO USHUKIWA NA QARAMA HIZI. UKIFANIKIWA UNAWEZA KUWA MTU MWENYE NGUVU KIWEZA KUSAFIRI KWA UPEPO KUINGIA PAHALA KUTOONEKANA NA UNAKUWA NA ELIMU YA KUZUNGUMZA NA MAJINI UTAKAVYO AMBAPO NI TOFAUT NA BARA USIMAMAIA UCHAWI ZAIDI.

HII HATA KAMA HUNA KOO NA FAMILIA IKIWA NI MTU WA KARIBI AIDHA KUSOMA ELIMU ENEO HILO UNAWEZA KULETEWA MTU KUJUFUNDISHA USINGINI NA ELIMU IKAKUONDOA KATIKA UJINGA NA KUKUPA NGUVU.

HAPA NDIPO WANATOKA MAWALII NDIPO WANATOKA MASHARIF NDIPO WANATOKA WACHAMUNGU NK.

       MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

SIO KILA PANAPOPIGWA MAULIDI KILA MWAKA KUNA ISHARA HII LAHASHA. NIMEELZA IKIWA ITAONGOZANA NA DHIKIRI KUSHAMIRI MABENDERA YA KIJANI WATU WALIOVALIA VIOEMBA VYA KIJANI KWA WINGI UJUE NI MOJA YA ISHARA.

UNA SWALI KUHUSU MADA ULIZA UNA MAONI WEKA MAKALA IJAYO KUHUSU MIZIMU TUTALEZA MIZIMU YA KIZUNGU MAJINI WA POMBE MAJINI WA SIGARA NGUVU ZAO TAMADUNI ZAO NA NAMNA WANAVYOSHABIIANA.

una shida binafsi mapenz kazi biahara mapenz nguvu za kiume uzazi majini mahaba bawasiri ukimwi nk

+255621442936

Kwa mnaotuma ujumbe jitahd kuweka maelezo yakutosha jina pahala ulipo na shida husika

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI