MIZIMU INA NAFASI GANI KATIKA MAFANIKIO YA MTU, NA JE MIZIMU INAWEZA KUKUFUNGIA MAFANIKIO YAKO KATIKA MAISHA ?


MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU

MARA kadhaa nmekuwa nikitolea ufafanuzi kuhusiana na masuala ya mizimu kama ni mfuatiliaji wa ukurasa huu basi sasa utakuwa una uelewa mpana kuhusiana na haya mambo ya mizimu. Nimekuwa nikiylizwa maswali mengi sana kila ninapotoa makala kuhusu mizimu ina nafasi gani katika maisha ya mwanadamu na je mizimu yaweza mnufaisha mtu ama kumuharibia maisha. Na je historia ya hio mizimu imetokana na nini. Eapo wanaoniuliza mizimu ndio wale mababu waliokufa ndio tunaowaomba. Sasa nilishafafanua vitu vingi sana makala zilizopita hapa nitaeleza walau kwa ufupi ili ninapoingia kwenye kiini cha mada ujue nizungumzia nini.

     MIZIMU YA UKOO WENU ILOSABABISWA NINI

Hapa unaweza kuuliza chanzo cha mizimu ya ukoo ni nini. Nimeelza mara nyingi kiwa mizimu ni Muunganiko wa Majini wenye tabia na koo zinazofanana  waliojiumda kwenye kikundi kimoja kwa ajili ya kuungana na kikundi fulani cha wanaadamu kwa ajili ya kusaidiana. Hapo awali wazee walikuwa wakiomba mizimu iwasaidie kwwnye shughuli zao kama za kilimo ufugani uwindaji biashara nk. Na makubaliano hayo yaliwekwa kwa malipo maalum kwamba mizimu ifanye kwa upande wao kisha wanaadamu wawalipe kwa kiwafanyia shughuli na kuwapa sadaka ambayo huitwa matambiko. Sasa kila koo liliingia makubaliano na mizimu ambayo walikubaliana. Watu wanaoishi Pwani wao walipata majini kutoka Baharini watu wanaoishi Maziwani na Mitoni wao waliwapata Majini wanaotoka Ziwani na Mitoni watu wanaoishi Maporin walipata majini wenye asili ya Pori.

Hiii ni Afrika nzima na duniani kila mmoja anayo asili yake ambayo ni chimbuko la wazee waukoo wao. Na hili huwemda likirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi ndipo tunapata kuona watu wakirithi mikoba.
SIO KILA MZIMU WA UGANGA UFAHAMU HILO KUNA MIZIMU YA UGUGAJI KUNA MIZIMU YA UVUVI KUNA MIZIMU YA BIAHSRA NK. HUTEGEMEA ASILI YAKO ILIINGIA MAKUBALIANO NA MIZIMU YENYE TABIA GANI NA NDIO MAANA UNASHAURIWA ILI UPATE MAENDELEO LAZIMA UJUE MIZIMU YAKO ASILI YAKE NI IPI UFUATE ASILI KWA KUFANYA KAZI AMBAYO WAO NDIO SHUGHULI YAO KISHWA UNAWAPA WANAISIMAMIA. UTAKUWA UKITO SADAKA KILA MWAKA KISHA UTAONA MABADILIKO YAKE USIONE WAKOJANI WANAOENDA KUVUA WANAFANIKIWA. USIONE KINA MANGI WANAMADUKA WANATOBOA HAO KILA MWAKA KUNA SHUGHULI ZAO WANAFANYA

  MIZIMU INA NAFASI GANI KATIKA MAFANIKIO YA BINAADAM

Nimeeleza hapo juu kuwa kila mizimu ilikuwa na tabia yake wakati wanaingia maagano. Hivyo basi ukienda kinyume na shughuli ambayo haiendan na mizimu ya kwenu kufanikiwa inakiwa ngumu. Jambo la pili ikiwa kwenu kuna mizimu na wewe umezaliwa ikakufahamu kuwa wewe ni miongoni mwa watu waliokabidhiwa kama hutafuata asili za kwenu bimaana kwenda kwenye zile shughuli mara kwa mara hakuna utakachofanya kikafanikiwa utaishia kuoshi maisha ya kawaida tu.

Kuna watu mtaniuliza nyota yangu inanitaka nifanye shughuli fulan kisha mizimu inataka nifanye shughuli fulani nitafanyaje. Kikubwa ni kwenda kwenye mizimu kupata ufafanuzi jambo lipi hapo uende nalo ili walitilie nguvu hapa naamanisha wale wanaotaka mafanikio. Kama hutaki kufanikiwa chagua shughuli yoyote yakufanya. 

WATU WENGI WANAZUNGUKA NA KUMALIZA WAGANGA WANAOSHWA KILA LEO KUMBE WANASAHAU ASILI ZAO. WAPO WAFANYA BIASHARA WANABADILISHA WAGANGA KUMBE HAJAKABIDHI BISHARA ZAO KWA MIZIMU YA KWAO. KAMA TAYAR UNA SHUGHULI YAKO NA ISHAKUPA MUONGOZO SI LAZIMA KUIACHA NENDA KWENYE MIZIMU YENU WAKABIDHI WAITAMBUE. NIELEWA KAMA UNATAKA MAFANIKIO TAFUTA MTAALAM WA MASUALA YA MIZIMU AKUANGALIE MIZIMU YENU INA NGUVU UKIFANYA JAMBO GANI KISHA TAFUTENI MAHITAJI ANZA TAMBIKO KISHA FANYA SHUGHULI ZA KUVUTA MALI KWA HYO SHUGHULI ULIYOAMBIWA.

   VIPI MIZIMU INAWEZA KUFUNGA MAFANIO YAKO

mizimu inaweza kufunga mafanikio yako kwa namna tatu kubwa. Moja kama ulikwenda kuomba usaidizi mkaingia makubaliano maana hyo itakuwa ni baina yako na mizimu na sio ukop hivyo utakuwa na shughuli yako binafs ikiwa hutaifanya basi watafunga kile walichokupa. Pili kama wewe ni mtu wa ukoo wenu na ukadharau kwenda kwenye shughuli basi pia wana uwezo wa kukufunga mambo yako hata shilingi mia usiione. Jambo la tatu kama mtakuwa mmessahau kufanya shughuli zenu za matambiko basi uwezo wa familia au ukoo mzima kupata dhiki upo. Jambo la mwisho kwa wale waliochaguliwa kusimamia mizinu aidha kuwa mganga au kuiangalia kisha ukapuuza hakuna jambo utakalolifanya likamea hata uende wap mpaka upate wataalam wakushughulikie.

     MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

MIZIMU SIO MABABU WA MABIBI MIZIMU BI MAJINI WALIONGIA MAAGANO NA WAZEE WAKO. UKIOTA NDOTO BABU AU BIBI KAKUJIA NDOTON NI ILE MIZIMU INAVAA SURA ZA WATU UNAOWAJUA ILI WAKUFIKISHIE UJUMBE KIWEPES. KAMA JINI AKIAMUA KUJA KWA SURA YAKE UNAWEZA USIELEWE KIPI KINAMAANISHWA UFANYE HIVYO HUJA KWA SURA ZA MABIBI NA MABABU ZAKO.

MIZIMU INAWEZA KUKUGUNGA USIFANIKIWE USIOE, USIOLEWE USIZAE INAWEZA KUKIGANYA MASIKINI INAWEZA KUKUFANYA TAJIRI. ZINGATIA ASILI YA KWENUE INA NGUVU SANA KATIKA MAFANIKIO YAKO. ILI UFANIKIWE YATAKIWA FALME YAKO ISIMAME ILI FALME ISIMAME NYOTA NA MAMBO YA ASILI YATAKUWA YAWE JUU. HIVYO NASISITIZA KAMA UNATAKA MAFANIKIO YASIYOHITAJI MAKAFARA YA DAMU ZA WATU DILI NA MIZIMU YA KWENU ANGALIWA INA NGUVU KWWNYE SHUGHULI GANI FUATA MUONGOZO WA MTAALAM

MASWALI ULIZA HAPO CHINI 

una shida yoyote ya mapenz nyota biahsra kazi kukuza dhakar pete ya bahati uzazi ukimwi sukar presha nk

+255621442936

Kwa mnaotuma ujumbe weka maelezo ya kitosha jina lako pahala ulipo na shida yako iwe rahisi kukujib

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI