ISHARA NA DALILI ZA MTU ANAYEAUMBULIWA NA KUKWAMISHWA KUFUNGWA NA MIZIMU


MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA ASILI NA TIBA JITAHIDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU


NIMEKUWA nikijitoa mara kadhaa kuweka maelezo yanayoelwza shida zinazowakabili. Na kinachonisukuma kuandaa hizi makala ni kuwasaidia lakini pia baada ya kuona naulizwa maswali mengi basi nikiona jambo naulizwa mara kwa mara sina budi kulitolea ufafanuzi. Lakini pia nawasisitiza hakuna. Tiba jambo au mafanyo unayoweza kujifanyia mwenyewe, hivyo mnaposhauriwafikebi kwa wataalam huwa na maana kubwa kwamba mkaangaliwe shida zenu lakinibpia myibiwe kulingana na vyanzo vya matatizo yenu.

Makala haya yatajikita katika kueleza mambo gani yakiwa yanakutokea basi hutafsiriwa una shida za kimizimu. Hapa tufaham kuna watu koo zao zina mizimu yaani mizimu ya ukoo lakini pia familia pia nayo inayo mzimu yaan baba au mama alitunukiwa ijaza ya tiba na majini wenyewe lakini tatu kuna watu mnaenda kwa waganga wenye mizimu wanawaombea kisha mambo yanawafungukia kisha hamrudi kulipa mlivhoahidi pia mizimu huwafunga. Sasa hapa itategemea na mizimu gani iliyokufunga.

Unaweza ukawa umefungwa na mizimu ya mganga fulan ila wewe ukaenda kutambika nyumbani kwenu hicho kifungo gakiwezi kutoka mpaka urejee ulipoenda au upate mtatuzi adili na asili za hyo mizimu ulipoenda. Hivyo pia unaweza ukawa umefungwa na mikoba ya familia ila wewe ukaenda kwenye ukoo hivyo pia hakuna jambo linaweza kutengemaa. Pia unaweza kuingia kwenye mizimu ya watu ukaikasirisha ikakufunga hapa ni pale mnapoleta michezo kwenda vilingr vya watu kuweka ahad nitakuja kesho kuwapigia wataalam sim wa mizim baadae ntakutafuta kisha ukadharau yaan lengo lako lilikiwa kukejel huyo mtu basi kama huyo mganga ni mtu wa nongwa basi unaweza kugungwa bila kukijua chakukushaur usiende vilinge vya watu ikiwa huna shida usipigie watu sim kuwakejeli.

       DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA MIZIMU

Kwanza kwa wale walioenda kwa waganga kuweka nia kwanza kile ulichokipata huwa kinaondoka na hata ulichokuwa nacho kabla pia kinaondoka. Na utaandamwa na mikwamo hali ngumu kwenye matafutaji yako na hii hata ukitibiwa kwa watu wa kawaida utakuwa unapoteza muda mpaka wadili na hilo fungo la kimizimu. Unaweza kuabdamwa na ndoto za sehemu au vitu ulivyokuwa ukimilik kama vinarud tena na unaadamwa na furaha.

Mara nyingi utaota mambo ya ajabu ajabu kuadhibiwa, kuwaona watu wanamiliki vitu half wanakucheka yaan vile ulivyokuwa unamiliki mfanano wake. Unaweza kuwa na hali ya kupambana lakini hupati kitu unachokihitaji. Huishia kuwa tegemezi kwa watu ambao ulkuwa unawasaidia na hukutenga pia. Hili huwakumba sana watu wanaodharau kurud wakifanikiwa ama kuchelewesha walichoahidi ama mtaalam wanaemtegemea kugombana nae ama kufariki pasina kuwekeana sawa.

Kwa watu wanaosumbuliwa na mizimu bimaana mambo ya kifamilia ama koo kwanza utaandamwa na ndoto za kurudi kijini kwenu. Huambatana na ndoto za shule mara kwa mara, kuota maeneo uliowahi kuishi wakati wa utoto au zamani sana. Ndoto za kuwa na Ngombe aidha kuwaona kuchunga kiwa pamoja nao. Kuota mavazi ya asili sana kwa sana na mikusanyiko ya watu wa ukoo wenu.

Pia hukujia sura za watu ambao walikuwa watibabu au viongozi wa mizimu wakati wa uhai wao. Dalili za kawaida utaona mambo yako hayaend hata uende kwa waganga bado utaoshwa mwili lakini mambo hayaendi. Jambo la muhimu ni kushughulikia kwanza mambi ya asili ya kwenu ndipo ufuate jambo jingine.

Watu ambao wanatakiwa kusimamia mizimu wao ndio huoteshwa mambo ya kifalme falme vitu vya kungarangara mambo ya mabakora ngozi za wanyama kuoneshwa madawa usingizini. Ila wataandamwa sana na hali mbaya unaweza kuwa kichaa ama kuugua sana unaweza kuacha kazi nzuri inayokuingizia pesa bila sababu ya msingi. Unaweza kujitenga kukaa karibu na watu ukiwaona nduguzo yuwaona kama umeona adui anayetaka kukudhuru.

     MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

IKIWA KATIKA MATEMBEZI YAKO UNEONA SEHEM KUNA PANGO AMA VITU VINAVYOASHIRIA KUNA ISHARA YOYOTE YA WATU KUWA WANAFANYA SHUGHULI ZAO ZA KIMILA JITAHIDI USIKATISHE HATA KAMA HAKUNA WATU UNAWEZA KUKANYAGA VITU USIVYOVIONA KISHA VIAKULETEA SHIDA.

USIPENDE KUBISHANA AMA KUJARIBU WATU WA TIBA MAANA WENGINE ELMU ZAO ZINASIMAMIWA NA MIZIM HIVYO UKILETA DHARAU UNAWEZA KUJIKUTA UNAINGIA PABAYA. JITAHIDI UISENDE VILINGE VYA WATU KAMA UNA SHIDA YAAN KWENDA KUTEST SABABU NIA YAKO WATAIONA NA WAO WATAKUTEST VILE VILE.

UNAPOWEKA AHADI WAKATI WAKUSHUGHULIKIWA UTAKAPOFANIKIWA JITAHDI KUITIMIZA KABLA MAMBO HAYAJAKUHARIBIKA NA KUSABABISHWIWA VIFUNGO VIKALI VYA KIMIZIMU. MIZIMU INAWEZA KUUA BIAHSRA INAWEZA KUUNGUZA GARI INAWEZA KUZAMISHA JAHAZ INAWEZA KUKUFABYA USIOE USIOLEWE INAWEZA KUKUFANYA USIZAE INAWEZA KUKUFANYA UKAWA TAHIRA NK HIVYO DHARAU SIO NJEMA.

una shida yoyote ya kibiashara mapenz kazi nguvu za kiume mizimu kukuza dhakar uzazi nk

+255621442936

Nasisitiza kwa wanaotuma ujume acha dharau kama una shida andika jina lako pahala ulpo na shida husika

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI