Posts

Showing posts from June, 2018

BIMBILISA MAVI ANAVYOTUMIKA KUMUADHIBU MWIZI, KURUDISHA KILICHOIBIWA NA KUPEPERUSHA WATU

Image
DAWA YA MWIZI AU MTU ALIYEKUZULUMU HII ni kwa wale walioibiwa jinsi ya kurudisha ktu chako na kuadhibu mwizi haraka mahitaji UNGA WA MAJAN YA MBAAZ KITAMBAA CHEUPE BIMBILISA MAVI NA MZIGO WAKE MRINGARINGA MCHANGA WA ENEO LILILOIBIWA MAANDALIZI SAGA VTU VYOTE UPATE UNGA WAKE uweke juu ya kitambaa  kisha nuia unachotaka kwa mwizi wako Mfano kaiba kuku basi awikie tumboni kama simu iitie tumboni kama hela basi asikie chenchi tumbon n.k. kisha ukimaliza kunuia vifunge pamoja kavining'inize panapowashwa moto kila siku NDANI YA CK SABA UTAPATA MAJIBU KWA KILE ULICHOKIKUSUDIA Atakapokuja kumuopoa kwake fungua kisha mwaga kila kitu Ucfanye kwa kuonea watu na huyu bimbilisa mavi anaweza kutumika kusafirisha mtu asirudi tena Mdudu huyu pia waweza mchoma n mzigo wake unga wake hutumika kutibu vidonda sugu visivyopona unapaka. KUMUHAMISHA AU KUMPEPERUSHA ADUI KAMA una uadui na mtu labda amekutendea uovu, amekudhulumu amekuchukulia chako fuata taratb zfuatazo Chukua nyayo za

TIBA YA KUMALIZA VINYWELEO VINYOLEO 'MALAIKA' NA NDEVU KWA WANAWAKE

Image
JINSI YA KUTOA VINYWELEO KWA WANAWAKE   HABARI za muda huu mpenzi mfuatiliaji wa makala zetu kupitia webiste ya hii ama page ya mtabibu Asili tz kule facebook na instagram. Leo nawapa njia ya kumaliza vinyweleo usoni na miguuni. kwa wanawake kwanza mwanamke kuwa na vnyweleo husababisha na hommon inballance, Wakat mwingine husababishwa na utumiaji wa vipodozi vikali ambavyo vnapelekea mwanamke kuvurugika hommon zake na kupata muonekeno wa kiume.   Lakn pia si tatizo kubwa sana maana wapo watu wanapendeza zaid wakiwa vinyweleo. KUna baadh ya wanaume hujckia raha wakkutana na mwanamke mwenye vinyweleo ila inapozidi huwa kero sasa leo tufahamu njia za kumaliza  VINYWELEO VYA USONI MAHITAJI  MAANDALIZI  Vitu vinavyohitahika ni Uwatu na kunde kavu ( uwatu unapatikana maduka ya dawa za asili kunde ni masokoni) chemsha kunde na uwatu kipimo cha kiganja chako ikishachemka iache ipoe weka kwwnye bakuli ponda ponda ongeza vjko vtatu vya assli hakikisha kunde unazichambua maganda kabla ya kuche

FAHAMU NJIA ASILI ZA UZAZI WA MPANGO ZISIZO MADHARA

Image
UZAZI WA MPANGO KWA NJIA RAHISI ZA ASILI     BAADA YA KUFAHAMU MADHARA YATOKANAYO NA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO WA KISASA SASA TUANGALIE NJIA ASILI ZA KUJIKINGA NA KUPANGA UZAZI PASIPO MADHARA. NJIA HIZI NI SALAMA NA HAZINA MADHARA YOYOTE KWENYE MJI WW UZAZI WA MWANAMKE JITAHDI KUSOMA VIZURI NA KWA UMAKINI MAELEZO YALIYOWEKWA.       Awali ya yote kwanza tujue tofauti kati ya dawa za asili na za kisasa katika kupanga uzazi. Anayetumia njia za sasa asilimia kubwa hazioni ck zake hvyo humpelekea damu ya hedhi kubaki ndani na kuwa kama uchafu ambao baadae huweza kusababisha madhara makubwa.      Madhara anayoweza kuyapata mtu huyu in pamoja na kuziba mirija ya uzazi, kupata uvimbe kwenye mji wa uzazi pamoja na madhara mengine ambayo tumeyazungumza kwwnye makala yakwanza iliyopita. Kama umeikosa hujachelewa waweza itafuta.      Anayetumia njia za asili huweza kuziona siku zake hvyo uchafu hutoka kila mwezi hvyo mirija na mji wa uzazi hubaki salama kabisa. Japo zipo baadhi ya dawa z

MADHARA YA KUTUMIA NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZA KISASA NA MATATIZO YAKE

Image
KWA KAWAIDA KABISA KUNA MADHARA MENGI YANAYOTOKANA NA NJIA YA UZAZI WA MPANGO MWANAMKE ANAWEZA AKAPATA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUJA KUMSABABISHIA MAMBO MAKUBWA KAMA KUTOSHIKA UJAUZITO KABISA AU KUZAA KWA OPARESHENI. NA PIA NYONGA HUWEZAKUGEUKA NA KUWA ZA KIUME. KITENDO CHA DAMU YA HEDHI KUBAKI NDANI YA TUMBO HUWEZA KUSABABISHA UCHAFU AMBAO UNAWEZA UKASABABISHA UVIMBE TUMBONI. zamani wazee wetu walikuwa wakitumia za asili ambazo ziliwapa matokeo mazur bila madhara yoyote yake. KUna njia nyingi za kisasa za uzazi wa mpango zenye madhara makubwa kwa mtumiaji. Zifuatazo ni baadhi na madhara yake. MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA   Kuna madhara mengi makubwq sana ila fahamu kwa uchahe kuwa kuna usumbufu hedhi, Kuumwa kichwa mara mara Kizungu zungu Kichefu chefu Kuongezeka uzito usiokuwa na faida. MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA Huathiri fuko la uzazi kwa ndan, Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga, Kuumwa kichwa mara mara. Kupata kichefu che

FAIDA ZA MTI NA MAJANI YA MKUNAZI KATIKA TIBA ASILI

FAHAMU KUHUSU MMEA WA MKUNAZI MTI huu hupatikana sana ukanda wa pwani hasa Zanzibar pwani yenyewe na Tanga. Karbu katka mfululizo wa makala zetu zinazohusiana na mimea km ulipitwa tembelea wall yangu au pitia www.tabibuasili.blogspot.com. Mti huu ni mujarabu kwa mapenzi kutoa sihiri, kujikinga na wachawi, nguvu za kiume, pressha sukari hakika ukiwa na mti huu basi una kliniki nyumbani. Hapa ntazungumzia faida za majani, unga na magome ukihitaji masomo zaidi ntatoa group la whatsap namna ya kutumia Mafuta yake sambamba na mambo meninge. Mti huu ukichukua mzizi wake ukachemsha ukanywa kwa manuiz yoyote utajayemwendea shda yako atakusikiliza. Na Wale wagumu kutoa pesa unga wake unahusika Kutoa sihiri mwilini Wake wanaoota wanakmbizwa wanakabwa wanakula Chukua unga wa mkunazi Tia kwenye chai tumia kwa ck 3 Kla ck weka mpya KIFUA SUGU Chukua majani ya mkunaz chemsha pamoja na ndimu kisha unywe kwa siku 14 utapona, kila ck tengeneza mpya Hii haihusian na tb wala pumu KUDHIBITI WAC

KUSAFISHA NYOTA, MVUTO WA BISHARA KWA KUTUMIA MUOSHA FEDHA

Image
FAHAMU KUHUSU MMEA WA MUOSHA FEDHA Muosha fedha unaingia kwenye orodha ya mimea saba ambayo inafanya kazi kubwa katika hitaji binaadam. Mti huu huweza kungarisha nyota, kuvuta watu biashara pamoja na mambo mengine.mwingine Miongoni mwa miti saba ambayo inafanana kikazi na muosha fedha ni pamoja na mwita, mfunguo, muharaka miti mitatu naihifadh. Miti Hii km utaiweka pamoja inaweza kukupa matokeo haraka kwwnye kazi iliyokusudiwa. Itategemea na kusudio lako nia na mafanyo uliyopatiwa na mtaalam wako.            NAMNA INAVYOTUMIKA KWA TIBA Hapa kwqnza lazima ufahamu kila jambo linatibiwa kulingana na chanzo chake. Ikiwa ni mikwamo ya biahsra, mambo yako binafsi hayaend, masuala ya kazi, masuala ya kimapenz iwe kesi ni shart kwanza uangaliwe shida ni nn ifanyiwe kazi kisha ndipo mambo mengine yanafuata maelezo nitakayoyaweka hapa chini yatakusaidia kwa muda ikiwa hujashughulikiwa tatzo. Ila kama utashughulikiwa tatzo lako kisha ukafuata maelezo haya itakuwa umejinasua pale u

FAHAMU FAIDA ZA MMEA WA NANAA

Image
FAIDA ZA MIMEA SEHEM 3 FAHAMU KUHUSU MMEA WA NANAA Hii ni muendelezo wa makala zinazohusiana na faida za mimea asili inayotuzunguka. Makala zilzopita tulizungumzia kuhusu mtura au mnyanya pori wengine huita ndulele na makala ya pl ilihusiana na mmea uitwao mvumbasi kama ulipitwa tembelea wall yangu au waweza jiunga group la whatsap kwa kufuata 0717053804. Nanaa ni miongoni mwa miti midogo ambayo ina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. kwa maradhi na pia kupendenezesha mwili pia kinga ni bora kulko tiba. Nanaa ipo katika mfumo wa aina tatu tofauti km ifuatavyo nanaaa ya majani [ kavu na mbichi] Mafuta ya nanaa unga wa nanaa mafuta yapo ya njia ya mgando na kimininika. Faida ya mti huo ni kma ifuatavyo hapo chini. Majani ya mnanaa ambayo hutumiwa kama kiungo. Nanaa husaidia katika kuzuia hali ya mwako wa moto tumboni, kupunguza kichefuchefu, kuzuia kutapika na kuharisha. Pia huweza kupunguza maumivu ya tumbo na mkakamao wa misuli. Vilevile nanaa husaidia katika uyeyushwaji wa

FAHAMU KUHUSU FAIDA NA MADHARA YA SHABU

Image
FAIDA NA MADHARA YA MATUMIZI YA SHABU ASILIMIA KUBWA ya wanawake wanaofanya biashara ya miili Yao hutumia shabu ili kurejesha ule utamu, kubana au mnato wa uke pasipokujua madhara yake. Sasa ukitumia shabu ni kweli uke wako utabana na utakuwa mnato kwa muda lakini Baadae utakubwa na madhara makubwa mnomno. Wengi wanapenda kurudisha usichana bikra kwa vtu visivyokuwa salama na Baadae hupata madhara makubwa mno kama tutakavuoona kupitia makala Hii. Madhara yake ni makubwa kuliko faida ambayo utaipata kwa muda mfupi *Madhara yake n km ifuatavyo *Uke kulegea na kujaa maji *Kukosa ladha yaan utamu hupotea kutokana na utepe *Kwenye mashavu ya uke huweza kutoa vibuja * harufu mbaya ukeni * wakati mwingine huweza kusababisha fangasi na kushambulia mji wa uzazi Maana yake unaweza ukawa na uzazi wa shida mbele ya safari. Ushauri kwa wadada msiozaa uckubali kutumia njia za uzazi hzo za kisasa c salama pia usipende kutumia viunga uke. Pia c kla ukisikia ktu Hk dawa wakitumia fanya uchingizi