DAWA ZA WATOTO TIBA YA MTOTO ANAYELIA USIKU
DAWA ZA WATOTO TIBA YA MTOTO ANAYELIA USIKU MARA nyingi watoto hulia usiku kutokana na sababu kadhaa, hapa nawaongelea watoto wa changa. Sababu za watoto kulia kupigiliza maana kunabkulia kawaida na kulia kupitiliza, mtoto asipolia kabisa pia ni tatizo na akilia kupitiliza pia ni tatizo. Sababu za mtoto kulia kwanza hutokana na njaa hivyo ukimpa nyonyo hunyamaza, pili ni hofu na mara nyingi mtoto mwenye hofu akilia ukimpa nyonyo unyonya kidogo kisha huacha pale anakua amepata faraja. Lakini wakat mwingine huhitaji uwepo wa mzazi wake hivyo hulia akihisi yumpweke anapopakatwa hunyamaza. Lakini pia kuna sababu za watu wa baya ambao huja usiku kwa kuwa mtoto ana uwezo wa kuona huwa wanamtisha hivyo hulia na hanyamazi hata umpe nini, kingine mzazi anaweza akawa na jini baya pia laweza mtisha mtoto usiku asilale akawa analia kingine nyumba yaweza ikawa si nzuri mnayoishi na sababu nyingine nyingi. Ili asiwe analia Chukua halititi,ambali,miat sail na karful mait chanaganya pamoja tia kweny