Posts

Showing posts from February, 2022

NDOTO ZINAZOHUSIANA NA FUNZA KUOZA TAFSIRI NA HATUA ZA KUCHUKUA

Image
KABLA ya kuanza darasa hili napenda kutoa muongozo nimekuwa nikiuweka mara kwa mara hapa. Maswalu yote ya ndoto nayajibu hapa bure kabisa ukiona umesoma post ikaandikwa maswali ya ndoto uliza hapa chini, basi ukiuliza utajibiwa. Wanaohitaji kutafsiriwa private inbox aidha kwa kuona haya kuuliza hapa ama yuwaona mambo yako ni ya siri nmeweka pia utaratibu utalipia utatsfiriwa hivyo huwa sijib mesej za ndoto ila kwa wanaolipia maana nmetoa fursa hapa. Pia kama umempatia mtu namba yangu ana shida za kindoto basi mtosheleze kwanza kuhusu utaratibu au muelekeze aje hapa aulize ni bure. Darasa la leo litahusiana na kuwaona funza ama vitu vilivyooza kwwnye ndoto. Ili kitu kitoe funza lazima kiwe kimeoza na ili kioze lazima kiwe kimekufa hivyo vitu vinavyotawaliwa na funza mara nyingi huwa vimekufa na kuoza. Hivyo kwa asilimia kubwa funza ndotonk huashiria kufa kwa kitu, ama maradhi yaweza kuwa kuondoka ama kuingia. Pia huashiria mashambulizi ya nafsi inayohusiana na mambo ya sihir

TIBA YA HEDHI ISIYOKATA. HEDHI ISIYOKOMA SABABU NA TIBA YAKE

Image
SHIDA, MARADHI YA HEDHI ISIYOKOMA 'ISIYOKATA' KILA mwanamke aliyefikua baleghe yampasa kumpaka hedhi mara moja kwa kwa mwezi. Ndio wajibu na ndio mfumo wa afya ya uzazi ulivyo. Wapo wanenda mara mbili ndnai ya mwez mmoja ila unachotakiwa ni kuzijua siku zako za kwenda hedhi wakati mwingine huo mwez utakuta na mkubwa bimaana unas iku nyingi kuliko mzunguko wako wa hedhi. Wapo mizunguko yao siku 25 wapo wengine 23 wapo wengine 27 nk. Mfano huyu mwenye mzunguko wa siku 23 halaf ikwa hedhi yake anakwenda siku tatu tu anakata. Ikitoke kaanza kupata hedhi tarehe moja mwezi kimahesab atamaliza tarehe tatu ya mwez ukijumlisha mzunguko wake ambao ni siku 23 basi unapata siku 26 huyu ana weza akaenda hhedhi mara mbili ndanu ya mwez ila mzunguko wake upo vile vile haujaharibika ni wala si tatizo. Hii huwatokea sana waliotoka kuzaa halaf hawaon hedhi labda miez saba nane mwaka wengine mpaka mtoto atembee wakija kuanza kupata hedhi huwasumbua na ratiba hubadilika huwa si ile ya awali. Huo n

ASILI, TABIA NA MZUNGUKO WA MAPENZI KINYOTA

Image
NIKIZUNGUMZIA NYOTA ZINAZOENDANA HIVI KARIBUNI. NIMEGUNGUA WENGI WENU HAMPENDI KUSOMA WALA MKISOMA MNAYAACHA HAPOHAPO UNAMKUTA MTU KILA SIKU AULIZA SWALI LILE LILE AMBALO USHALIJIBU. KWA KUKUONGOZEA MAARIFA KILA NYOTA INA ASILI YAKE KATIKA MAPENZI YAANI INA MTU AMBAYE AENDANA NAE. KUNA KUNDI LINALOENDANA HALAFU KUNA MTU AMBAYE AENDANA NAE YAAN KUNA NYITA ZIKIKUTANA HASAA NDIO MAFANIKIO HUWA MAKUBWA ZAIDI. KATIKA ILE MAKALA NIMEELZA KILA MTU ANA MTU WAKE WA NYOTA INAYOENDANA MTAFUTE HUYO IKIWA UNA MTU WA KUNDI LINALOENDANA BASI ITAKUWA NAFUU ILA MAFANIKIO YALE MAKUBWA HUTAYAFIKIA. HIVYO KAMA UNA MTU HAUENDANI NAE YAHITAJIKA MAMBO YA KITAALAM KUFANYIKA NA SI LAZIMA MM NDIO NISHUGHULIKIE MAANA KILA MTU ANA IMANI YAKE HIVYO WAWEZA FIKA KWA WATAALAM WA NYOTA WALIO KARIBU NAWE WAKASHUGHULIKIA UKIHITAJI MSAADA WANGU NAMBA ZIPO MWISHO WA MAKALA. MAELZO HAPA CHINI YANAHUSIANA NA TABIA ASILI ZA KILA NYOTA NA NINI CHA KUFANYA.             WATU WA NYOTA YA PUNDA Wana sifa y

DAWA ASILI ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI

Image
BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.   Wapo watu wanatumia gharama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.     Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo. Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko   1.MTINDI.  Kwa wenye Madoa usoni tafuta.                           mtindi safi fanyia masaji kwa.                               dakika 15 hadi nusu SAA kisha.                           ukimaliza OSHA na maji vuguvugu                    Fanya hvyo kwa majuma kadhaa.                         utapata mabadiliko. 2.JUISI YA LIMAO  Kwa madoa ya mwilini.