DAWA ASILI ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI
BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.
Wapo watu wanatumia gharama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.
Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo.
Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko
1.MTINDI. Kwa wenye Madoa usoni tafuta. mtindi safi fanyia masaji kwa. dakika 15 hadi nusu SAA kisha. ukimaliza OSHA na maji vuguvugu
Fanya hvyo kwa majuma kadhaa. utapata mabadiliko.
2.JUISI YA LIMAO Kwa madoa ya mwilini. pakaa juis ya limao kwa. kutumia pamba chovya. pamba pakaa kwenye DOA. acha kwa dkka Kumi OSHA. na maji vuguvugu
Usitumie hii ukiwa umetoka kunyoa
3. MSHUBIRI -Unaweza ukatafuta losheni. asili. zilizoandaliwa na. mshubiri ukikosa tumia. utomvu wenyewe kwa kupaka. sehemu zenye Michirzi
4. VIAZI ULAYA > ponda viazi ulivyochemsha. weka na juisi ya limao kisha. pakaa kwa dkka 10 osha na. maji vuguvugu.
Dumu hvyo kwa majuma kadhaa utapata matokeo.
5. ROSE WATER/ SANDALWOOD
Hii haitakutoa Madoa tu km utaitumia vzuri inaweza ikakupa muonekano mzuri kwani inalainisha ngozi na kuipa muonekano mzuri
Loshen nyingi za asili hutumia vtu HV kutengeneza.
Chukua matone Kumi ya rosewater na kjko kmoja cha sandalwood kwenye bakuli changanya paka mwilini
Fanya Mara TATU kwa ck kwa WK kadhaa km unahtaj kuyafanya yawe mafuta yako dumu nayo kila unapotoka kuoga na kulala
Km hvjui HV vtu angalia pichani
Vitu vilivyotajwa vinapatikana maduka ya dawa asili popote ulipo
Kupata dawa zilizo tayari 0621442936
Kwa matatzo mengine pia unaweza ukatumia namba hyo.
Kwa wale walioungua uson na malosheni yenye kemikali fanya hvyo utarud km zamani
Comments
Post a Comment