NDOTO ZINAZOHUSIANA NA FUNZA KUOZA TAFSIRI NA HATUA ZA KUCHUKUA



KABLA ya kuanza darasa hili napenda kutoa muongozo nimekuwa nikiuweka mara kwa mara hapa. Maswalu yote ya ndoto nayajibu hapa bure kabisa ukiona umesoma post ikaandikwa maswali ya ndoto uliza hapa chini, basi ukiuliza utajibiwa. Wanaohitaji kutafsiriwa private inbox aidha kwa kuona haya kuuliza hapa ama yuwaona mambo yako ni ya siri nmeweka pia utaratibu utalipia utatsfiriwa hivyo huwa sijib mesej za ndoto ila kwa wanaolipia maana nmetoa fursa hapa. Pia kama umempatia mtu namba yangu ana shida za kindoto basi mtosheleze kwanza kuhusu utaratibu au muelekeze aje hapa aulize ni bure.


Darasa la leo litahusiana na kuwaona funza ama vitu vilivyooza kwwnye ndoto. Ili kitu kitoe funza lazima kiwe kimeoza na ili kioze lazima kiwe kimekufa hivyo vitu vinavyotawaliwa na funza mara nyingi huwa vimekufa na kuoza. Hivyo kwa asilimia kubwa funza ndotonk huashiria kufa kwa kitu, ama maradhi yaweza kuwa kuondoka ama kuingia. Pia huashiria mashambulizi ya nafsi inayohusiana na mambo ya sihiri iliyokaa muda mrefu mwilini hivyo jitahd kusoma kwa umakini mpaka mwisho.

Ikiwa mtu ataota anatokwa na funza mwilini, kama aliyeota ni mgonjwa ni ishara ya kupona kwake ama ishara ya kutoa mazito kwwnye mwili wake. Ikiwa aliyeota si mgonjwa inaashiria kuushinda mtihani ila ni lazima atatoa kitu ili apate kitu. Ikiwa mtu ataota anaingiliwa na funza mwilini mwake basi ni ishara ya kuingia mitihani ya kuumwa ama kuishiwa jambo la msaada na ataoatwa na jambo la kumto akili aidha maradhi, kifungo ama kupalalaizi.

Ikiwa ataoa ameoza mwili kisha funza wamemtawala ishara kutengwa na watu kimsaada. Pia unaweza kuandamwa na hali ngumu ya kimaisha itakayokufanya kujitenga pekeyako. Ikiwa mgonjwa ataota anatembelewa na funza ishara ya ugonjwa wake kumtesa zaidi na huwenda ikawa sababu ya kuondoka kwake duniani kama hatashughulikiwa.

Mwanamke akiota anaingiliwa na funza ukeni ama kutoka ama ametawaliwa eneo lake la uke huashiria kuwa kuna shughuli chafu za uzinzi anazifanya ama anachukua watu si halali yake waume za watu. Pia huashiria matatizo katika afya yake ya uke huwenda ikawa vifungo vya uzazi ama hedhi isiyokwisha hapa itaangaliwa mazingira ya ndoto na hali halisi aliyekuwa nayo muotaji wakati huo. Kwa mwanaume pia hufasiliwa hivyo hivyo ila huongezeka jambo la kuwa na tamaa ya liwatwi ama muotaji ajishughulisha na vitendo vya liwatwi.

Ikiwa mtu ataota mikono yake imetoa funza ama amebeba kitu kwa mikono kisha kikatoa funza. Huashiria amali yake ama utafutaji wake una shida huwenda kuna vifungo au muotaji ana jishughulisha na mambo haramu. Ila mwisho wa yote hufa chumo lake yaan kuota funza mikononi huahsiria pesa kukukimbia ama kipato kuporomoka na shughuli unayoifanya kufa.

Ikiwa utaota eneo lako la kazi ama bishara linatoka funza huwenda ukawa unawafagia hawaishi huahsiria biahsra ama eneo uliloota limefanyiwa uchawi wa kuuliwa hiyo sehem. Ikiwa ni bishara basi haitakuwa na faida ikiwa ni pahala pakukutania watu pia yaweza pasiwe mazungumzo ya heri. Ikiwa funza wanaingia ama kutoka vyote huahsiria jambo moja ila wanatazamwa wingi wa funza na mazingira halisi ya muotaji.

Ikiwa utaona nyumba ina funza basi husahiria mitihani kwa wakazi wa nyumba hiyo. Mwanamke asiyeolewa akiota nyba inaingia funza ishara ya heri kwake aweza pata msitiri ila yatakiwa asichague. Mwanamke aliyeolewa akiota nyumba yaingia funza ishara ya mitihani kwenye ndoa yake na yaweza kuwa asbabi ya kuachana asipokuwa makini.

Mwanaume aliyeoa ikiwa ataota aonyeshwa funza na mtu huashiria kuna vtu vya siri anafichwa katika ndoa yake. Ikiwa ataota funza kwwnye nyumba ama kitanda huahsiria ndoa yake ina mitihani na haina mwisho mwema. Ikiwa mwanaume asiyeoa akiota anaona funza kwwnye nyumba huashiria hali njema kuuaga ukapela ama kupaka alichokikusudia.

Ikiwa utaota yuwaona maiti inatoka funza ama mnyama amekufa kisha akatoka funza. Huashiria. Hapa hutafsiriwa kulingana na mazingira ya ndoto uhusiano wa aliyeota na marehem pia hutafsiriwa kulingana na aina ya mnyama.

Kwa maana hiyo ndoto za zinazohusiana na funza yatakiwa uwe makini unapoota maanaye huwa ni ishara ambayo baadae huleta aidha matatizo ama faraja. Hakikisha kila uotacho unakijumlisha na hali yako halisi ya maisha kupitia tafsiri unazosoma. Ndoto zinazojirudia huwa maana pana sana kwa muotaji hivyo kuwa makini sana na njozi za kujirejearejea.

FASILI HIZI HUENDANA SAMBAMBA KAMA UTAOTA INZI KATIKA NDOTO BASI KUNA MAELEZO YANASHABIINA. WATU AMBAO NDOTO ZAO HUWA HAZINA MAANA NI WALEZI NA WALE WAZINIFU NDOTO ZAO HAZINA MAANA. IKIWA UNALALA HUOTI KABISA AMA UKIOTA HUKUMBUKI ULICHOKIOTA NI DALILI YA VIFUNGO.

MASWALI KUHUSU NDOTO YAULIZWE HAPA CHINI INBOX GHARAMA ELF 2000/tzsh.

+255621442936

una tatzo lolote la chango, uzazi, biashara, nyota, nguvu za kiume, kukuza dhakar, chango nk jitahd kupiga simu ikiwa unatuma ujumbe basi weka maelezo yakutosha.

Kuuona ukurawa wangu wa facebook



Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI