TIBA YA HEDHI ISIYOKATA. HEDHI ISIYOKOMA SABABU NA TIBA YAKE

SHIDA, MARADHI YA HEDHI ISIYOKOMA 'ISIYOKATA'

KILA mwanamke aliyefikua baleghe yampasa kumpaka hedhi mara moja kwa kwa mwezi. Ndio wajibu na ndio mfumo wa afya ya uzazi ulivyo. Wapo wanenda mara mbili ndnai ya mwez mmoja ila unachotakiwa ni kuzijua siku zako za kwenda hedhi wakati mwingine huo mwez utakuta na mkubwa bimaana unas iku nyingi kuliko mzunguko wako wa hedhi.

Wapo mizunguko yao siku 25 wapo wengine 23 wapo wengine 27 nk. Mfano huyu mwenye mzunguko wa siku 23 halaf ikwa hedhi yake anakwenda siku tatu tu anakata. Ikitoke kaanza kupata hedhi tarehe moja mwezi kimahesab atamaliza tarehe tatu ya mwez ukijumlisha mzunguko wake ambao ni siku 23 basi unapata siku 26 huyu ana weza akaenda hhedhi mara mbili ndanu ya mwez ila mzunguko wake upo vile vile haujaharibika ni wala si tatizo.

Hii huwatokea sana waliotoka kuzaa halaf hawaon hedhi labda miez saba nane mwaka wengine mpaka mtoto atembee wakija kuanza kupata hedhi huwasumbua na ratiba hubadilika huwa si ile ya awali. Huo ni utangulizi makala haya yatajika katika watu ambao hedhi zao hazikati yaan wenda hedhi mwezi mzima au siku 14 na kundelea.

Kiawaida siku za kwenda hedhi wanawake hupishana kutokana mfumo wa mtu wa uzazi pia na hommon. Kimakadirio hedhi huendwa siku tatu mpaka saba. Ila wapo wanaopitiliza kutokana na sababu za umri mkubwa uzazi ama kuhama mazingira hili hiwa si tatzo na hata ikipitiliza huwa haimalizi wiki mbili ukiona yapita hapo ujue kuna shida pahala.

Kuna sababu nyingi zinazosababisha mwanamke hedhi kutokana. Hapa nitaziongelea kwa uchache ili tufuposhe maneno kuwa mengi. Sababu kubwa huwa ni matumizi ya njia za uzazi za kisasa, hili nilishazungumza sana waelewa wataelewa wasioelewa subirin yawakute makubwa. Sababu nyingine ni hommon kutokaa sawa, uvimbe kwenye kizazi ambayo pia asili yake guwa ni dawa za njia za uzazi wa mpango. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ama kuharibika. Pia dalili za saratan ya kizazi huanza kwa hedhi kutoka mfululizo.

Hizo ni baadhi ya sababu za kidaktali ama waswahili tunasema sababu za kizungu. Lakini pia zipo sababu za mambo asili mfano wa sababu ni chango yapo machango yakwenda bleed mfululizo. Vipo vifungo vya uzazi mtu waweza fungwa ili bleed itoke tu mfululizo usiweze kubeba mimba. Lakini pia zipo adhabu mfano umeiba mume wa mtu ama umemkera mtu aweza kukuadhibu kwa kukuchezea hedhi yako na hapa utameza kila dawa za kizungu hutapata majibu mpaka kiteguliwe kilichotendwa.

Hapa nitaeleza njia nne ama dawa nne kama una tatizo hilo angalia njia rahisi kwako ikiwa tatizo ni la muda mrefu na umeshatumia saana dawa jua kuna sababu nyingine zipo hivyo fika kwa wataalam karibu nawe upate usaidizi msaada kiofisi mwisho wa makala kuna namba zangu.

          NJIA YA KWANZA MAZIWA FRESH

Upate maziwa fresh ya ng'ombe sio ya unga ni frehs chemsha yachemke haswa.
Mbegu za khardal

 Utaweka kijiko kidogo cha unga wa khardali na kijiko kidogo cha mbegu ya hulba. Maziwa yawe glam 500 ama nusu lita kisha weka hivyo vitu kwa ujazo uliotajwa acha kama dakika tano kisha kunywa maziwa yote fanya mara mbili kwa siku mpaka utakapoona imekata.




mbegu za uwatu

Vitu vilivyotajwa vinapatikana maduka ya dawa asili. Fika duka lolote liliopo maeneo ya karibu unapoishi. Kama si mnywaji wq maziww basi upate uji wa ngano iliyosagwa.

  NJIA YA PILI MAUA YA MTI WA MREHANI

NI kivumbasi kile kidogo sana huwa hakikui kikubwa na huwa na maua. Utachukua maua ya mrehani kiasi cha kiganja chako na mizizi saba chemsha kwenye maji milimita 800 acha ichemke mpaka maji yapungue kisha utatumia kwa kunywa ujazo kikombe kidogo cha chai mara mbili kwa siku.
mrehani

Hii inasaidia hata nyonga zinazouma wakati ukiwa kwenye hedhi. Mti huu hupatikana sana maporini hasa maeneo ya makaburi ni mti mdogo ukiufikisha hutoa harufu.

   NJIA YA TATU MIZIZI YA MTI WA MVUJE

Utachukua mizizi minne ya nchani ya mvuje na mizizi mitatu ya mnuka uvundo ama mkunde pori au muinga jini. Utachemsha na matumizi yake ni kunywa kikombe cha chai wakati unachemsha ifunge kama mzigo wa kuni tumia kamba ya mgomba.

mti wa mvuje

       NJIA YA NNE TANGAWIZI MBICHI

Tangawizi ni funguo ya hedhi hii hutumika hata hedhi isiyotoka yaani mtu ambaye haoati hedhi ila tatizo lisiwe limiiingiliana na vifungo na husda na mambo mingine.

tangawizi mbichi

Matumizi kwa hedhi isiyokoma andaa maji lita moja kwenye chombo kisafi saga tangawizi za kutosha mpaka maji yavurugike yawe kama machafu  weka na pilipili manga 'pilipili mtama' ya unga vijiko viwili vya chakula chemsha hadi maji yapungue kufikia nusu lita kisha  chukua kiasi cha kikombe kimoja cha chai kunywa mara tatu kwa siku ikikupenda matokeo ni siku moja tu.

Kwa hedhi isiyotoka fuata utaratibu huo huo ila usiweka pililpili manga inywewe kavu kavu.

Pia yuwaweza kutumiza mziwaziwa chemsha majani na mzizi wake kunywa, pia kama utapata siki ya tufaha pia waweza kuweka kijiko kidogo kwenye glass ya maji ya vuguvugu pia husaidia kurekebisha mirija inayoanza kuziba.

Kupata dawa zilizo tayar fanya mawasiliano kwa namba +255621442936

KwA TATIZO LOLOTE LA UZAZI, NYOTA, MAPENZI, BIAAHARA, NGUVU ZA KIUME KUKUZA DHAKARI, CHANGO NK FANYA MAWASILIANO KWA KUPIGA SIMU IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA

Kupitia page ya facebook






Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI