ASILI, TABIA NA MZUNGUKO WA MAPENZI KINYOTA



NIKIZUNGUMZIA NYOTA ZINAZOENDANA HIVI KARIBUNI. NIMEGUNGUA WENGI WENU HAMPENDI KUSOMA WALA MKISOMA MNAYAACHA HAPOHAPO UNAMKUTA MTU KILA SIKU AULIZA SWALI LILE LILE AMBALO USHALIJIBU.


KWA KUKUONGOZEA MAARIFA KILA NYOTA INA ASILI YAKE KATIKA MAPENZI YAANI INA MTU AMBAYE AENDANA NAE. KUNA KUNDI LINALOENDANA HALAFU KUNA MTU AMBAYE AENDANA NAE YAAN KUNA NYITA ZIKIKUTANA HASAA NDIO MAFANIKIO HUWA MAKUBWA ZAIDI. KATIKA ILE MAKALA NIMEELZA KILA MTU ANA MTU WAKE WA NYOTA INAYOENDANA MTAFUTE HUYO IKIWA UNA MTU WA KUNDI LINALOENDANA BASI ITAKUWA NAFUU ILA MAFANIKIO YALE MAKUBWA HUTAYAFIKIA.

HIVYO KAMA UNA MTU HAUENDANI NAE YAHITAJIKA MAMBO YA KITAALAM KUFANYIKA NA SI LAZIMA MM NDIO NISHUGHULIKIE MAANA KILA MTU ANA IMANI YAKE HIVYO WAWEZA FIKA KWA WATAALAM WA NYOTA WALIO KARIBU NAWE WAKASHUGHULIKIA UKIHITAJI MSAADA WANGU NAMBA ZIPO MWISHO WA MAKALA. MAELZO HAPA CHINI YANAHUSIANA NA TABIA ASILI ZA KILA NYOTA NA NINI CHA KUFANYA.


            WATU WA NYOTA YA PUNDA

Wana sifa ya kupenda, kuhudumia kunyeyekea. Wapo tayari kufanya kila jambo ili mwwnzi wake apate fura. Wakati mwingine hupitia magumu sana ila hunyamaza ili kutowaonyesha watu magumu anayopitia. Mioyo yao imejaa upendo ukarimu na huwa hawacheki kila mara wao tabasam ndio funguo ya furaha zao hucheka kimoyo kimoyo. Wanapopenda huwa hawasikilizi ushaur ama maneno ya pembeni ya mambo yanayomuhusu mtu wake. Akili zao zinawza mambo mazuri wakati wowote. Ni wepes kuamini mtu katika mapenzi hasa akimvutia. Wanaweza kuwa na mpenz zaidi ya mmoja na usojue sababu wanatumia akili nyingi na usiri mkubwa katika mambo yao

           MATATIZO YAO KATIKA MAPENZ

Kule kumpenda mtu sana kunaweza kukamfanya aonekane msumbufu sana. Tabia ya kugharamia na kuthamini kunaWeza kuwavutia watu wengine kumpenda kimapenz au kutaka kuwa karibu naye. Punda ni wagumu sana kufanya maamuzi unaweza ukamuudhi akakusamehe pasina kutarajia, wanarogeka kirahisi. Ila nafsi yake inapofikia ukomo huwa wagumu kurudi nyuma ni watu wenye misiamo watu wanaoishi nao mbali huwaita viburi au watu qibri. Muhimu usiwe mtu wa mawazo sana na usiwaamini watu katika mapenz maana punda hupata watu wanaotengeza kiakili.

           WATU WA NYOTA YA NG'OMBE

Wenye nyota hii ni waaminifu  katika mapenzi na wanaohitaji ulinzi wa penzi lao liwe pahala salama muda wote. Wana sifa ya uamnifu sana yaani wanaweza kutunza na kujitunza wenyewe hivyo wanaathiriwa sana na wivu kwa wapenzi wao. Ni watu wanaopenda kila muda kujua habar za mpenzi wake yupo wapi na afanya nini. Wanapenda uhakika wa mapenzi ndio jambo kubwa ambalo wenye nyota hii huangalia kwanza na baadae Penzi hilo liwe lenye hisia na mpangilio.

       MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI
 
Hisia kali walizonazo kwenye mapenzi wivu wao huwa ni kero na huwa ni watua wasiobadilika hivyo kuwafanya watu wenye mambo mengi kutovutiwa nao. Muhimu cha kufanya ni kujitahidi kuwapa nafasi wapenzi wao la sivyo watajikuta wako peke yao. Ndoa kwao ndio uamuzi mzuri kuliko kuishi na wapenzi. Tabia yao ni ya kudumisha jambo fulani wanaloliamini au walilolianzisha na hawapendi kubadilishwa. Badilika utaishia kuwa pekee yako

         WATU WA NYOTA YA MAPACHA

Ni watu wenye asili ya mawasiliano na ni vigumu sana kuwafanya wajinga hivyo basi wakishampenda mtu wanahakikisha kwamba hawamchoshi huyo mpenzi. Watatumia muda mwingi kuzungumza maneno mazuri na wapenzi wao ili kuhakikisha kuwa uhusiano unazidi kuwepo. Watu wenye nyota hii wanakuwa hawatulii kwwnyw hali moja wakaeleweka Kuna wakati wanakuwa na mapenzi ya dhati na kuna kipindi mapenzi hupungua tofauti na muda si muda wamebadilika. Pamoja na kwamba hawapendi kubanwa sana , ni watu wachamgamfu na wenye mahaba mazuri.

         MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Asili yao ni kuwa na hisia tofaut sana. Wanahisi kuna vtu wanafichwa ama kuhisi kuna kitu wanakikosa ndani. Hivyo uaminifu kwao huwa mgumu kulingana na hisia na wasiwasi nafsi zao. Watu wa nyota hii kutoka nje kwao ni kawaida hata kama umpatie kila kitu ila akikosa kitu kidogo tu huenda kukitafuta nje. Ni rahisi sana kukuta Mume ana mke na hawara na usishangae kumuona Mke akiwa na mUme na hawara ni kawaida yao. Katika mapenzi, wao wanapenda vitu tofauti tofauti na wanahisi wamechoshwa basi huwa wa kwanza kuondoka aidha kwa muda au moja kwa moja.

Mazingatio ondoa waswa au hisia mbaya jikubalia na kubali hali yako uliyonayo mungu atakufanyia wepes kwenyw shughuli zako.

           WATU WA NYOTA YA KAA

Watu wa nyota hii wanapenda sana kulinda mioyo yao hawapendi kuumia. Wana hisia sana za kimapenzi na hupenda kuwa karibu na wapenzi wao na kuonesha thamani yao kwako. Wana huba zito sana na hawapen kutangauliza mguu mmoja mmoja huingia mazima, na hawapend kuchanganya mambo. kwao bila ya kuwa na mpenzi hujihisi hawajatimiza lengo lao katika maisha hivyo basi huwa hawana raha. Ni watu waaminifu na wanategemea wapenzi nao wawe waaminifu kama wao.

         MATATIZO YA KATIKA MAPENZI

Kutokana na uwaminifu wao na kiwamini sana watu wanaokuwa nao katika mapenzi ni wepes kuchezewa michezo ha kkusaliti. Pia wanarogeka kiwepes maana wanakuwa wasumbufu hivyo mtu hufikia hatua ya kumtuliza kimadawa ili aupate uhuru kidogo.
Ni wagumu sana kuachana na wapenzi na inapotokea kasoro  wako radhi wao waumie kuliko kuachana na anayempenda.

Muhimu jirekebishe tabia usimuoneshe sana kumjali ama kumchunga kunawezqkuharibu hali ya utafutaji wako ridhki.

          WATU WA NYOTA YA SIMBA

Watu wa Simba hupenda sana kujifaharishahivyo ikitokea kumpenda mru yupo tayari kutumia gharama kubwa ili aonekane. Ni wakarimi wanajua kulea ama kutunza ila wanapenda kusimanga kwa yale wanayowafanyia wapenzi wao. Furaha kwao haina mpaka katika mapenzi ya simba, mioyo yao mikubwa na hisia zao nzito hutokeza dhahiri wanapompenda mtu. Akili zao mara nyingi huziahamishia kwwnye mapenz ila linapoharibika jambo ni wagumu kutafuta ufumbuzi wa haraka

Unapowakwaza   ndipo sura kamili ya Simba hujitokeza. Wao wanathamini sana mapenzi kuliko jambo lolote, na wanaweza kuwa waaminifu sana na wakati mwingine huwaabudu wapenzi wao.

           MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Wakipenda wajisahai kwamba mapenzi yatakiwa yawe pande mbili hata likitokea tatzo basi kila mmoja awe na uhuru wa kuamua wao hujiangalia wao zaidi. Kutaka kuwa jui wakati wote.

Kwa nje wanaonekana ni wenye kujiamini katika mapenzi lakini kwa ndani wanaweza kuwa wanaumia lakini hawawezi kukubali. Hata hivyo mara nyingi hutegemea kupata hisia kama walizonazo wao kutoka kwa wapenzi wao. Kuamrisha watu kile wanachotaka pia kunaweza kuwa sababu ya kuachana.

Jitahd kuounguza ukali heshimu kila mtu katika mapenzo acha masifa ya kijinga.

            WATU WA NYOTA MASHUKE

Kijuujuu wanaonekana ni watu wenye aibu kwa undani na kujiamini, wenye nyota hii hupumzika na kunawiri wanapokuwa katika mapenzi. Ni watu ambao inawawia vigumu kuonyesha penzi lao. wana mtizamo wa kufikiri kabla ya kujitumbukiza ndani ya penzi lolote, wanachunguza kwa makini matokeo ya penzi lenyewe. Inawawia vigumu wao kukuanza wewe kimapenzi kwa sababu wana uhakika kwamba unaweza usiwaelewe haraka. Kinachowasaidia ni subira na kuwaelewa wapenzi wao lia ahadi zao na maneno matamu

        MTATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Wan sifa ya maneno mazuri wanapokuwa wankuhitaji kimapenzi hivyo wanauwezo wa kumpata mtu yoyote kwa maneno tu. Wana siri sana katika mapenzk yao na mpaka uje ugunfue jambo linakiwa limeshapita muda mrefu. Ni vizuri kufikiria mara mbili kabla hujajiingiza katika mapenzi na Mashuke.

Hata hivyo wanaweza kuwa wasumbufu, wenye kulalamika na wenye mtizamo wa makosa ya mpenzi wake ili amshutumu.
Kwa sababu ya hali yao hii mara kwa mara kunakuwa na ugomvi wa wapenzi ambao wanataka kutekeleza malengo yao.

Acha kuwa msiri sana usipotezee watu muda katika mhusiano

              WATU WA NYOTA YA MIZANI

Kujihusisha na suala la mapenzi kwa wenye nyota hii ni kitu cha kawaida kabisa pamoja na kwamba wenye nyota hii wanachukua muda mrefu kufanya maamuzi na inawawia vigumu sana kuchagua kati ya wapenzi wawili yupi anaefaa. Kwao kuishi vizuri ni kuwa na mpenzi tu ili mrad mpenzi. Watu wa nyota hii wanathamini sana mapenzi kuliko hata maisha yao wenyewe na wanapenda sana kujionyesha kwamba wanapendwa hata kama wanaumia na kupitia machungu.

Wana sifa za kujishughulisha katika suala la mapenzi. Yaan wana uwezo wa kumuandaa mtu akasahau kwamba yupi katika dunia hii tuliyokuwa nayo. Wanaume hupenda sana kuiga habar za kusikika zinazokwenda na wakati huo katika mapenz. Wanawake hutymia sana tendo la ndoa kuwa silaha kwao ili watimiziwe wanachohitaji. Wanapenda kuwapa sifa wapenz wao ambazo hawana.

          MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Kupenda kwao kusikuwa na macho wanapumbazwa na mapenzi na ndoa zao zinakuwa zina matatizo na zisizo na raha kwa sababu ya kuanzisha  mapema mahusiano au ndoa bila kuangalia. Wenye nyota hii wanaonelea bora kuishi katika ndoa ama mahusiano yenye matatizo kuliko kuishi peke yao. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kuitafuta furaha kando.

Kwa ujumla wenye nyota ya Mizani wanapenda kuishi vizuri na wanapenda wapenzi wao nao waishi katika hali nzuri.

            WATU WA NYOTA YA NG'E

Watu wenye nyota ya hii wanapenda sana kutumia fursa ya kufanya tendo la ndoa kama njia mojawapo ya kuonyesha ujasiri wao katika mapenzi na namna wanavyojua kufanya tendo la ndoa. Wanapenda kufanya mapenzi kutoka asili ya nyota yao kumiliki sehemu za siri na hisia kwa ujumla

Ni watu wenye ashki na hasira wakiwa wamedhalilishwa au wameumizwa na wapenzi wao. Hasira zao huisha pale wanapofanya tendo la ndoa. Hivyo ni watu wanaojali sana tendo kuliko huduma zingine. Watu hawa huwakumbuka watu tu pale wanapokuwa na hitaji lao la kimapenzi.

       MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Kwakuwa wanajali sana mapenzi hivyo wana uwezo wa kuwa na watu wwngi ili pale wanaoohitaji jambo lao pasikuwepo ma shida za kukosekana. Wanaachwa sana kutokana na muda mwingi kuwaza mapenzi kuliko maendeleo.

Inashauriwa wale wenye moyo mdogo wasifanye mapenzi na Nge sivyo watajuta. Kitu kingine ni kwamba ni watu ambao hawayumbi na hawakubali kushindwa upesi.

Ni watu wasiri sana katika masuala ya mapenzi na wanakuwa hivyo ili waweze kuwapata wapenzi wengi kukidhi matakwa au kiu yao kubwa ya ngono.

             WATU WA NYOTA YA MSHALE

Pamoja na kwamba wenye nyota hii wanapenda wawe huru na wenye kujiamulia mambo yao wenyewe huwa wana starehe na kuona raha wanapokuwa ndani ya uhusiano wa kimapenzi.

Wenye nyota hii wanapenda sana kujihusisha na makundi makundi lakini huwa wanapata muda wa kuwa na wapenzi wao. Ni watu wachangamfu na wenye kupenda lakini tabia yao ya kutojali inawafanya wapenzi wao wajione kwamba wanakosa ulinzi wa kimapenzi.


        MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Pamoja na kuwa waaminifu ila hawapend waonekane wana makosa wanapokosea. Wanapenda sana wakati wote kuwa na wapenzi wapya au mapenzi ya kawaida kwa sababu wanaamini mapenzi ya kudumu yanawanyima uhuru. Hivyo huwa hawapendwi kubanwa ikitokea hali hiyo basi kwao ni bora kuanzisha mahusiano mapya  yenye uhuru.

Ni watu wanaopenda kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu na hisia zao ziko mbali na inashauriwa kwamba wapenzi wao wawe wamekula kabla ya tendo la ndoa vinginevyo itakuwa taabu.

           WATU WA NYOTA YA MBUZI

Watu wenye nyota hii wanakuwa ni watu wenye aibu sana kwa wapenzi wao lakini aibu ikishawaondoka huwa ni wapenzi wa kutisha, kwa maana ya kwamba kwa vile wao ni waaminifu wanataka wapenzi wao wawaunge mkono katika hisia zao za kimapenzi.

Jambo jingine ni kuwa huwa wao wenyewe hawajiamini kimapenzi, mara nyingi wanashindwa kuingia katika mapenzi kwa woga tu hivyo kukosa nafasi nzuri ya kupendwa.

         MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Watu wa nyota hii wanaoogopa sana kuachwa na wapenzi wao hivyo basi huwa wanakuwa waangalifu sana katika kuchagua wapenzi. Wanapenda kung'ang'ania jata kama wanaumizwa.

Kwa ujumla ni watu makini na huwa hawazami mpaka wapate uhakika wa kutosha kutoka kwa wapenzi wao. Ni wapenzi makini, waaminifu na wanaoweza kuaminiwa. Lengo lao katika mapenzi ni usalama.

           WATU WA NYOTA YA NDOO

Wana sifa ya uaminfu na hujitoa sana kimsaadana. Wako tayari kutulia katika mapenzi iwapo watahakikishiwa uhuru wao na haki ya kutoingiliwa katika mambo binafsi. Huwa hawapendi kuonyesha hisia zao halisi na wanachukua muda mrefu kuingia kikamilifu katika uhusiano wa kimapenzi.

Wakioneshwa umanifu na wao hujibu mara mbili ila ni wagumu kuamini kwa mara ya kwanza hivyo wanakuwa na usumbufu wakati wakuanza mahusiano. Ni waongeaji sana hata mambo yake ya ndani ama mambo ya moenz wake aliyopita hali hii pia huwapa watu uzito kuanzisha mazungumzo nao yakimapenzi.  Wenye nyota hii wanaopenda uhuru na hawawezi kabisa kukubali kudhibitwa katika mapenzi.

        MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Wannapenda sana kusikilzwa na kutimiziwa watakacho hivyo hata kwwnye tendo la ndoa wao ndio huamua nini kifanywe na wakati gani lifanyike. Huwa hawatoi nafasi kwa wenzio kuchangia au kusikilza za wenzi wao kwa maana hyo mara nyingi waoenzi wao huamua kuwa na watu wwngine kwa siri wanaowasikilza na kuwatosheleza.

Wakati mwingine hushindwa kuelewa hisia za wapenzi wao jambo ambalo linawafanya wapenzi wao washindwe kuwaelewa na kuamua kufungua ukurasa mwingine.

Jibadilishe toa nafasi kwa mwezio kukushaur moe nafas mwenzio abadikiahe mikao anayoipenda.

               WATU WA NYOTA SAMAKI

Wanamuonekano mzuri wa kimahaba na wamekamilika hasa katika sekta hiyo ukiwa nao utfurahi huduma zao. Kuwa katika mapenzi ni kitu wanachokipenda na kukifurahia sana. Ni waangalifu wazuri kwa wapenzi wao wana huruma nyingi. Ni watu wenye hisia kali za kimapenzi na ni wepesi kuathirika. Mara nyingi huwa waoga wa vitu vya kimapenzi kwa sababu ya kuogopa kuvurugika kwa mipango yao ya baadaye ndiyo maana wakipenda mtu humganda.

Wenyewe huyachukulia mapenzi kama ua la waridi na wanawaona wapenzi wao kama binaadamu wasio wa kawaida. Hutapelika kirahisi kirahisi ama kudhibitiwa kiwepesi.

         MATATIZO YAO KATIKA MAPENZI

Imani yao kubwa katika mapenzi huwasbabishia matatzo ya kutapeliwa ama kuhadaiwa. Sababu  kubwa  wanawaamini sana wapenzi wao na wanakuwa na mawazo au firika za kimapenzi ambazo hazipo katika dunia hii.

Kwa ujumla wenye nyota hii wanapokuwa katika mapenzi wanakuwa wamejawa na shauku na mifano ya kuvutia na wanapenda wapenzi wao waishi kiroho. Mategemeo yao yanakuwa makubwa na yasipotimia huwa wanavunjika moyo.

Usipende kumuamini kila ajaye mbele yako hasa wanaoamini nyota wanajua watu samaki wanatoa sana wakikupenda.

Shida yoyote yamapenz, nyota, biashara, kuuza, kesi, nguvu za kiume, uzazi, kukuza dhakar, kunenepesha mwili, pete za bahat nk

+255621442936

JiTAHIDI KUPIGA SIMU IKIWA YUWATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA JUMBE FUPI KAMA MAMBO, HI NIAJE HABAR SITAZIJB




Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI