Posts

Showing posts from July, 2022

UCHAMBUZI WA THAMANI YA HERUFI F KATIKA MAISHA MAFANIKIO NA MAPENZI

Image
HUU NI MUENDELEZO WA MAKALA ZA UCHAMBUZI WA THAMANI ZA HERUFI KATIKA MAISHA UTAFUTAJI NA MUUNGANIKO WA KIMAPENZI. Uchambuzi huu unahusiana na maisha kwa ujumla watu herufi F, mienendo yao na utafutaji wa maisha. Hali halisi za maisha ya kimapenzi pale zinapokutana na herufi nyingine katika miingiliano ya kimapenzi na utafutaji rudhki katika maisha ya ndoa. Jitahid kusoma kwa umakini mwanzo mpaka mwisho kama hii ndio herufi yako basi jitahd kusoma kwa umakini toa pupa kuna mambo mazuri ya kujifunza na mambo mabaya ya kuachana nayo.     MAISHA HALISI YA WATU WA HERUFI F Watu wa herufi hii  wanapenda kufuata kanuni na kufanya mambo kwa usahihi kabisa. Ni waangalifu sana hasa katika mambo madogo madogo na wanapenda kushutumu hasa mambo yanapokwenda vibaya. Wanatabia ya kuchunguza mambo na kuhakikisha mpangilio unafuatwa kikamilifu. Wanajituma na kujishughulisha na wanapenda sana kufuata sheria. Wana sifa ya kutumia mbinu yoyote ile wanapohitaji kufa ikisha jambo lao hata uchawi.           

UCHAMBUZI WA THAMANI YA HERUFI E KATIKA MAISHA NA MAPENZI

Image
HUU ni muendelezo wa chambuzi za thamani ya herufi katika Maisha ya Utafutaji na Muinganiko wa Kimapenzi. Nimeshafafanua herufi A, B, C na D kama umepitwa basi jitahd kusoma post za nyuma herufi hizo tayata nimeshazifafanua. Leo nitazunguma herufi E uchambuzi wake katika maisha masuala ya utafutaji na mambo ya kimapenzi. Jitahd kusoma kwa umakini sana. Pia jitahd kusona maelezo mpaka mwisho kunakuwa na ufafanuzi wa mambo muhimu.   TABIA MIENENDO YA WATU WA HERUFI E Watu wa herufi hii wanapenda sana ufahari na kutukuzwa. Hupenda kuonekane wana hali nzuri kimaisha wanapenda sana kuheshimiwa. Ni watu wakarimu lakini wajeuri na wanapenda sana kuonea watu. Wana hisia kali, ni wakali na wanakiburi.Tabia yao ni kujitanua, Ukarimu na ulezi ikichanganyika na ujeuri na kujionyesha, huwaharibu wale wanaowapenda. watu hawa huwa ni wakali sana katika mapenzi na mara nyingi huwa hawadumu kwenye mapenzi kutokana na ukali wao na huwa ni watu wenye ghadhabu za mara kwa mara hasa akikosewa a

UCHAMBUZI WW THAMANI YA HERUFI G KATIKA UTAFUTAJI UTAFUTAJI, MALI NA MAPENZI

Image
HUU NI MUENDELEZO WW CHAMBUZI ZA HERUFI KATIKA MAMBO YA UTAFUTAJI, AFYA, MALI NA MUINGILIANO WA KIMAPENZI. MAKALW ZILIZOPITA NMEAFAFNUA HERUFI A,B,C,D,E na F LEO TUNAENDELEA NA HERUFI G ANAYEKUELTEA CHAMBUZI HIZI NI MTABIBU ASILI TZ. kama umepitwa na chambuzi za herufi zilizopita soma kwenye makala za chini utaziona uchambuzi binafsi wa inbox utalipia gharama. Njia nyepes ni kurejea post zilizopita utaona tulipoanziakuanzia herufi A mpaka herufi hii ye leo.      HALI YA MAISHA WATU WA HERUFI HII Watu wa herufi hii wana tabia ya kupenda usuluhishi, amani wasikivu, watiifu, na wepesi kuongozwa. Ni wenye maumbo ya kupendeza hasa wanawake. Ni wastaarabu, wenye adabu heshima na ni wakarimu kwa mtu yeyote na wanajipenda sana Hupenda mionekano hasa mavazi na upambaji wa makazi yao. Hupenda manukato na nguo zenye kuonekana suala la gharama kwao ni jambo la kawaida. Huongozwa na fikra pana kimawazo ni watu ambao hujitahd wakitoa ushaur uwe na maana kwa wasikilizaji. Kifamilia hupend

UKIMWI WA KUROGEZEWA UNAVYOTENGENEZWA, KUJUATHIRI NA NAMNA YA KUTIBU

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UFAFANUZI WA MAMBO MUHIMU YENYE FAIDA KWAKO. WACHWI WANA UWEZO MKUBWA WAKUYENGENEZA KITU KISIONEKANE NA MACHO YA KAWAIDA. WANAWEZA KUKUSABABISHIA MARADHI MAKUBWA YAKAKUDHURI NA KUKUTOA DUNIANI KABISA KAMA USIPOTIBIWA KWA HARAKA. LEO TUNAZUNGUMZIA KUHUSIANA NA UGONJWA WA UKIMWI WA KUPANDIKISHIWA YAAM UKIMWI WA KIROGEZEWA. zipo dhana zinasema hakuna ugonjwa unaweza kupandikizwa mwilin kichawi. Lakini watu hujiongopea maradhi yapo na yanapandikzwa. Huu ukimwi hutengenezwa kwa shahawa za mwanaume aloyeathirija katika maisha ya kawaida. Humjia usiku na kumfangisha tendo la ndoa atakapotaka kukojoa hukinga yale manii yake na kuondoka nayo. Huchukua unga wa mifupa ya mtu aliyefariki huchanganywa na mambo mengine ambayo si salama kiyataja hapo unakuja kukishwa usongizn utaona yuwala au kunywa kitu maradho yataanzia hapo. Sasa unaweza kuwa na dalili zote za ugonjwa wa ukimwi mpaka madaktaei watayhibitisha

MAFUTA YA KUMBIKUMBI NGUVU YA MVUTO KUFUATWA KUTIMIZIWA HITAJI

Image
NIMEKUWA nikipokea maswali mengi juu ya vitu ninavyoandika. Naomba nitoleee ufafanuzi mwisho wa kila makala huwa nafafanua hivyo vitu vinapatikana wapi hivyo jitahd usisome ujumbe nusu ukadakia kuchukua namba ama ukaende seh ya kukoment kuuliza jambo pasina kumaliza maelzo. Niliwah kuzungumzia kuhusiana na mafuta kumbikumbi leo natolea ufafanuzi soma mpaka mwisho kwa umakini. Makala haya yameandaliwa na kuandikwa na Mtabibu ASILI TZ kutoka Pangani Tanga. Kumbi ni hao unawajua ambao hujitokeza sana nyakati za mvua ila kuna maeneo wanakuwa najenga vichuguu na kuishi humo. Sasa wale na vuchuguu vyao ndio hutumika kama dawa kulingana na hitaji la mtu. Hivyo usije ukajichanga sio wanakuja majumbani. Wapo wanaowatumia kama chakula bimaana mboga ila wamasai huwatumia kama kinga ya magonjwa kwa kutumia nyumba zao na wao wenyewe. Hutumika kuchanja ama kula kwa kuchanganya na nyama za wanyama pori na madawa mengine kama mizizi ya mpigo nk.      MAFUTA YA KUMBIKUMBI MAPENZI wale madad