UCHAMBUZI WA THAMANI YA HERUFI E KATIKA MAISHA NA MAPENZI



HUU ni muendelezo wa chambuzi za thamani ya herufi katika Maisha ya Utafutaji na Muinganiko wa Kimapenzi. Nimeshafafanua herufi A, B, C na D kama umepitwa basi jitahd kusoma post za nyuma herufi hizo tayata nimeshazifafanua.

Leo nitazunguma herufi E uchambuzi wake katika maisha masuala ya utafutaji na mambo ya kimapenzi. Jitahd kusoma kwa umakini sana. Pia jitahd kusona maelezo mpaka mwisho kunakuwa na ufafanuzi wa mambo muhimu.

  TABIA MIENENDO YA WATU WA HERUFI E

Watu wa herufi hii wanapenda sana ufahari na kutukuzwa. Hupenda kuonekane wana hali nzuri kimaisha wanapenda sana kuheshimiwa. Ni watu wakarimu lakini wajeuri na wanapenda sana kuonea watu. Wana hisia kali, ni wakali na wanakiburi.Tabia yao ni kujitanua, Ukarimu na ulezi ikichanganyika na ujeuri na kujionyesha, huwaharibu wale wanaowapenda.

watu hawa huwa ni wakali sana katika mapenzi na mara nyingi huwa hawadumu kwenye mapenzi kutokana na ukali wao na huwa ni watu wenye ghadhabu za mara kwa mara hasa akikosewa au akipingwa kidogo tu. Jambo kubwa walilonalo ni uwezo wa kuvumbua mambo ambayo watu wengine hawajui.

 wanaweza kuwa waaminifu sana na wakati mwingine huwaabudu wapenzi wao.Wanapenda kujishughulisha sana na mambo ya mapenzi lakini mambo yakiharibika inakua vigumu sana kuyatengeneza.

Tatizo lao kubwa ni kujisahau Kwa nje wanaonekana ni wenye kujiamini katika mapenzi lakini kwa ndani wanaweza kuwa wanaumia lakini hawawezi ksema mbele za watu juu ya hisia zao.

     MAISHA NAMIINGILIANO YA HERUFI ZINGINE

E&A maisha yatakuwa magumu upande wa ridhki utakuwa na shida ahadi kuwa nyingi kuilko utekelezaji. Huwenda ukaandamwa na kuharibika vitu vya ndan au kuuunguliwa. Uzazi una shida upatiwe ufumbuzi.

E&B mambo yatakuwa na ugumu kiasi katika utafutaji wako. Ridhiki itakuwa na shida huwenda ukwa mtu wa kusumbuka kutaguta kazi ama bishara kuwa na mitihan yakufilisika. Uzazi utakuwa na usumbufu pamoja na afya kwa ujumla.

E&C mambo yatakuwa mazuri jao si sana mikwamo itakuwepo ila itatoa njia ya mafanikio kwako. Jitahidi kupambana kuhakikisha hnaweka sawa mambo yako muhimu na kujishughulikia mara kwa mara. Uzazi upo hauna tatizo lolote.

E&D maisha yatakuwa yamepoa sana katika utafutaji wa ridhki. Mafanikio yako yatachelewa sana na yakupasa ujitume na kujishughulikia mara kwa mara. Uzazi utakuwa ukisumbua 

E&E maisha yatakuwa na fujo na visiran kila mmoja atajifanya yeye mjuaji kitaka kummiliki mwenzie. Pia kutakuwa na mambo ya kukomoana kimaamuzi. Hatari kubwa mnaweza kuvunjiana heshima na kuishi kwa mashaka mtaandamwa naukata ama kuuza vitu ili kukidhi mahitaji yenu. Uzazi utawasumbua mpaka kwa madawa.

E&F maisha yatakuwa na changamoto nyingi katika utafutaji. Huwenda ukatekwa akiki ama kudhibitiwa kimadawa. Mafanikio yapo ilanitahitajika upambane sana ili kuyafikia. Uaudi na vinyongo vya watu vinaweza kuwakwamisha. Uzazi upo ila wakushughulikiwa sana.

E&G mambo yatakuwa mazuri japo kutakuwa na changamoto za gaoa na pela ila maisha yagakuwa na unafuu. Utafutaji rishki utakuwa hausumbui. Kikubwa ni kujihadhari na uaudi wa watu wa karibu maana hicho kifakuwa kikwazo kikubwa hasa kwa maneno. Uzazi upo hautakuwq na shida yoyote.

E&H mambo yatakuwa kawaida sana ridhiki itapatikana ya kula ila kuweka haitakuwepo. Changamoto nyingi zitahifaji fedha au kujitoa uatatuzo wake. Hivyo unaweza kukumbwa ama kuelemewa na majujumu. Uzazi utakuwq na shida  jitahidi kuoambana kuweka hali sawa.

E&I maisha yatakuwa na changamoto nyingi katika utafutaji. Ridhki ipo mbali sana ni yakuvuta kwa kutumia nguvu nyingi. Uwe mtu wa kujishughulikua mara kwa mara. Uzazi utakuwepo ila watoto watakuwa hawatuliii.

E&J maisha yatakuwa na muingiliano sana utataka kumdhibiti mpenzi wako kaikili na kimali. Hivyo unaweza kusababisha ugomvi ama chuki zisizo na msingi. Kwa ujumla mambo yatakuwa yakiingiliana sana hakutakuwa na usasa mizozo ukorofi unaweza kupitia sana.

E&K mambo yatakuwa mazuri, utafutaji wa ridhki utakuwa mzuri mwepes na mafanikio yapo. Mtaandamwa na uadui ila mambo yatakuwa mazuri. Uzazi upo hauna shida yoyote.

E&L fedha kwako ifakuwa haikai. Unaweza ukatafuta kwa nguvu na ukatumia kiwepesi. Changamoto zinaweza kukosesha amani unaweza kuandamwa na msongo wa mawazo ama vidonda vya tumbo. Uzazi utakuwa wa shida unahitajika msaada kuharakisha.

E&M utaandamwa na ugumu katika utafutaji. Mpenzi wako anaweza kuwa anafanya mambo yake kwa usiri sana. Si mtu aliyetulia utatulizwa kwa madawa utasababishiwa vifungo na kuumwaumwa. Mafanikio yapo mbali sana ujitume na kujishughulikia. Uzazi utasumbua mwanzoni.

E&N maisha yatakuwq na changamoto zitakazohitaji pesa kutatuliwa. Huwenda majukumu ya kifamilia yakakzidi uwezo wa kipato chako. Kukopa ama kuuza vtu kunaweza kuwa ni suluhu ya shida zako. Uadui wa kimaneno utakuandama uzazi upo ila unajlhtajika uharakishwe.

E&O maisha yatakuwa wastan mambo yatakuwa yakikaa sawa na kuendea kombo. Ridhiki ipo ila kujishughulisha sana. Uadui unaweza kuwasumbua kwani husda na vinyongo vinaweza kuwaandama. Uzazi upo unaweza kuandamwa na ngiri au chango.

E&P maisha yatakuwa magumu hasa kwenye utafutaji. Pesa inawezw kuwapiga chenga, unaweza ukapata leo ukakaa muda mrefu ndipo upate tena. Majukumu yatazidi kiwango cha kipato chako. Uzazi una tabu mpaka ushughulikiwe.

E&Q kila mmoja atakuwa akimuongelea mwenzie kwa ubaya. Huwenda mkiishi mbalimbali furaha ikawepo ila mkiwa karibu mnaweza kujikuta mnapoteza amani na furaha ya penzi lenu. Mafanikio yapo mbali sana mpaka upambane sana. Uzazi upo mbali ni wakushughulikiwa, watoto watakuwa hawajatulia.

E&R maisha yatakuwa wastani huwenda mipango yako ikawa na changamoto sana katika utimiaji wake. Washauri wenu wanaweza kuwapa njia zisizo sahihi inaweza kuwatoa katika imani zenu. Mwenzawako atakuwa na mambo yake ya siri anayofanya katika shughuli zake muhimu. Uzazi utakuwq na usumbufu wakat wa mwanzoni 

E&S mambo yatakuwa mazuri sana kimapenzi. Mtaelewana adui mkubwa atakuwa watu wenu wa karibh. Utafutaji wa ridhki utakuwa mzuri na mali zitpatikana kikubwa kuzingatia mazingatio ya nyita yako na kujishughulikia. Uzazi upo hauna shida wala shaka.

E&T mambo yatakuwa ya kawaida maidha yatakuwa na changamoto ya kukosa rsighki. mipango yako mingi itakuwa ikifeli, huwenda ukaandamwa na madeni au ahadi zisizokuwa na utimilifu. Unaweza kuchukiwa na watu sababu ya maneno mabaya yanayoenezwa. Uzazi upo ila wakuushughulikia.

E&U utakumbana sana na changamoto katika utafutaji wa ridhki. Maisha yako yatakuwa si mtu wa kutulia utaandamwa sana matukio yatakayokutoa akili. Uzazi una shida watakiwa ushughulikiwe.

E&V Mambo yatakuwa na muingiliano sana maamuzi yatategemea na nani anajitoa sana katika kuhakikisha mkate wa kilas iku unapatikana. Unaweza kudhitibiwa kimadawa pia. Mafanikio yapo mpaka ujitume sana na kurekebisha kasoro ama kushughulikia changamoto utakazokumbana nazo. Uzazi upo hauna shida yoyote.

E&W Maisha yatakuwa mazuri na furaha tele. Utafutaji wa ridhki utakuwa mzuri. Mafanikio yapo milango ya mali ipo wazi. Uzazi upo na hauna shida yoyote. Jibidiishe katika utafutaji na kujishughulikia mara kwa mara maana uadui upo mlangoni hasa unatoka kwa watu wa karibu.

E&X mambo yatazorota maisha yatakuwa na changamoto za kukosa fedha. Ridhki itakuwa ya shida ya sana. Maendeleo yatachukua muda sana kuyapata na nguvu za ziada. Uzazi utakuwq wa mashaka ama watoto wenye uelewa mdogo.

E&Y mambo yatakuwa mabaya utafutaji wa fedha unaweza kuwa mgumu sana. Kuandamwa na mitihan ya kufilisika ama kuachishwa kazi. Uzazi unawwza kuwa shida uwe mtu wa kujishughulikia mara kwa mara Upepo mbaya utawsumbua.

E&Z mambo yatakuwa wastani ila ugumu utakuandama sana katika utafutaji. Mambo mengi yatakuwa na uingiliano sana. Mafanikio yatahitaji ujitume sana na kujishughulikia mara kwa mara maana muingiliano na upepo mbaya utakuandama. Uzazi utawasumbua mpaka muushughulikie kwa madawa.

 Nimemaliza herufi E mpaka saaa nishafafanua heruf A, B, C, D, E kwahyo weka koment yako iwapo unataka somo liendelee wwngi mnanitumia ujumbe inbox somo linaendela ninapouliza hapa ukijub ndipo inakiwa rahs kuona kwamba watu wameelwa na kuna uhitaji hivyo jitahd kushiriki.

     MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

KATIKA MAISHA KUNA MAMBO MENGI YANAYOSABABISHWA MIKWAMO KUNA MAJINI VIFUNGO HUSDA KUKOSEA KUOA KUOLEWA NK. HIVYO NAJITAHIDI KUWAFAFNULIA KADRI YA IWEZ WANGU ILI UJIONE UNAPITIA MITIHAN KWA SABABU ZIPI.

KAMA UNA SHIDA JITAHD ISHUGHULKIWECHANZO CHA TATZO UANGALIWE MUHUSIKA TATZO NI LIPI NA CHANZO CHAKE BASI KIFANYIWE KAZI. UTARATIBU NI ULE ULE UNA HWEUFI ZAKO UNATAJA ZICHAMBULIWE WEKA KWENYE COMENT NITAKUOA MAELZO KWA UFUPI HUKU UKISUBIRIA HERUF YAKO. UCHAMBUZ WA INBOX UTALIPIA 

Una shida yoyote ya kinyota mapenzi biahara kazi mahusiano nguvu za kiume kukuza dhakar kuongeza mwili kupunguza vinyweleo bawasiri nk

+255621442936

JiTAHIDI KUPIGA SIMU IKIWA UNATUMA UJUMBE WEKA MAELEZO YA KUTISHA OAHALA ULIPO JINA NA SHIDA JUMBE FUPI HABAR MAMBO NIAJE HELLOW SITAZIJIB

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI