UCHAMBUZI WA THAMANI YA HERUFI F KATIKA MAISHA MAFANIKIO NA MAPENZI




HUU NI MUENDELEZO WA MAKALA ZA UCHAMBUZI WA THAMANI ZA HERUFI KATIKA MAISHA UTAFUTAJI NA MUUNGANIKO WA KIMAPENZI.

Uchambuzi huu unahusiana na maisha kwa ujumla watu herufi F, mienendo yao na utafutaji wa maisha. Hali halisi za maisha ya kimapenzi pale zinapokutana na herufi nyingine katika miingiliano ya kimapenzi na utafutaji rudhki katika maisha ya ndoa.


Jitahid kusoma kwa umakini mwanzo mpaka mwisho kama hii ndio herufi yako basi jitahd kusoma kwa umakini toa pupa kuna mambo mazuri ya kujifunza na mambo mabaya ya kuachana nayo.

    MAISHA HALISI YA WATU WA HERUFI F

Watu wa herufi hii  wanapenda kufuata kanuni na kufanya mambo kwa usahihi kabisa. Ni waangalifu sana hasa katika mambo madogo madogo na wanapenda kushutumu hasa mambo yanapokwenda vibaya. Wanatabia ya kuchunguza mambo na kuhakikisha mpangilio unafuatwa kikamilifu. Wanajituma na kujishughulisha na wanapenda sana kufuata sheria. Wana sifa ya kutumia mbinu yoyote ile wanapohitaji kufa ikisha jambo lao hata uchawi.
  
                UPANDE WA MAPENZI

Wana sifa za kuwa na aibu kwa undani lakini wanajiamini, wanapokuwa katika mapenzi hunawiri. Ni watu ambao inawawia vigumu kuonyesha penzi lao. wana mtizamo wa kufikiri kabla ya kujitumbukiza ndani ya penzi lolote, wanachunguza kwa makini matokeo ya penzi lenyewe. Wanapotafuta mpenzi wanaweza wakakupumbaza na maneno matamu na raha zisizo na kifani. Wasumbufu, wenye kulalamika na wenye mtizamo wa makosa ya mpenzi wake ili amshutumu. Kwa sababu ya hali yao hii mara kwa mara kunakuwa na ugomvi wa wapenzi ambao wanataka kutekeleza malengo yao.

                 TAHADHARI MUHIMU

kabla hujajiingiza katika mapenzi na watu hawa ni vuema ukafikiri mara mbili . Inawawia vigumu wao kukuanza wewe kimapenzi kwa sababu wana uhakika kwamba watashindwa. Kinachowasaidia ni subira na kuwaelewa wapenzi wao ndio maana mapenzi yanakua. Mara wakishapata mpenzi wa kweli wanakuwa waaminifu sana na watafanya kila njia kuhakikisha mapenzi yanakuwa hai na yenye kupendeza.

       NINI KITATOKEA HERUFI HII ITAKAPOINGILIANA NA HERUFI ZINGINE

F&A mwwnzio anaweza kuwa muongo sana kusema vitu ambavyo hana uwezo navyo. Utafutaji unaweza kuwasumbua vifungo ahadi kuwa nyingi yaweza kuwa hali ya kawaida kwako. Muhimu kujishughulikia mara kwa mara pia usitegemee shughuli moja unaweza kukwama. Uzazi upo mbali u a shida.

F&B maisha yatakuwa na changamoto sana. Mambo yatakuwa yakiganda ahadi zitakuwa nyingi kuliko utimilifu wake. Hiwenda ukaandamwa na kutoa kwingi kuliko pato unaloingiza. Yakupasa kuwa mtu wakujishughulikia sana au mambo yakushidne. Uzazi utakuwa wa shida watakiwa ushughulikiwe.

F&C mambo yatakuwa si mazuri sana vitu vinaweza kuwa vinapotea sana. Kama pesa isikae au kuuza vitu vyenu vya thamani ili kukidhi mahitaji yenu ya muhimu. Uzazi upo wakati mwingine unaweza kuchelewa.

F&D maisha yatakuwa na urahisi katika utafutaji ila pesa hazitakaa. Maisha yatakuwa matukio yakutoa sana pesa. Utafutaji wa ridhki ama mafanikio yapo ila uvumilivu na kujituma sana. Afya ya uzazi haina shida na utapata watoto wenye uelewa.

F&E utanilikiwa kiakili na kimwili. Atahitaji kila jambo lako alijue na kukupangia vile anavyogaka yeye iwe. Maisha yanaweza kuandamwa na vitu kuungua ama kuuza vitu. Utafutaji wa ridhki utakuwa na changamoto sana. Uzazi utawasumbua.

F&F maisha yatakuwa kawaida mnaweza pishana sana kauli katika mienendo yenu. Maisha ya utafutaji yanaweza yasiwe mapesi sana. Yakupasa uwe mtokaji sana kutafuta suluhu mara kwa mara. Uzazi upo hauna shida yoyoye ni madawa ya kawaida tu kuharakisha.

F&G mambo yakimaisha yatakuwa yakawaida sana. Pesa itakuwa haikai mifukoni. Changamoto zitakuwa nyingi zinazohitaji fedha utatuzi wake. Utafutaji rishki unaweza kuwa mgumu yakupasa utumie nguvu za ziada. Uzazi una shida yatakiwa ushughulikiwe.

F&H utafutaji kwako hautakuwa na muahkeri. Maisha ya mahusiano yatakuwa mazuri na maeishiano ila changamoto itakuwa kwenye fedha haitakaa mkononi hakuna kitu cha maenedeleo mnaweza fanya. Uzazi upo hauna shida yoyote.

F&I usijishughulishe sana na kuhifadhi fedha nyumbani maana huna maendeleo utakauyopata maana utakuwa mtu wa kutoa sana kuliko kuingiza unaweza kujikuta mpaka vitu vyako unauza kukidhi mahitaji. Uzazi upo hauna shida.

F&J maisha yanaweza kuwahainda ama kuvubjiwa heshima. Utafutaji utakuwa na shida sana ridhki ama mafanikio yapo mbali sana. Uzazi una shida itakuoasa uushughulikie sana.

F&K changamoto nyingi kwako itakuwa upatikanaji wa pesa. Utakuwa na mitihani ya kutoa kwingi kuliko pato unaloingiza. Mara kadhaa unaweza kuvunjwa moyo kwa maneno yake. Marafiki na nduguze wanaweza kuwa chanzo cha kukoseaha amani maisha yenu. Uzazi una shida utafutiwe ufumbuzi wa haraka.

F&L maisha ya ndoa ama mahusiano uatakuwa mazuri sana. Utafutaji wa ridhki ama mafanikio milango itakuwa ipo waz hakuna shida zitakazojitokeza. Amani na furaha vitatawala mahusianao yako. Afya ya uzazi itakuwa salama na watoto wema watapatikana. Kikubwa kujiweka mbali na ndugu kunaweza kukuletea shida za hasadi.

F&M mwenzio anaweza kuwa msiri sana katika mambo yake. Akiki yake inaweza kutekwa ghafla pale u aposhindwa kumtimizia kiti fulani. Ni mwepesi kukuumiza na kutoa habari zako muhimu za siri. Utafutaji utakuwa na vifungo vingi vya husda. Uzazi unaweza kuchelwa upo mbali sana mpaka ushughulikiwe.

F&N maisha yenu yatakuwa yakutoa kwingi. Kila unachokipata kitatumika hakutakuwa na akiba yakuweka. Huwenda ridhki ikawa na shida katika utafutaji kufukuzwa kazi mara kwa mara au hasara katika biahsra. Jitajd kuwa mtu wakutoka sana nje ya mji wako kujishughulikia pengine utapata unafuu. Uzazi una shida au watoto wasitulie kiakili.

F&O Maisha yatakuwa na maelwano madogo sana hivyo yagakiwa usiwe muongeaji sana umpe nafasi kubwa mwenzio kuwa mzunvumzaji. Upande wa utafutaji hali itakuwa ya kawaida sana kipato kitakuwa cha wastani kitakachokidhi mahitaji ya kawaida tu. Uzazi upo hauna shida.

F&P maisha yatakuwa mazuri ila eidhki itakuwa na changamoto. Utapata kazi kirahisi ila kwenye malipo unaweza kusumbuliwa. Ama kupata pesa hakafu isikae. Jitahd kupambana kwa hali na mali mafanikio yapi ila ni ya mbali. Uzazi watakiwa ushughulikiwe ili ukae sawa.

F&Q maisha yenu mtakuwa watu wakujifagharisha kwa mambo yasiyo na msingi. Mwenzio anaweza asikuongoze kwwnye heri ataataka mfanye mambo yanayomoendeza yeye kwa watu wake wa karibu hata kama hayatakuwa na faida kwenu. Utafutaji utakuwa na shida sana, uzazi upo hauna shida yoyote.

F&R maisha yanaweza yasiwe mepesi sana ila kutakuwa na unafuu. Hela za mafungu unaweza kuzipata ila maendeleo makubwa yakupasa kupambana sana ili kuyafikia. Uzazi upo hauna shida.

F&S ahadi zinaweza kuwa nyingi kwenye maisha yenu kuliko mambo kutimia. Mambo mengi mtakayoyaanzisha yatakuwa hayana mwisho mwena mnaweza kuandamwa na hasara ama kupoteza vitu. Utafutaji wa maisha utakuwa mgumu. Uzazi una shida unahitajika kushughulikiwa.

F&T maisha yatakuwa na mapito mengi sana. Igomvi makasiriko huwenda vikatawala mahusiano yako. Utafutaji utakuwa na kipimo kupata kutakuwa kwingi kulijo kukosa ila haitakaa fedha na ugomvi utatawala. Uzazi upo hau a shida.

F&U changamoto za pesa kutokaa mikononi inaweza kuwaandama sana. Utafutaji utakuwa hauna shida ila kila kinachopatikana hakitakuwakitaoangiwa matumizi hovyo maendeleo yanaweza kuchelewa sana. Uzazi upo hauna shida yoyote.

F&V maisha yatakuwa na utulivu sana kila kitu kitakuwa kikiganda yaani kikifanywa kwa upole au kwa kasi ndogo. Utafutaji ridhki unaweza ukawa na shida sana maisha yatakuwa magumu. Uzazi utakuwa wa shida ama watoto watawasumbua kiafya.

F&W maisha mwanzoni yatakuwa na uhuru na afueni katika utafutaji. Ila mwishowe u aweza usiwe mzuri. Makasiriko hali mbaya kiuchumi unaweza kukuandama sana. Uzazi una shida utafutiwe ufumbuzi.

F&X maisha yatakuwa na vipindi vya mpito hali mbaya zitakuwepo ila zisikukatisha tamaa. Herufi hii ni nzuri kwako na inaweza kukutoa katika hali mbaya kiuchumi. Kikubwa ni uvumilivu na duam. Afya ya uzazi ipo vizuri na watoto hawatakuwa na shida.

F&Y maisha yatakuwa hayaeweki ni watu mtakaoishi pasina mfumo maalumu katika utafutaji wenu. Mtakuwa hamna maendeleo wala jambo linaloeweka. Kikubwa mwatakiwa muwe mnajishughulikia mara kwa mara. Uzazi unaweza kuwa na shida mimba kutoka nk.

F&Z kunaweza kukawa na maelwano madogo. Ili furaha ipatikane muishi mbali mbali muwe mnakutana kwa muda. Mambo ya utafutaji yatakuwa na changamoto ridhki hiwenda ikawa ya shida sana ahadi zitakuwa nyingi. Afya ya uzazi itaandamwa na shida.

Tumemaliza herufi F utaratibu ni uleule ufafanuzi nautoa hapo chini unawwza kuweka herufi zako ukapewa ufafanuzi wa awali huku ukiendelea kusubiri zamu ya herufi yako. Herufi zilizokwisha chambuliwa tayari ni A, B, C, D, E kama umepitwa pitia makala zilizopita.

        MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

UCHAMBUZI NAUTOA HAPA KAMA NILIVYOELEZA UKIHITAJI UCHAMBUZI WA PRIVATE BIMAANA YA INBOX UTALIPIA GHARAMA SI BURE. WALE MNAOLALAMIKA UCHAMBUZI KUCHELEWA MNAJICHELEWESHA WENYEWE MIMI KILA MAKALA NINAYOANDIKA NATOA FURSA CHINI WATU KUWEKA KOMENT ZA SHUKRAN NA KAMA UMEPENDA SOMO NA UNATAKA LIENDELEE SEMA LIENDEELEE UKIKAA KIMYA MI NAENDELEA NA MAMBO YANGU MPKA SIKU NTAKAPOJISIKIA KUWEKA HERUFI NYINGINE.

NAREJEA TENA KILA KITU WEKA HAPA COMENT SHUKRAN SOMO LIENDELEE WEKA HAPA CHINI.

WALE WENYE SHIDA ZA WATOTO WENYE MATATIZO KUKAZA VIUNGO KUCHELEWA KUTEMBEA KUTAMBAA KUKAA KUONGEA DAWA ZIPO CHAGUA KUJAOFISIN AMA KUSAFIRISHIWA FANYA MAWASILIANO KWA NAMBA ZANGU.

wenye shida za kinyota biahsra kazi kuibiwa mapenzi. Nguvu za kiume kukuza dhakar uzazi nk

+255621442939

JITAHD KUPIGA SIMU IKIWA UNATUMA UJUMBE WEKA MARLEZO YA KUTOSHA JUMBE FUPI SITAZIJIB


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI